REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #381
Reality, soma ndugu.
Na ili uelewe unachokisoma futa ulichokishikilia kwenye akili yako uwe kama ndio una anza upya.
Kwenye corner???nini kinakufanya usiamini? unaweza kua kwenye basi au treni linaenda 100km/h ukishakua comfortable na ile spidi unaona kama gari halisogei
Kwamba nahitaji kuthibitisha kwamba mimi ni nyani? Kuna aliyekwambia mimi ni nyani, mbona unachanganya mafile.Watathibitishaje kwamba wewe ni nyani,watathibitishaje big bang,watathibitishaje evolution,lazima wafanye mpango kuwa dunia ni sayari inayoelea ambayo imetokana na mlipuko na ukichaa mwingine huku wakijua si kweli na hata nembo ya umoja wa mataifa ni flat earth not spherical
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ikiwa kwenye motion ikikata corner do you feel anything.what do you mean kwenye corner
Umesema kwenye Corner (kona) sio?Panda gari funga macho iwe speed kwenye highway halafu taratibu inakata kona taratibu kama you dont feel that movement of turn utakuwa mnafki like..........View attachment 1335338
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayeamini dunia ni mpira atakataaje asili yake ni ya nyani ..Kwamba nahitaji kuthibitisha kwamba mimi ni nyani? Kuna aliyekwambia mimi ni nyani, mbona unachanganya mafile.
- Bing bang is just a theory kama na wewe unatheory yako ambayo ni bora zaidi unaweza ukaitoa.
- Genetics inathibitisha evolotion, wewe unathibitishaje kwamba hakuna evolutin?
Sent using Jamii Forums mobile app
paula banaUmesema kwenye Corner (kona) sio?
Tofauti na kwenye kona na bamsi si hauhisi chochote?.
Sasa dunia ni duara na hizo unazoziita kona hazipo kabisa.
we jamaa nimekuelewa vizuri sana, ishu ya satellite pia hata mimi huwa inaniumiza akili. kwann ukifunga madishi lazima yawe na uelekeo unaofanana? kama kuna satellite na inazungu uka kwanin uelekeo usibadilike? kidogo umenipa majibu, shukrani sanaAnayeamini dunia ni mpira atakataaje asili yake ni ya nyani ..
Au nipe asili yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio duara nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu gani kinakujulisha dunia inazunguka ?Jibu ni kwamba dunia ina-rotate too slowly of which ni rate mdogo sana ya rotation that would be very hard to notice, hivyo you can't feel motion in any way.
Unakisiaje hicho ?Kitu ambacho utakisikia ni acceleration and the Earth isn't accelerating.
Swali la msingi unajuaje kama dunia inazunguka.Dunia inapozunguka kila kitu kilichokuzunguka kinazunguka at the same speed. Tofauti na ukiwa kwenye gari unalisikia gari linaenda kwa sababu unaona miti inaanza 'kurudi' nyuma lakini kama ingekuwa inahama na wewe pia usingesikia motion kabisa zaidi ya acceleration kutokana na barabara.
Ndio maana tunasema jua Linatembea sababu marejeo yetu ni sisi kuliona lina hama kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Una feel speed ya kitu pale ambapo unaona tofauti kati ya ya speed of two interacting objects.
Swali zuri, ndio maana tunsema Dunia haizunguki, sababu mnao dai kama inazunguka hamna ushahidi zaidi ya nadharia kwenye makaratasi.Tukija kwenye a psysological point of view, wewe una uhakika gani kwamba hauisikii ikizunguka? Kumbuka umezaliwa ukaikuta kwenye hali iliyopo na tangu kuzaliwa umeizoea hii hali hivyo ni ngumu ku notice kabisa.
paula bana
Sikia dunia inarevolve kwa speed ya hatari yani kubwa kwa lisa around the sun ikiwa inakata corner in a circular motion mbona hatufeel chochote kama gari,ndege and so ambazo zikikata tunafeel.
Unajua kwanini gari ikiwa inakimbia na haufeel chochote kwa sababu ina move straight na ipo kwenye flat road or plane kama ndege.
Anyway tutaelewana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa, ndio unionyeshe hapo.Usahihi wangu huenda huko kwenye huenda yako
A, B, C ar in thermo-equilibrium, sielewi thermo dynamics inaendana vipi na nilichoandika
Sent using Jamii Forums mobile app
According to NASA-Dunia ikijizungusha kwenye muhimili wake tunapata usiku na mchana.(Rotation)
-Dunia ikizunguka jua tunapata majira mbali mbali ya mwaka.(Revolution).
Binadamu na nyani ni viumbe wawili tofauti, nyani hawezi kuwa binadamu na binadamu hawezi kua nyani, ila kiumbe mmoja anaweza evolve na kuunda viumbe wengine tofauti .. tatizo hamsomi mambo mkaelewa.Anayeamini dunia ni mpira atakataaje asili yake ni ya nyani ..
Au nipe asili yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo nyumbani kwako unatumia dish kukamata signal za tv ambazo tunaambiwa ni kitoka kwenye satelite. Kama satelite hazipo huko juu, haya madish yanapata wapi signal?
Sent using Jamii Forums mobile app