Life and its claws.
Akaingia kwa HOM, Ambae wau wote walikuwa wanamuita Chriss, akakaa pale chini, Chriss anamwambia i hear you are going to the bankers night with COF, if you want this postion at all in the marketing of this company, you should not go. Take it as marketing your freedom from COF. Akabakia Mmmmmhhhhhh! HOM akamwambia you are a big girl now, and you know what to do, getting rid of that old cargo shouldnt be much of an issue. Akbkia anaduwaaa. Akasikia you can leave now.
Ile anatoka kwa HOM, kula kona ya kwanza, Ronny huyu hapaaa. HOM alikuitia nini? Lida akamjibu a position in marketing why? Rnny akamwambia dont take it, stay in Finance. Linda akamuuliza tena WHY? Akamwambia tu, HOM sio mtu mzuriii. Siwezi kukwambia sanaa but HOM sio mtu mzuriii. Wakiwa wanaongea akapita mama wa makamo, akaachia bonge la msonyoooooo. Linda akawa anashangaa, Ronny ikawa kama sura imemshuka flani hivi. Akamuuliza kwanini katusonya, Ronny akamwambia tu, potezeaaa, just dont go to that party. Linda akabana sehemu akawa anawaza tu.
Kufika juu, anaambiwa dada Asha anakutfuta vibaya vibayaaa, fanya uingi humo. Asha anamwambia kwa upole, sikiza mdogo wangu, kazini kuna mambo mengi, ila nakuomba kitu kimoja kama dada yako, Achana na Ronny! Whatever you have going on mpotezeee. You came here alone, watu wakuwakuta maofisini humu sio wa kuwangangania sanaaa uesikia mdogo wangu. Akasema sawa Da Asha. Basi anamuuliza shemeji yako mume wangu ana birthday this week unanishauri nimnunulie nini? Linda kastukaaa! Kumbe ana mume! Makubwaaaa. Akamwambia tu mnunulie saa ya bei ghali, wanaume wanapendaga saaa. Da Asha akachuku simu akapiga, daddy nina shida ya 500,0000 harakaaa, kabla ya jumamosi, usiniangusheee, nakupenda mwaaah! Akawa hasikii Dady anasema nini but akajua tu kapigwa kizinga.
Akawa anawaza na kuwazua, kwanini dada Asha kamwambia aachane na Ronny? Kwanini yule mama Alimsonyaaa! Kichwa kikamuuma. Akasema ngoja nimsikize dada Asha. Mda wa kuondoka, akamuacha Ronny huyo akachoma mafuta kwao. Kesho Joy akawa anataka wapitie kwenye nyusi na nguo wakitoka kazini. Akakubali. Mchana akaja Ronny, kumuuliza lunch anaendaaa, akasema haendi kashiba, Ronny anamwambia nisindikize mimi tu, for fresh air, akazuga na kazi nyingi, akamwambia basi ukitoka tuongozane. Akamwambia ninaenda mahali na Joy. Ronny akajua tu mmmmh huyuuuu ananikwepaaa. Akaondoka zake.
Basi wameenda kunyoa nyusi, akanyoa Joy, akanza kumwambia na wewe nyoa, minyusi kama kichaka cha simbaaa! Hahahaa! Akamwambia tu mi sinyoagi bwanaa. Joy anamwambia sasa si ndo unaanza. Akawa anakataa, Joy anamwambia utakuwa hupati mabwana mule ndani sio kwa minyusi hioo, hata kile Ronny kitakuwa hakikutoi lunch. Hahahaaa! You are not 15 my dear, useme mama yako atakuuliza why umenyoa? Njoo unyoe, akakubali kunyoa na uzi. Zinaumaje ni balaaaaaaa, ila sura ikangaaa.
Wakaenda na botic mzigo mpya ulikuwa umeshukaa, akachagua zake Joy akamuuliza shoga huchagui na wewe? Akamwambia mi sipendi kuvaa nguo complicated, navaa zangu tu shati na suruali simple. Joy anamwambia chaguaa shogaa, ushakuw mtu mzima hivooo, inatakiwa uvae kwa umri wako, au unataka ukavalie kaburiniii? Chukua hii mini, walau tuione miguu yako, kila siku unakuja na trouser au ndo kusema una kigimbi nini, mimi mwenyewe miguu yangu ya kichaga ila navaa mini kama kawaida.
Akachukua ile sketi, akamwambia hii unavalia na hii, na kigauni kifupi akawa kakipendaa, ila akamwambia kifupi sanaa Joy hiki si eti. Joy yupo kina ufupi gani, gauni refu kabisaa hio. Linda akamwambia hii mpaka tight itaonekanaaa. Joy anamshangaaa hivi mwenzetu bado unavaa tight? Mika hii na joto lote hiliii. Haaaa! Hii unava na chupi tupu tena bikinii, ukilogwa uvae chupi la bibi 1960s itajichoraaa kwenye nguo. Dada Asha mwenyewe havai tight itakuwa wewe hahaaaaaaaa! Mule ndani labda Mina tu mke wa ustaadh ndo anavaa tight na undersketi kwa mpigoo. Lile shungi non stop mda mwingin ubahili wa saloon. Hahahaaa! Akachukua na ile gauni.
Joy akamwambia kwanza hujajua unavaa nini bankers night unangaa sharubu tu hapaa. Akasema nilitaka kuvaa suti. Joy yupo suits are so 1980s kila mtu atavaa suti huko, vaa hiko kigauni, sluty and yet professional. Akagoma im going with chief nisije muingiza shetani buree i prefer something decent. Akawa kaona gauni ingine ya urefu wa kutoshaaa. Basi wakapitia kula mix, siku ikawa imepita.
Zikapita siku kadhaa, ikafika ijumaa ya hio bankers night. Alichelewa kufika, Ile anapaki, Ronny huyu hapa, akagunaa. You have been avaoiding me lately why? Linda kajibalaguzaa, oooh sio hivo niko busy, and stuff. Ronny akamuuliza who was it? Dada Asha or Joyceline? Linda akazuga who was it nini? Dada Asha kafanyaje? Ronny akamkazia aliekwambia unikwepeee? Linda kashuka kwenye gari? Ronny anaendelea na motion yake,What did they tell you about me? Linda akastukaaa! Akamuuliza What should they have told me about you? Ronny akausoma mchezoo, so they didnt tell you nothing? Akaanza kupotezea, you are really busy, i get it basi ukitoka tutatoka wote, still not going to that party right with Chief? Akawa ana hamu ya kuuliza zaidi hio sintofahamu, bt kuingizwa mambo ya Chieff ne gauni kanunua ikabidi nae apotezee kiutu uzima. Yeah tutaonana tukitoka, was very busy. Wkawa wanaingia ndani, akamuuliza kumbe huja puch leo, si itaonesha umechelewa? Ronny akasema nilikuwa nakungojaaa wewe.
Basi Ronny anamsifia i like you dressing like this, you look more like a lady not a girl! Hahahaaaa! You got nice legs too, zile suruali mfululizo nilianza kuhisi una miguu mibayaa, hahahaa! Kumbe guu guu, ila usianze kuvaa uchi kama wanawake wa humu, watu wengine watu wazima kama Da Asha ila wanatembea uchi uchi mda wote unajiuliza kwa mumewe katokaje? Hahahahaaa! Wakawa wanacheka tuuu, basi wakaagana Ronny kaingia kwake, na yeye kaigia kwenye kibox.
Basi Danny akawa kamltea chai, akampa na chapati, Mina akamtania Danny una benz au kujitutumua tu. Vits yenyewe hunaa, starlet hunaaa. Danny akawa anacheka tu, na kuimba ule wimbo, maskini naye mtuuuu, japokuwa hana kituuuu siku nzima akawaacha wakicheka tu. Mchana chief kaleta invitation ya bankers night, akaipokea. Jioni Ronny huyu hapa, wakaenda mpaka naposhukaga akamwambia leo karibu kwanguu, ila uswahilini kishenzi si unajua tumeanza maisha kupanga panga na nini. Wazee wetu hawajawahi mjini. Akamwambia sawa bora wewe umepanga mi bado nakaa home. Akawa anamuelekeza pita huku pita huku haya paki hapo. Akajua wamefikaa, kumbe safari inaendelea vichochoroni, dirisha kwa dirishaaa mpaka kufika kwa Ronny hoi. Kapanga upande wa nyumba, basi akaingiwa kawaida tu. Friji micro wave, tv, sofa moja, redio dvd na kikabati cha vyombo. Akawa na kikabati cha wine.
Akamkaribisha wine, akawa anakunywa pale, stor mbili tatu, akawa anacheza na mda wa kwenda kwenye party na chieff. Akamwambia nashukuru nimepajuaaa, nikipanga nitakukaribishaaa. Ronny anajitutumua eeh bwana weekend unakuja kusalimianaa, si unajua tena vijanaaa. Mmmmmhhhh! Ujana na salamu wapi wapi? Akamsindikiza mpaka kule kwenye Ronny gari, akawalipa wale wahuni 2000, kwa kulinda hilo gari. Wahuni maeno yanawatoka si kwa 200 ile, shemeji ndo huyuuu, sio wanawake wa mtaa huu wote wananuka K, K hazina Nissan, hazieleweki,bbig up brooo, mwanamke umepataaa unafyonyaaaa tu kiulainiiii, sio kwa ndinga lileee, wanwake wote wa mtaa huo K zao zimefyobaa! Hahahahaaaaa! Kisa 2000. Basi Ronny kujitia baba mwenye gari, kamfungulia mlango, anamuaga mara kumi kumi, na wahuni huku wanazidi kuzoza tu ilimradi. Linda akaondokaaa.
Sasa 2 kmili yupo nje ya venue na chieff, wakaingiaaa. Chief akamwambia tupige picha ya pamoja kwanza, chieff akaangaza angaza macho akaja dada wa makamo na pete yake, chieff akamwambia mi natoka, we zugaa zugaa humu ukichoka kalale, ukiwa bored HOM nae anakuja au kashafika humu atatoa speech kwa niaba yangu, mimi nina mambo yangu nayaendea, mke wangu akikupigia anaomba kuongea na mimi mwambie nipo humu ndo natoa speec mda huo, na kesho make sure una share hii pic kwenye profila yako ya whats up na upost Insta na facebook, for my wife you know. Akaondoka na yule dada. Kwa utu uzima wake akajua chieff is having an affair. Akasema well nything for my career.
Akastuka HOM yuko nyuma yake, looking beautiful. Wakawa wamkeaa wnakunywa wote sasa, yeye akaamua kunywa Konyagi, HOM anakunywa heinken. Basi anamwambia im looking for a wife, i want me a young intelligent lady, to be my wife, asifanye kazi, just be beautiful for me. Ile Konyag akakumbuka maneno ya Da Asha. "If you work hard enough you wont have to work anymore." Mmmmh!Vikaratasi tu vikawa vinakuja kwa HOM, akaanza kuona anachezea bahati, watu wanengeneka kwa HOM, yeye kajibweteka tu. Akaamua it is now or never. Na Konyagi akajiambia anammudu HOM. Akamwambia HOM, can i have this dance? HOM akasmile, lile smile la kimalayaaa kabisaa, akashukaaa. Kumbe ana dance ni balaa. Na yeye Linda yumooo, watu wakawa wanawaangalia tu.
Basi kati kati ya dance HOM akamwambia why dont we go to my home, and spent some time chatting i have a pool there. Linda akamjibu you have a speech to make, otherwise why not? Akamwambia yeah! That speech, fack! Wakarudi kukaa, anampa story holidays alispend Mauritius, he would love to take her there with him next trip. Anamwambia last holiday alikuwa Mombasa Tapas Cielo, he would buy her dinner at Tamarind Dhow in a jahazi cruise. He can give her the world. Hapo Linda anajiona beyonce wa Bongo.
Ukafika mda ka make hio speech, alivoshuka tu akamwambia we should roll! Wakasepa akawa anamfata kwa nyuma mpaka Mbezi ya baharini. Kuingia kwake mashallah! Akapitiliza mpaka kwenye pool! Kavua nguo zote na kutumbukiaaa. Akawa kabakia yeye anashangaa? Anaambiwa come over baby! Akajishauri shauriii, akavua na yeye kabakia na chupi akaingia kwenye maji.
Kama ilivo kawaida ya maboss hata hawapigi hodi wala hawaombii kaanza kumla mateee! Ndioooo, mnachoshangaa wasomaji nini mijicho imewatokaaa! Hahahaaa! Linda things were too fast for her,akaona anyway ndo ukubwa huu, fack shidaaaa, everything has a price. Akatoa ulimi kiulaniiii. Ooooh! HOM hakawiziii, akamla cha kwanza kwenye maji, wakahamia chumbaniii, mtanange mkalii sanaaa, HOM alimuacha mbali sanaa boy wake wa Moro. He was experienced in sex. Ikawa sasa Linda kazidiwa na HOM ana control mchezooo. Yaani HOM anamfanya Linda, Linda ansikizia utamuuu tuuu, maana afanyaje na ndo kakutana na gwijiiiiii.
Asubuhi hoiii akaondoka kurui kwao, akadanganya alilala kwa ndugu wa upande wa baba ake huko. Simu akakuta missed call 5 za Ronny. Kupiga haipokelewi. Jpili akamcheki HOM text hazijibiwi aksema he is busy probably atanicheki. Holaaa. Jtatu kazini kuingia walinzi wanakonyezanaaa. Watu wanamungaliana macho flani kama kuna kitu wanamtetaaa. Akapanic, akajikazaa kwenda mpaka kwenye Meza yao. Mina alivomuona akaanza kulia, Akamwambia Linda why? Akashangaaa! Joy anatikisa kichwa tu. Dada Asha kuingia akamuona akshusha pumzi tuuuu na kutikisa kichwa. Wnaume wapo busy wana type hawaongei kabisaaaa.
Baadae akamuuliza Mina ulikuwa unalia nini? Mina akanza kulia tenaa. Joy akamtumia whats up. Linda kuifungua akakuta picha yake kalala fofooo kwenyekitanda cha HOM, imewekwa caption When you had a good Pussy last Night! Akachokaaa! Akawa kakaa kazubaaaa. Mina anaongea kuna miwanaume kama mingese humuuu, kuchezea tu watoto wa watu, Sijui inashwaga nini. Anatukana matusi makubwa makubwaaa. Akachukua pochi akaingia kwa dada Asha akamwambia kwaheri mimi sidhani kama nitakuja tena kazini, ila thank you for everything Dada Ashaakawa anaongea anamuona midomo inacheza ila hamsikii, anachoongea, akatoka nae na kumwambia Joy mdrive mpaka kwao huyu, urudi kazini, si unamuona hayuko poa. Akawaambia wale wakaka kwaheri, na Mina kwaherii mimi sirudi tenaa, Mina analia upyaaa, wale wakakawanamwambia poleeee.
Huku njiani wadada wengine wanamchekaaa, yule mama aliemsunyaaa anamwambia imebanjuliwa usiku kuchaa, na bado utalala mpaka na wafagizi humuuu, shenziiiii, akawa kimya tu, wakatoka Mina akamrudisha home, akaulizwa na mama mdogo huyu vipi? Akasema huyu bwana kaanguka ofisini anaumwaaa, akaingia chumbani akaliaaaaaaaaaa.
ITAENDELEA SAA 6 USIKU.