Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,489
- 42,564
Ha ha ha ha!
Kawa bubu ghafla.
Cheza na Ushoga wewe!
Huyu Ubungoubungo atabadili chupi mpaka ziishe! Lkn comments zimeisha!
PAPA Katia nanga sehemu chafu mno!
Hatoki tena!!!!
Kuna rafiki yangu padre nimemtumia habari hii kanitukana Sana lakini baadae alivyoingia kwenye very reliable sources kanipigia kuomba msamaha...
Haya mambo yameanza mda mrefu Sana nakumbuka tukiwa wadogo kuna rafiki yetu alilawitiwa na katekista kwenye mafunzo ya kipaimara....
Last edited by a moderator: