The vatican changing tone on homesexuality?!

The vatican changing tone on homesexuality?!

Status
Not open for further replies.
I thought we dare to speak openly!,...mh!, ninya :tape2::tape2: naona ban is right at my door step!

Ha ha ha ha!
Thats is an old saying pal!

Siku hizi unatakiwa uingie kwa hesabu kali!
Jamaa yangu kalambwa ban ya mwezi mzima. Kosa lenyewe dooogo!
 
Haki maana yake nini?

Maana yake Vatican iache Uliberali na kubaka watoto wadogo makanisani. Hapo ndipo haki inapopatikana.

Na kumfanya mwanamme km mwanamke Sio HAKI KABISA.

MAAFA mengi ya mafuriko yanatukuta sisi kumbe sababu ni Nyie!

Acheni kuchezea Hasira za Mungu.
Mtatuponza na sisi Tusio husika.

Mnatuharibia jina la UKRISTO.
 
[h=3]Mullah Imam arrested for raping 10-year-old girl in [/h]
[h=3]A Mullah Imam Arrested for Raping Two Women « RAWA ...[/h]
[h=3]Imam arrested in Jessore for 'raping' minor girl - bdnews24 ...[/h]
[h=3]Imam Islam arrested for raping 8-year-old | Pamela Geller ..[/h]
Help yourself in those links
 
The infallible word says in Proverbs 27:5, Open rebuke is better than a secret love.

Huwa ndio ninacho kifanya, ingawa binadamu huwa hampendi kuambiwa ukweli. I will always confront evil as is. Period.

As Christians, we need to be aware of the reality of the presence of evil. As we struggle to stand firm in our faith, we must realize that our enemies are not merely human ideas, but real forces that come from the powers of darkness. The Bible says, "For our struggle is not against flesh and blood, but against the rulers, against the powers, against the world forces of this darkness, against the spiritual forces of wickedness in the heavenly places" Ephesians 6:12.

Mkuu hebu funguka na hapa basiii Kama unavyofungukaga kule kwenye thread za waislamu...

Huu ni uovu pia nilitegemea utajaza maushahidi na links kibao Kama unavyofanyaga Kule....

Mkuu kemea basii huyu papa anatuvuruga wakristo...
 
Biblia inapingana na maneno yako:

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Sasa, wapi kwenye Biblia panaruhusu ushoga? Nipe aya.

Kwa imani ya WAKATOLIKI WOTE PAPA ni muwakilishi wa yesu hapa duniani.

Yeye KATAMKA WAZI kuwa Waliberali na Mashoga wote anawakaribisha na Anapinga sisi tusiwakemee.

Wewe una uwezo kuliko papa?
We si bla..bla. tu!
Zaidi ya hapa JF! nani mwengine anaekutambua zaidi ya wale wanyonge uliowafanyia vitu vyako wakati ule?

Hakuna sehemu yyt ulioandika kuwa PAPA KAKOSEA au VATICAN iko Wrong!
Bali unashabikia tu. Au na wewe mi member tayari.?

Wanja sijui km utakupendeza wewe!

Manake ili WANJA uonekane basi unatakiwa uwe mweupe japo kidogo.

Na wewe jamaa yangu mweusi km saa nane kasoro usiku!

Kwi kwi kwi kwi!
 
Aingie mara ngapi? Na wewe uwe mpagani mara ngapi?
Acha povu; Koran yako inakiri wakristo ni wacha mungu na inawasihi waendelee kuisoma injili kwani ni nuru:NA haijasema popote kwamba waislamu ni wachamungu. Koran inawataka wasilamu wanyenyekee kwa mungu anayeabudiwa na wakristo.. thats it.. Angalia usijekuta Unabishana na mtumeee angalia utanyimwa pepo ya ng..
 
Mkuu hebu funguka na hapa basiii Kama unavyofungukaga kule kwenye thread za waislamu...

Huu ni uovu pia nilitegemea utajaza maushahidi na links kibao Kama unavyofanyaga Kule....

Mkuu kemea basii huyu papa anatuvuruga wakristo...
Ukristo ni ufuasi wa Yesu Kristo na sio Papa au Mchungaji. Sasa unapo hukumu Imani kwasababu ya Kiongoz ambaye na yeye atahukumiwa na Yesu, huwa sio mali kitu.

Mimi nimesha wapa ushahidi wa Biblia kuwa USHOGA NI DHAMBI, na ukitaka USHAHIDI kwa Quran kuwa Ushoga ni halal naweza kuleta hapa. Ingawa sio kwenye mada yake.

Hii mada sio mali kitu, ingawa mnaipigia debe.
 
Acha povu; Koran yako inakiri wakristo ni wacha mungu na inawasihi wasome injili:NA haijasema popote kwamba waislamu ni wachamungu. Ilichosema wasilamu wananyenyekea kwa mungu tunayemwamini.. thats it.. Angalia usijekuta Unabishana na mtumeee angalia utanyimwa pepo ya ng..
Ha ha ha, kijana anatoka pofhu....
 
Ukristo ni ufuasi wa Yesu Kristo na sio Papa au Mchungaji. Sasa unapo hukumu Imani kwasababu ya Kiongoz ambaye na yeye atahukumiwa na Yesu, huwa sio mali kitu.

Mimi nimesha wapa ushahidi wa Biblia kuwa USHOGA NI DHAMBI, na ukitaka USHAHIDI kwa Quran kuwa Ushoga ni halal naweza kuleta hapa. Ingawa sio kwenye mada yake.

Hii mada sio mali kitu, ingawa mnaipigia debe.

Kwahiyo unakubali kuwa papa ni mpinga Kristo kwakuruhusu ushoga?
 
Ha ha ha ha ha!

Hawa wote SIO MSIKITI!

Na Wala SIO VIONGOZI WA KIMATAIFA km PAPA!

Wala HAKUNA anaewafuata na kuwakubali.

Leo kuna WAKATOLIKI ZAIDI YA BILIONI!
Wote wanamfuata PAPA!

Akisema Kaa! Wanakaa! Akisema Ruka! Wanaruka!

Sasa Leo kasema MASHOGA OYEEEE!
We mfuasi wake UNASEMAJE?
 
Kwa imani ya WAKATOLIKI WOTE PAPA ni muwakilishi wa yesu hapa duniani.

Yeye KATAMKA WAZI kuwa Waliberali na Mashoga wote anawakaribisha na Anapinga sisi tusiwakemee.

Wewe una uwezo kuliko papa?
We si bla..bla. tu!
Zaidi ya hapa JF! nani mwengine anaekutambua zaidi ya wale wanyonge uliowafanyia vitu vyako wakati ule?

Hakuna sehemu yyt ulioandika kuwa PAPA KAKOSEA au VATICAN iko Wrong!
Bali unashabikia tu. Au na wewe mi member tayari.?

Wanja sijui km utakupendeza wewe!

Manake ili WANJA uonekane basi unatakiwa uwe mweupe japo kidogo.

Na wewe jamaa yangu mweusi km saa nane kasoro usiku!

Kwi kwi kwi kwi!
I don't follow PAPA but JESUS CHRIST who is THE GOD of Muhammad and Allah. JESUS is the GOD I follow. Now, tell me, where did Jesus say homosexuality is halal?
 
Ha ha ha ha ha!

Hawa wote SIO MSIKITI!

Na Wala SIO VIONGOZI WA KIMATAIFA km PAPA!

Wala HAKUNA anaewafuata na kuwakubali.

Leo kuna WAKATOLIKI ZAIDI YA BILIONI!
Wote wanamfuata PAPA!

Akisema Kaa! Wanakaa! Akisema Ruka! Wanaruka!

Sasa Leo kasema MASHOGA OYEEEE!
We mfuasi wake UNASEMAJE?
Teyari umesha lewa juisi ya pilipili.
 
Ha ha ha ha!
Thats is an old saying pal!

Siku hizi unatakiwa uingie kwa hesabu kali!
Jamaa yangu kalambwa ban ya mwezi mzima. Kosa lenyewe dooogo!

Kazi kweli kweli!, inabidi uingie kwa kunyata, pengine mods wanapenda zaidi habari nyingine kuliko sisi wanaamua kuzichukua.....:tape2::tape2:
 
There is only one thing, why I love the Catholic church.... They have gone to school!!
 
I don't follow PAPA but JESUS CHRIST who is THE GOD of Muhammad and Allah. JESUS is the GOD I follow. Now, tell me, where did Jesus say homosexuality is halal?

Jesus HAKUSEMA lolote kuhusu HOMOSEXUAL.
Hakukubali wala hakukataa.

Lkn PAPA kasema OK!
Wewe unamjibu nini PAPA??
Acha kujifanya Huoni.

Kukaa kwako kimya Kunakufanya wewe na Papa muwe kitu kimoja.
 
Asante kwa Majibu yako!!!

Ngoja nikujibu kwa kutumia Biblia abayo ndio NENO PEKEE LA MUNGU:

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.

Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa zaidi. Kila dhambi ni chukizo kwa Mungu. Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu. Kulingana na Biblia msamaha wa Mungu juu ya shoga upo sawa na wa mzinzi, muabudu sanamu, muuaji, mwizi na kadhalika. Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).

Hivyo basi, USHOGA NI DHAMBI kama ulivyo semwa na Biblia. Zaidi ya hapo, Ukristo ni UFUASI WA YESU KRISTO na sio Papa au Mchungaji. OLE WENU MNAO WAFUATA WATU. Hakika mtavuna mnacho kipanda.

YESU NI MUNGU NA ANAWAPENDA WOTE
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom