Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
BBC wanatoa tafsiri yao kutetea msimamo wa kimagharibi tu.....:-\ catholic church will never bless sins.
Endeleeni kujifariji na kupiga mayowe tu hapa.
Kanisa Catholic haliwezi kwenda kinyume na maandiko.
Hilo mtasubiri mpaka mwisho wa dahari
Aliyekwambia BBC hakuna "makanjanja" ni nani? Au kitu kikiwa cha "mweupe" ndo kinakuwa perfect kwa asilimia 100?
Waziri mkuu wa nchi iliyo makao makuu ya hiyo BBC si ndiyo alikuwa anatuhimiza tuukubali ushoga?
Leo MNAIKATAA MPAKA BBC!
ha ha ha ha !
Sasa mkitaka kujua kuwa Habari hii ni ya hakika 100% baso gongeni na hapa kwenye WEBSITE YA KANISA KATOLIKI.
http://www.catholicnewsagency.com/headlines/vatican/
Mkiikataa na hii basi wakuu mtakuwa mmelewa pombe haramu ya kienyeji.