The vatican changing tone on homesexuality?!

Status
Not open for further replies.
“The Church open its doors to all people – their
weaknesses, their defects – and try to help them,
everybody, those who have stronger virtues to deepen that,
and those who have weaknesses to try…to overcome that,”
 
Kwa mtu asiyekuwa na akili atakwenda na maji. Ila ushoga haupo na hautakuwepo roman catholic. Kama umesoma vizuri utaelewatu. Ila ukikurupuka utaenda na maji.
Tueleweshe wewe uliyeelewa tofauti na sisi.

Afisa wa Vatican amesema Kanisa Katoliki halipingi uhalalishwaji wa mahusiano ya jinsia moja maadamu hayajalinganishwa na ndoa.
Afisa huyo Bruno Forte amesema kanisa linapinga matumizi ya maneno sawa kwa miungano kati ya watu wa jinsia sawa na wale wa jinsia tofauti.
Ameongoza kuwa pamoja na msimamo huo, anatambua kuwa wanaadamu wanaoshiriki uzoefu tofauti wana haki zinazopaswa kulindwa, akimaanisha uhusiano baina ya watu wa jinsia moja. Forte amesema uwezekano wa kuorodhesha haki hizo ni suala la ustahifu na heshima kwa utu wa watu.
 
Itajadili vipi kitu ambacho mungu amekataza kwa hiyo unajadili kuona kama mungu kakosea tuweni makini dini ina ingiliwa tusijikute tina misimamo na dini kumbe tuna potoshwa dini haina mtu mwenyewe ni kristo hao wengine hawa wezi kutengua chochote
 
Huo mkutano haujadili kubadilisha Doctrine yoyote ya Kanisa na pamoja na habari hizi kuandikwa kwa uzuri kufurahisha wale ndugu zetu pamoja na maadui wa kanisa bado wasiojua mifumo ya Kanisa Katoliki kesho wataandika kabisa "Kanisa Katoliki lakubali ushoga" .....kwa anayetaka kuelewa nini kilijadiliwa aingie kwenye official site za Kikatoliki ili usome ujumbe halisi na si hizi tafsiri zenye lengo la kuonesha sasa Kanisa linatambua mashoga ...... Kwa mnaosubiri Kanisa kutangaza kuwatambua rasmi mashoga mtangoja MILELE ......miaka zaidi ya 2000 kanisa ni moja na halijawahi kuyumba kimafundisho ......nani aliyumbishe sasa? Hao activist wenye media kubwa kubwa na ambao watu wetu wengi wanachota habari zenye tafsiri zao?

Hapo Mkuu unapotoka, hata maandiko yanathibitisha wakati wa mwisho shetani atafunguliwa na pia kutakuwa na maasi mengi sana. Katorik wakija kukubali ushoga, hiyo ni juu ya viongozi, ila ww ukiutenda basi umeingia dhambini au ukiungana nao kuukubali ushoga basi na ww upo dhambini. Kila mtu atabeba furushi lake, papa hatabeba lako wala padre hatabeba lako, akitenda yeye dhambi ni yeye na wala si wewe.
 
Kiukweli kutokana na watu wazito waliomzunguka Pope NAANZA KUAMINI KWANINI PAPA BENEDICT ALIJIUZULU.
SUALA LA USHOGA NI MOJA KATI YA MAMBO YALIYOMSHINDA.
 
Afisa wa Vatican amesema Kanisa Katoliki halipingi uhalalishwaji wa mahusiano ya jinsia moja maadamu hayajalinganishwa na ndoa.
Afisa huyo Bruno Forte amesema kanisa linapinga matumizi ya maneno sawa kwa miungano kati ya watu wa jinsia sawa na wale wa jinsia tofauti.
Ameongoza kuwa pamoja na msimamo huo, anatambua kuwa wanaadamu wanaoshiriki uzoefu tofauti wana haki zinazopaswa kulindwa, akimaanisha uhusiano baina ya watu wa jinsia moja. Forte amesema uwezekano wa kuorodhesha haki hizo ni suala la ustahifu na heshima kwa utu wa watu.

Chanzo: DW Kiswahili

My Take: Nyakati za mwisho na manabii wa uwongo ndio hawa mteule uwe macho.
 
Nyie pigeni mayoe lakini maamuz yakishatoka huko hamna lakubadili.. inasikitisha
 
Endeleeni kujifariji na kupiga mayowe tu hapa.
Kanisa Catholic haliwezi kwenda kinyume na maandiko.
Hilo mtasubiri mpaka mwisho wa dahari
 
Huo mkutano haujadili kubadilisha Doctrine yoyote ya Kanisa na pamoja na habari hizi kuandikwa kwa uzuri kufurahisha wale ndugu zetu pamoja na maadui wa kanisa bado wasiojua mifumo ya Kanisa Katoliki kesho wataandika kabisa "Kanisa Katoliki lakubali ushoga" .....kwa anayetaka kuelewa nini kilijadiliwa aingie kwenye official site za Kikatoliki ili usome ujumbe halisi na si hizi tafsiri zenye lengo la kuonesha sasa Kanisa linatambua mashoga ...... Kwa mnaosubiri Kanisa kutangaza kuwatambua rasmi mashoga mtangoja MILELE ......miaka zaidi ya 2000 kanisa ni moja na halijawahi kuyumba kimafundisho ......nani aliyumbishe sasa? Hao activist wenye media kubwa kubwa na ambao watu wetu wengi wanachota habari zenye tafsiri zao?
Ahsante kwa jibu hili....

Secular media zinapenda sana potosha media..
 
Jamani ulimwengu unakwenda wapi? tujifiche wapi na hasira ya Mungu?

karibuni wadau mtoe mawazo yenu...

Bill Cosby na Ntuzu piteni hapa wapwa zangu.

Kumekucha.

Ahsante kwa jibu hili....

Secular media zinapenda sana potosha media..

Makamanda lusungo na THE BIG SHOW naona juu ya kuwa Habari hii imeletwa na BBC lkn wakatoliki kina Otorong'ong'o WANAIKATAA.

Sasa sijui huko wanakoishi hata TV HAKUNA?

Mi nilijua tu kuwa iko siku Huyu Lucifier atatoa makucha yake nje! Na leo KAMWAGA RAZI!
Kkkkkkkkk!

Waliberali wameshamtungia nyimbo za Kumeremeta!
Na bado!
Kesho ndoa za WANYAMA na Bimaadamu zitaongezeka huko VATICAN kwa sana tu!
 
Last edited by a moderator:
Naam lusungo nimefika mkuu...! Kulikua na haja gani kwa kanisa kujadili kitu ambacho kiko kinyume na maandiko? Au kanisa liko juu kuliko maandiko?
MTAZAMO Naomba unijibu hayo Maswali yangu..!

Mkuu nafurahi hii thread imerejeshwa maana mhhh ina misukosuko mno....

Hivi kanisa kufikia hapa tuelewe nini?
 
Last edited by a moderator:
Makamanda lusungo na THE BIG SHOW naona juu ya kuwa Habari hii imeletwa na BBC lkn wakatoliki kina Otorong'ong'o WANAIKATAA.

Sasa sijui huko wanakoishi hata TV HAKUNA?

Mi nilijua tu kuwa iko siku Huyu Lucifier atatoa makucha yake nje! Na leo KAMWAGA RAZI!
Kkkkkkkkk!

Waliberali wameshamtungia nyimbo za Kumeremeta!
Na bado!
Kesho ndoa za WANYAMA na Bimaadamu zitaongezeka huko VATICAN kwa sana tu!

Aisee ni hatari mkuu
 
Last edited by a moderator:
No

Back
Top Bottom