Acha uongo bado wanajadili na hajakubaliana na suala hilo.
Hii habari inapotoshwa na mashoga kwa maslahi yao wenyewe.
Kanisa Katoliki halitaweza kuukubali ushoga miaka yote.
Waliaza taratibu sasa wanaelekea.tusubiri tuone.
Kwa kuogopa hasira za mungu BMK hata kujadili hawakutaka,tusubiri ya kanisa ukizingatia kesi za kulawiti zililitingisha kanisa.
Umesoma source? BBC ni ya mashoga?
Aliyekwambia BBC hakuna "makanjanja" ni nani? Au kitu kikiwa cha "mweupe" ndo kinakuwa perfect kwa asilimia 100?
Waziri mkuu wa nchi iliyo makao makuu ya hiyo BBC si ndiyo alikuwa anatuhimiza tuukubali ushoga?
Hii habari inapotoshwa na mashoga kwa maslahi yao wenyewe.
Kanisa Katoliki halitaweza kuukubali ushoga miaka yote.
Mhhh tutajificha wapi na hasira ya Mungu??