The vatican changing tone on homesexuality?!

The vatican changing tone on homesexuality?!

Status
Not open for further replies.
There is only one thing, why I love the Catholic church.... They have gone to school!!

Teyari umesha lewa juisi ya pilipili.

I don't follow PAPA but JESUS CHRIST who is THE GOD of Muhammad and Allah. JESUS is the GOD I follow. Now, tell me, where did Jesus say homosexuality is halal?
Ishmael bin max msome huyo jamaa yako hapo juu halafu mjibu kwa msimamo wa Bibilia km kweli we unamfuata yesu kimatendo.

Anasema WAKATOLIKI wamekwenda shule.
Manake wasomi sana.

Ndio maana wameruhusu hii biashara ya kuchezea sehemu mbovu!
We unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
There is only one thing, why I love the Catholic church.... They have gone to school!!
Ngoja nikujibu kwa kutumia Biblia abayo ndio NENO PEKEE LA MUNGU:

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba "Mungu huwaachilia" kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.

Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa zaidi. Kila dhambi ni chukizo kwa Mungu. Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu. Kulingana na Biblia msamaha wa Mungu juu ya shoga upo sawa na wa mzinzi, muabudu sanamu, muuaji, mwizi na kadhalika. Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).

Hivyo basi, USHOGA NI DHAMBI kama ulivyo semwa na Biblia. Zaidi ya hapo, Ukristo ni UFUASI WA YESU KRISTO na sio Papa au Mchungaji. OLE WENU MNAO WAFUATA WATU. Hakika mtavuna mnacho kipanda.

YESU NI MUNGU NA ANAWAPENDA WOTE
 
Could it be the completion of dirt work started during Vatican II? The pace was slowed down especially by John Paul II...now I wonder what the hell is going on!!!????
Whoa kumbe umejua...
Many non-Catholics claim the Jesuits are "The Secret Power" which puts the Pope of Rome's plan, to win ultimate world
domination, into effect.
Likewise Pope Francis is a jesuits origin, and he's so powerfull like pope II. Kitendo cha yeye kuweza ku-win hisia za makundi mengi ni wazi atayaweka mikononi: SI unakumbuka aliwahi kuwaita mashekh pale..kitu ambacho si cha kawaida lakini....

Mkuu sizani km ataweza kukemea!!! Kwasababu uprotestant siku hizi umeacha njia ya waasisi wake km kina Luther Umekua unaomba msamaha kwa uvaticano Ndio
Maana wamuona ndugu yetu hana nguvu sn ktk hoja zake!

Mkuu hebu funguka na hapa basiii Kama unavyofungukaga kule kwenye thread za waislamu...

Huu ni uovu pia nilitegemea utajaza maushahidi na links kibao Kama unavyofanyaga Kule....

Mkuu kemea basii huyu papa anatuvuruga wakristo...
 
Mahdi is the Anti Christ and not Papa. Furthermore, allowing homosexualism is not a sign of Antichrist, in contrast, even in the Quran and Hadith homosexuality is mentioned and in some verses and hadith it is halal.
Gay Muslim Imam Brings Message of Tolerance to Europe ...

Life as a Gay Imam Isn't as Bad as It Sounds | VICE United...

Imam blesses union of gay Muslim couple in France

Mkuu kumbuka uongozi w papa ni wa wakatoliki dunia nzima....

Lolote afanyalo au kuamua ndo hubeba taswira ya Kanisa....

Kwa hali hii kuna halali gani ya kumhubiri Kristo?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mkuu sizani km ataweza kukemea!!! Kwasababu uprotestant siku hizi umeacha njia ya waasisi wake km kina Luther Umekua unaomba msamaha kwa uvaticano Ndio
Maana wamuona ndugu yetu hana nguvu sn ktk hoja zake!

Kwani Ishmael ni mprotestanti au mkatoliki?

Halafu mkuu kwanini hujaniletea kabisa hawa marafiki zangu akina Remote Elli Eiyer Nyakageni Kakende chamtemamoto na mgen????
 
Last edited by a moderator:
Siku zote mimi ninamheshimu mtu mwenye shule, Kamanda wa zamani wa JESUITS, Papa Francis wa kwanza ana Phd ya theolojia, Have you any idea what is theology?
Ishmael bin max msome huyo jamaa yako hapo juu halafu mjibu kwa msimamo wa Bibilia km kweli we unamfuata yesu kimatendo.

Anasema WAKATOLIKI wamekwenda shule.
Manake wasomi sana.

Ndio maana wameruhusu hii biashara ya kuchezea sehemu mbovu!
We unasemaje?
 
Ishmael tafadhali Acha kupotosha umma bwana..!!

Mahdi sio mpinga Kristo..! Km unaweza kuprove hii Mahdi kua ni mpinga kristo kupitia biblia Lete hapa ushahidi!

Mahdi is the Anti Christ and not Papa. Furthermore, allowing homosexualism is not a sign of Antichrist, in contrast, even in the Quran and Hadith homosexuality is mentioned and in some verses and hadith it is halal.
Gay Muslim Imam Brings Message of Tolerance to Europe ...

Life as a Gay Imam Isn't as Bad as It Sounds | VICE United...

Imam blesses union of gay Muslim couple in France

Last edited by a moderator:
What does the Bible say? Mbona unaanza KUTOKA POVU MAPEMA KWEUPEEE

Biblia inapingana na maneno yako:

Sasa, wapi kwenye Biblia panaruhusu ushoga? Nipe aya.

Wakatoliki waliberali Wanatumia maandiko haya Kuhalalisha ULIBERALI.
We unasemaje?

https://matthew2262.files.wordpress.com/2013/07/billb5.jpg

http://www.wouldjesusdiscriminate.org/assets/images/billboard-images/wjd-billboard-born-gay.jpg

http://www.wouldjesusdiscriminate.org/assets/images/billboard-images/th-wjd-billboard-ruth-naomi.jpg

Na hilo ni kanisa mojawapo linalo ungana na vatican ktk BIASHARA HII.

http://www.theprisma.co.uk/wp-content/uploads/2014/05/Nigel-Desborough-3.jpg
 
Kwani Ishmael ni mprotestanti au mkatoliki?

Halafu mkuu kwanini hujaniletea kabisa hawa marafiki zangu akina Remote Elli Eiyer Nyakageni Kakende chamtemamoto na mgen????

Ha ha ha ha ha.
Leo mkuu mbavu mpaka zinauma huku.

Jamaa kila wakichungulia Wanaiona keyboard ya moto.

Watasema nini wakati BABA LAO limeshafunga MKATABA NA Wasodomi?

Huyu Ishmael kaanza kuuvuruga uzi kwa kutuletea yasio husika na Uzi.

Hata kusema kuwa PAPA kafanya Uovu hataki!
Hapa ndipo ninapoweza Kutambua ni nani mfuasi wa Yesu na nani mfuasi wa MPINGA KRISTO.
 
Last edited by a moderator:
Halafu, just recently waliwawekea ngumu MAFIA with their dirty work(naitafuta ile habari) and now this!
 
Ha ha ha ha ha.
Leo mkuu mbavu mpaka zinauma huku.

Jamaa kila wakichungulia Wanaiona keyboard ya moto.

Watasema nini wakati BABA LAO limeshafunga MKATABA NA Wasodomi?

Huyu Ishmael kaanza kuuvuruga uzi kwa kutuletea yasio husika na Uzi.

Hata kusema kuwa PAPA kafanya Uovu hataki!
Hapa ndipo ninapoweza Kutambua ni nani mfuasi wa Yesu na nani mfuasi wa MPINGA KRISTO.
Ukitaja jina la Yesu tu, mnaanza kutokwa povu. NDIO MAANA YESU KRISTO sio Issa aliye kwenye Quran yenu. YESU KRISTO NI MUNGU MKUU, tena Mungu wa viumbe vyote mpaka Mtume wenu Muhammad na Allah pia.

SASA WAPI YESU KASEMA USHOGA NI HALAL? Leteni aya bana.
 
unapozungumzia kanisa jua unamzungumzia Kristo,na unamzungumzia Kristo unamzungumzia Mungu. kwahio kanisa kama mwili wa Kristo halitaweza kumtenga mwenye dhambi,kumbuken Kristo mwenyewe alilaumiwa sana alipokuwa anachangamana na wenye dhambi,na kilicho mleta hapa dunian ni kuja kuwaokoa wenye dhambi,na baada ya kuondoka aliliachia kanisa kazi ya kuwavuta watu wote kwake,"na kwamba mataifa yote yahubiriwe kwa jina lake habari ya toba na maondoleo ya dhambi; sasa je mashoga hawaruhusiwi kuhubiriwa juu ya habari za Kristo? na kama ndio watahubiriwaje ikiwa watatengwa na kanisa? kumbukeni MUNGU ni mwenye huruma na upendo hivyo kama kanisa likiwa kama kichwa cha Kristo na Kristo akiwa mwana wa MUNGU,liachen kanisa liwavute watu wenye dhambi waziache dhambi zao na kumrudia MUNGU,,kila la heri maaskofu na makadnali wetu katika kazi hio ngumu ya utume wa Kristo.
 
Mafia ......Rome empire ,,,,,,,the kingdom of earth ........who are these powerful ........
 
I am not a Catholic but MLOKOLE TENA WALE WANAO LIA SANAAAAAAA

Ok Vzr..! Lkn ishmael wewe km mprotestant unaweza ukaniambia mnapinga nini kwa RC? Maana km kutunza siku Ya kwanza ya Juma Ambayo RC Ndio chanzo cha hiyo siku wewe unaitunza pia. Kwa mnapinga nini sasa mkuu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom