Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Tupia hapa hiyo link ili tudadavue pamojaWatu wanataka kupotosha umma. Mkutano wa Sinod hauwezi kubadili msimamo wa Kanisa. Nimesikiliza habari sasa hivi Vatcan wamepinga tamko hilo.
Tupia hapa hiyo link ili tudadavue pamojaWatu wanataka kupotosha umma. Mkutano wa Sinod hauwezi kubadili msimamo wa Kanisa. Nimesikiliza habari sasa hivi Vatcan wamepinga tamko hilo.
Anatamani uwe karibu take akukate kidochi chi chi chi chiiiSasa hapo wewe unachobisha nini?
Mbona hizo nakala za pf3 na hayo maswali hukuuliza kabla ya kucloclude kuwa mi muongo?
Umepanic? Relax....
Hii habari ni yakweli ukitaka kaulize pale kanisa katoliki kibaha na Huyo katekista alifukuzwa kazi baada ya kubainika ni kweli...
Unakataa kuwa haya mambo hayapo? Rejea link ya Nyani Ngabu hapo juu...
Mkuu mbona kwenye Yale mambo ya waislamu unajitutumuaga Sana?? Vipi hapa mbona unagwaya Sana?
Zile post unazowekaga hazileti maswali?? Kama unataka mijadala uwe free kupokea lolote unalopenda na usilopenda.....
It is the responsibility of the claimant to prove his/her claims. I was not even supposed to ask for those documents at the very first place. My post declaring unveracious and questioning the authenticity of your claims, was enough for you comprehend that you did not support your claims with provable and verifiable evidence.
I don't care about the dude you mentioned. His/her post is bogus and may cause mental illness to readers.
Unawezaje kurukia kuhukumu kuwa ni uongo bila Ku prove kwanza??
Habari za mapadre na makatekista kulawiti zimeanza Leo??
Tuache hayo .... Vipi hayo ya akina papa unayaongeleaje?
i thank God i am not catholic. simtambui kabisa papa ila namheshimu kwasababu ni kiongozi wa watu. lakini hata kama huyo angekuwa kiongozi wangu, nina uhakika kuwa there is more homosexual practices in the muslim community than in the christian, regardless of the fact that some christian governments have legalized it. hata hivyo hawawezi kuwafikia. arabs are champions of unnatural sex. kama hauamini nenda zanzibar, mombasa, au pwani yote ya tz utagundua kuwa these guys preach what they don't practice. nina uhakika kama Mungu angekuwa anaweka alama kwa kila takataka anayefanya ufirauni huu, watu wengi wenye kanzu wangekuwa na madoa mwili mzima.
Hahaaa very funny, kama ulikuwa hujui kwa waarabu hata kuzini tu ni zambi kubwa, achilia mbali hayo mengine hata ndiyo maana ukiangalia HIV rate kule ni ndogo sana, acha kukariri
Ishmael Leo hataki kusema chochote juu ya hili Wakati ktk mada zingine km Za ndugu zetu wa upande wa pili hua unakomaa sn...!
Umemuuliza swali zuri Ngoja Tuone atajibu nini!
Ishmael ameshakuwa kitoweo kanisa limeshasema nani wa kupinga?Yeah huwa anakomaa Sana nakumbuka aliwahi pigwa ban ya miezi 3 kipindi anatumia jina la schiendler kwa kosa la kuukashifu mno uislamu....
Alikuwa kutwa naleta habari zihusuzo waislamu sasa nashangaa Leo kanywea Sana....
Ngoja tuone labda ataleta chochote.....
Kazi ya kuprove ni yako and not me. Kwenye kesi huwa kuna mlalamikaji na evidence zake na mtuhumiwa na yeye kuw anakuja na evidence zake za kupinga claim. Hapa mtuhumiwa hayupo lakini mlalamikaji au Plaintiff yupo. Sasa you as a plaintiff you need to annex evidence in your summons and complaint.Unawezaje kurukia kuhukumu kuwa ni uongo bila Ku prove kwanza??
Habari za mapadre na makatekista kulawiti zimeanza Leo??
Tuache hayo .... Vipi hayo ya akina papa unayaongeleaje?
Biblia inapingana na maneno yako:Ishmael ameshakuwa kitoweo kanisa limeshasema nani wa kupinga?
Ishmael Leo hataki kusema chochote juu ya hili Wakati ktk mada zingine km Za ndugu zetu wa upande wa pili hua unakomaa sn...!
Umemuuliza swali zuri Ngoja Tuone atajibu nini!
Kazi ya kuprove ni yako and not me. Kwenye kesi huwa kuna mlalamikaji na evidence zake na mtuhumiwa na yeye kuw anakuja na evidence zake za kupinga claim. Hapa mtuhumiwa hayupo lakini mlalamikaji au Plaintiff yupo. Sasa you as a plaintiff you need to annex evidence in your summons and complaint.
Ndio maana nilisema, mimi sikutakiwa kukukumbusha kuwa unatakiwa kusaidia madai yako. Kama tungekuwa tupo mahakamani, elewa kuwa, Kesi yako ingetupiliwa mbali. Now, to make the story short, why don't you give me the evidence ili-nikubali kosa la kukusingizia na kutubu mbele ya kadamnasi, I am ready to do that.
KUHUSU PAPA:
Mimi ni mfuasi wa Yesu Kristo Mungu na sio Papa. Hivyo ya Papa namwachia Papa. Mie niulize kivipi YESU NI MUNGU, Walahi nitafurai na kukua kutoa dozi kwa Wanao pinga Uungu wa Yesu.
Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba Mungu huwaachilia kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.
Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.
Tupo pamoja Mkuu.
Yeah huwa anakomaa Sana nakumbuka aliwahi pigwa ban ya miezi 3 kipindi anatumia jina la schiendler kwa kosa la kuukashifu mno uislamu....
Alikuwa kutwa naleta habari zihusuzo waislamu sasa nashangaa Leo kanywea Sana....
Ngoja tuone labda ataleta chochote.....
My leader is the Holy Spirit.Hayo maneno mwambie papa basi si kiongozi wako?
Ha ha ha ha!
Mkuu we huna habari kuwa Hii topic imekuna watu vibaya mno.
Usishangae kuna kiongozo mmoja humu kiroho kinamuuma mno.
Anatani kuifuta kabisa. Hapa anachosubiri ni Mtu atukane tu.
Atakula ban ya mwaka na uzi utatiwa kapuni ss hivi.
Uliberali unavunja heshima kabisa kwenye Kanisa hili.
Huu ni USHETANI wa kupindukia.
This is tupidity.
What do you get when you lie?
If this thread was attacking Muslims, by now ingekuwa imesha fungwa. Sasa huoni kunakitu hapa?
Leo hata kiswahili hakipandi.
Haki maana yake nini?hapo ndo ninapoamini kwamba dini yangu ni ya haki maana toka kitabu chake kishushwe hakifanyiwa editing