Ni uchumi,lakini other things are unfolding!Kwa mfano Romney mwenyewe anavyojinasibisha na uwezo wa kutoa maamuzi sahihi kuhusiana na siasa za middle east,pia uchumi,bado kuna mambo ambayo yanaelekea in a positive way,jobs where created,just last month labor dept wametangaza!hata kama hazikufikia level waliyoitaka,(unemployement still is high),lakini its a step given the magnitude of economic crisis,feds wametangaza stimulus package nyingine,hilo limefanya markets zikareact in a positive way,hata s&p 500 imepanda juu kwa mara ya kwanza toka 2007,na more jobs will be created,hayo ni mambo yanampandisha Obama chati kwenye kuhusu uchumi,so fwatilia yaliyobandikwa humu usome,kuna links pia,soma!soma btn the lines!halafu uchanganye na zako.Its the economy stupid,Wamarekani siyo wajinga.Ingekuwa "kubwa kuliko yote ni uchumi" basi Romney angekuwa anaongoza kwenye polls manake umesema yeye ndio anakubalika zaidi kwenye mambo ya uchumi. Central theme yako imepinda.
Somebody took it "literarly"!Long live msnbc,long live Rachel Maddow!Long live Laurence Odennel of the LAST WORD!Long live mr ED!God willing!Obama and the middle class will be victorious!
Mkuu simply put those who question Obama, are mainly doing so because they are racist, not because Obama is incapable or because Romney is capable.
Yea!tena a good number of wanaamini kuwa Romney ndo alifanikisha Bin laden kuuwawa!Mkuu simply put those who question Obama, are mainly doing so because they are racist, not because Obama is incapable or because Romney is capable. The good thing about democracy is that people have a right to demonstrate their craziness, and twist the facts in favour of their unpopular opinion. But that does not change the hact.
If you look into details of the whole drone program and how many attacks have been personally directed by Obantu, if you look at healthcare reforms despite being criticized by some ******, if you look at all efforts which are being made to reverse the economic downturn, if you will admit the fact that homeland security has been better and no attack has taken place on US soil like it was under GOP when Racist-in-chief Dick Cheney and the cowboy in Chief Dubya were in office. The current administration imefanya kazi katika front zote na kuifanya Marekani at least irudi kuwa real Marekani, na sio Marekani ya kutuma wanajeshi laki 2.5 kumuondoa Sadam wakati wanaweza kutumia njia nyingine rahisi sana kufanya hivyo, bila gharama kubwa.
There are few mazoms out there who said that they are happy to see what Obama did, and they see that he is doing great job, but his skin color does not make him good president......that is why they in what they call...OP project. Make a nigger one term president. Still that is the beauty of democracy.
By the way i enjoy watching Fox and msnbc....Schultz in particular, and that tom boy... Oxford graduate. Kwa sasa wanafurahisha sana jinsi wanavyoaanalyze issues in terms of facts (not race and prejudice).
Kwa mtu mwenye akili timamu ni vigumu sana kuona Romney anashinda, ule ujinga na kusema mzungu mpumbavu na taahira ana akili kuliko profesa mweusi, inaonekana hauna nguvu tena miongoni mwa wamarekani. Will see that in November 7.
the economic downturn, if you will admit the fact that homeland security has been better and no attack has taken place on US soil like it was under GOP when Racist-in-chief Dick Cheney and the cowboy in Chief Dubya were in office.
Dick Cheney is racist in chief? Wow!!
Yes Dick Cheney is Racist in chief. And he is mad because there is a talk that the heart implanted in him, is of blackman, and Obantu is his cousin. He is worried that it is too much for him to have a black heart and black President.
Oh come on now! Are you serious?
If you question Obama then you are mainly doing so because you are racist? Really?
So in your mind Obama is beyond reproach and any criticism toward him is deemed racist?
They might as well just let him run unopposed and not even bother holding an election if that is the case.
And he should criticize them without them criticizing him back because if they do that they will be doing so mainly because they are racists. Wow!!
Nachoka kabisa!
My meaning is, he is MAINLY (not entirely) being criticized for being Obantu, not because of being incapable.
mara nyingi chama cha democratic kimeonekana ndio rafiki kiduchu kwa mataifa ya africa( ingawa marekani hawana rafiki wa kweli).lakini kipindi hichi cha miaka 4 ya Obama nimeona hata Bush alikua afadhali an alianzisha programme za kusaidia uchumi wa nchi za Kiafrika Mfano AGOA na Millemium Funds,Vita dhidi ya HIV na Malaria.
Pia wakati wa Bush wa republicam ameweza kuondoa vikwazo vya visa na kuongeza muda wa visa kwa nchi nyingi za africa na kwa wanaojiweza kujisomesha wakati wa bush visa zililegezwa,
Ilitarajiwa Obama akiwa ni Mjaluo kwa kuzaliwa , na akiwa na asili ya bara la Afrika atalipa kipaumbele bara hili kulinasua katika wimbi la umaskini kwa kuwapatia misaada muhimu zaidi na nafasi zaidi lakini imekuwa kinyume kwani kuna kitu kinamsumbua nacho ni infiriority complex..yaani hajiaamini kufanya maamuzi yoyote ambayo ataoneka "mwafrica" na anasaidia kwao..hii imemplekea hata safari zake za afrika ni zile alizofanya Eygpt na Ghana mwanzoni wa Urais wake.
hivyo kutokana na hayo mimi nadhani kwa bara la afrika itakuwa bora mara mia moja Romney awe rais wa marekani kwani lolote atalofanya kusaidia africa atafanya kwa kujiamni na akiamua atafanya bila ya woga kinyume na huyu Jaluo wetu hajiamini hata kidogo.
hata kama kuna neo cons nyuma Romney lakini kwa bara la africa its better Republicans kwa sasa..hayo
ndio maoni yangu
Pengine ana mawazo sawa na baadhi yetu!pengine anatuonea huruma kwasababu anazitambuwa "strings attached",pamoja na the fact kwamba misaada hiyo haina manufaa ya longer terms kwa wananchi wa kawaida!mara nyingi chama cha democratic kimeonekana ndio rafiki kiduchu kwa mataifa ya africa( ingawa marekani hawana rafiki wa kweli).lakini kipindi hichi cha miaka 4 ya Obama nimeona hata Bush alikua afadhali an alianzisha programme za kusaidia uchumi wa nchi za Kiafrika Mfano AGOA na Millemium Funds,Vita dhidi ya HIV na Malaria.
Pia wakati wa Bush wa republicam ameweza kuondoa vikwazo vya visa na kuongeza muda wa visa kwa nchi nyingi za africa na kwa wanaojiweza kujisomesha wakati wa bush visa zililegezwa,
Ilitarajiwa Obama akiwa ni Mjaluo kwa kuzaliwa , na akiwa na asili ya bara la Afrika atalipa kipaumbele bara hili kulinasua katika wimbi la umaskini kwa kuwapatia misaada muhimu zaidi na nafasi zaidi lakini imekuwa kinyume kwani kuna kitu kinamsumbua nacho ni infiriority complex..yaani hajiaamini kufanya maamuzi yoyote ambayo ataoneka "mwafrica" na anasaidia kwao..hii imemplekea hata safari zake za afrika ni zile alizofanya Eygpt na Ghana mwanzoni wa Urais wake.
hivyo kutokana na hayo mimi nadhani kwa bara la afrika itakuwa bora mara mia moja Romney awe rais wa marekani kwani lolote atalofanya kusaidia africa atafanya kwa kujiamni na akiamua atafanya bila ya woga kinyume na huyu Jaluo wetu hajiamini hata kidogo.
hata kama kuna neo cons nyuma Romney lakini kwa bara la africa its better Republicans kwa sasa..hayo
ndio maoni yangu
mara nyingi chama cha democratic kimeonekana ndio rafiki kiduchu kwa mataifa ya africa( ingawa marekani hawana rafiki wa kweli).lakini kipindi hichi cha miaka 4 ya Obama nimeona hata Bush alikua afadhali an alianzisha programme za kusaidia uchumi wa nchi za Kiafrika Mfano AGOA na Millemium Funds,Vita dhidi ya HIV na Malaria.
Pia wakati wa Bush wa republicam ameweza kuondoa vikwazo vya visa na kuongeza muda wa visa kwa nchi nyingi za africa na kwa wanaojiweza kujisomesha wakati wa bush visa zililegezwa,
Ilitarajiwa Obama akiwa ni Mjaluo kwa kuzaliwa , na akiwa na asili ya bara la Afrika atalipa kipaumbele bara hili kulinasua katika wimbi la umaskini kwa kuwapatia misaada muhimu zaidi na nafasi zaidi lakini imekuwa kinyume kwani kuna kitu kinamsumbua nacho ni infiriority complex..yaani hajiaamini kufanya maamuzi yoyote ambayo ataoneka "mwafrica" na anasaidia kwao..hii imemplekea hata safari zake za afrika ni zile alizofanya Eygpt na Ghana mwanzoni wa Urais wake.
hivyo kutokana na hayo mimi nadhani kwa bara la afrika itakuwa bora mara mia moja Romney awe rais wa marekani kwani lolote atalofanya kusaidia africa atafanya kwa kujiamni na akiamua atafanya bila ya woga kinyume na huyu Jaluo wetu hajiamini hata kidogo.
hata kama kuna neo cons nyuma Romney lakini kwa bara la africa its better Republicans kwa sasa..hayo
ndio maoni yangu
Pengine ana mawazo sawa na baadhi yetu!pengine anatuonea huruma kwasababu anazitambuwa "strings attached",pamoja na the fact kwamba misaada hiyo haina manufaa ya longer terms kwa wananchi wa kawaida!
Bush amewaletea kiwanda cha neti za mbu na wakati wamarekani wao waliitokomeza malaria!JK naye akienda huko anaenda na desa la kuomba pesa!unakumbuka ile picha alivyokuwa akimtizama kwa huruma JK akisoma makaratasi mareefu!
Food fo thought:mtu mwenye njaa,usimpe samaki,mfundishe namna ya kuvua samaki
That's the other side of the coin...
I think helping people is a combination of a multiple approaches, and I don't agree that donating nets was a bad idea. For, you need health and well fed people to absolve knowledge, work, protect their communities etc.
Umesoma niliposema "longer terms"?narudia tena,wamarekani hawakutegemea neti za mbu,waliitokomeza malari,fwatilia hilo la historia ya malaria na marekani.Neti ni short term plans wala sidhani zilihitaji marekani na Bush.
We just need to eradicate malaria mkuu wangu.Ndiyo maana nikatoa mfano wa wa "providing fish vs teaching how to fish",moja ni long term,moja ni short term.I know what Americans did to eradicate Malaria. But what I am trying to tell you is giving nets has long term incentives, if you know what I mean. For it has been documented that Malaria causes unproductivities in areas where the disease is rampant. For example, people call sick and students miss schools regularly. So if you manage to increase productivity through the use of nets, you will help the country dearly.
Additionally, using nets induces positive change in people's behavior. Those who have used the nets and enjoyed their benefits wouldn't stop using them. This change of behavior, even though slight, is enormous in a poor country like ours.
I am not a fan of Obama, but you can't fault him on foreign aid because the climate in the US doesn't favor giving handouts to poor nations. The US economy is bad, and nobody would understand Obama if he continues to pump money into Africa, when government programs at home are starved.