The US Presidential Elections-2012


270 NEEDED TO W




Barak Obama VS Mitt Romney

Barack Obama
3
Electoral Votes
700,515 Popular Votes



Mitt Romney
8
Electoral Votes785,486 Popular Votes







 

Wongo mtupu.

Picha hii ni ya uchaguzi uliopita wakati siku mbili kabla ya uchaguzi wakati Bibi yake aliyemtunza alipofariki, hapa alikuwa anatangaza msiba uliompata wakati wa kampeni miaka minne iliyopita.

Kampeni chafu za kumchafua Obama, hata ukiangalia picha yake siku hizi ana mvi zaidi kuliko hiyo picha.
 





Barack Obama (D)


3
Electoral Votes
1,412,691 Popular Votes




Mitt Romney (R)



13

Electoral Votes
1,508,923 Popular Votes


 
no disrespect to americans lakini kama watu wanapigiwa simu na hizo robocalls na kuambiwa kua voting day ni wednesday na sio tuesday na wao kweli wanaamini then those ppo must b so dumb coz sisi tulio nje ya america we all know the election day is tuesday kama wao bado hawajui then i feel sorry for them
 
Wana Jf msinicheke. My crystal ball tells me that Obama will trounce Romney. Wenye kupinga wapinge you can bet.
 
...Florida na Ohio.

A win here puts the boot on the challengers neck!

Go Team Obama!
 
Hadi usawa huu Romney ana electoral 33 na Obama ni 3.However projection inaonyesha Obama atashinda Ohio,na Florida yuko mbele kwa kura kama 90,000.
 
Mungu wangu obama anakabidhi ikulu yan marekani kwa ubaguzi ni noma
 
Mkuu wamarekani wakimchagua ROMNEY watadhihirisha ujinga wao! Jamaa KINYONGA mbaya!
 
Vermont State independence candidate ameshinda kiti cha Senate.
 
Obama anaongoza FLORIDA..... Uhesabuji unaendelea, akishinda FL anakuwa na 29 electrocolage votes!!
 
Mungu wangu obama anakabidhi ikulu yan marekani kwa ubaguzi ni noma

Yaiskushtue matokeo hayo, hizo state za Kentuky na West Virginia ni nyumbani kwa Republican tangu lindwe taifa la Wamarekani. Obama subiria matoke ya ukanda wa pwani ya Mashariki Atlantic ocean na pwani ya magharibi Pacific Ocean ndiko ushindi wa Demokratic uliko na ndiko kwenye electoral nyingi.
 
Mwaka huu ni tofauti, kwanza kampaka kimavi OBAMA now anaburuzwa mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…