The US Presidential Elections-2012

Machozi ya Unafiki tu analilia madaraka shame...

gadafi alikuwa shemeji yako,hiv unajua uyo mjinga gadafi alimsaidia idd amin kwenye vita ya tanzania na uganda,na waliua ndugu zetu wasio na hatia na bado aitoshi wakaua raia wao tena aliwaita wadudu,alale vibaya motoni alipo,ameua watu wengi ata shetan anamuogopa,
usitetee shemej yako gadafi uku ujui alichofanya,ata kama asingekuwa obama rais bado gadafi angepigwa tu,hivo funga mdomo uo
 

maamumuzi ya kuivamia libya yalipitishwa na UN security council ambacho ndicho chombo cha juu kabisa duniani kwa ulinzi. acha kuwa na akili ndogo........
 
Im saying few Ave Maria for Obama to win election
 
Uchaguzi mgumu kwake ulikuwa ni wa kwanza. I hope with his reforms and policies to stand and favor the poor and middle class in US atashinda tu. Hata hivyo anatakiwa sasa a revise sera zake kwa Afrika. Ule uafrika tuliokuwa tuna u fell kwake tuuone sasa.
 
Aliyemuua Ghadafi alikuwa sio Mlibya?
 
Machozi ya jicho moja?hilo lemsababishwa na upepo wa baridi.
 
Kuwa mwangalifu mkuu OBAMA hajauawa bali aliyeuawa ni Gadafi

nisharekebisha,asante mkuu jamaa ameniaribia siku anavyo mtetea gadafi na kusema obama ndie kamuua gadafi,kwenye kuandika haraka ndio mistake ikatokea,nisharekebisha,asante
 
Mna lalamika sana! aliyekuambia Obama kamuua Gadhafi ni nani mkuu!? na aliyekuambia kama rais angekuwa Romney angemtetea Gadhafi ni nani??? Toa sababu nyingine za chuki kwa huyu genius lakini sio hiyo mkuu!

Mimi kuna msemo naopenda kusema kwenye chaguzi za America kwamba "whether stone fall on eggs or eggs fall on the stone the end result is the same" meaning wamchague Obama au Romney hakuna jipya waafrika watalitarajia maana America in foreign policies zao so rais haamki asubuhi na mapema eti nataka nikatembee Brazil kama marais wa pande zetu ama eti tuipe misaada Tanzania.For what wewe upewe wengine wanyimwe
 
Joto inazidi kupanda kwa upande wa Obama na amekwenda kujichimbia huko chicago kusubiri matokeo! Pamoja na polls nyingi kuonesha ushindi kwake bado ana onekana kuteteleka!

Watu wamesha anza kupiga kura, kinacho nifurahisha kwa wanzetu wana muamko wakujitokeza kupiga kura ukiangalia vituo wamefurika vya kutosha!

Lets wait for result but am praying for Obama!
 
Obama prolong kijana wa kiafrika hata mie nakukubali, Du big up sana
 
Will race be a fact on this election?

Obama-Romney election: Is race a factor

My Take:Race is always the factor and has always been.Ninachoamini,ni kwamba weusi wengi sana wanamsapoti Obama kwa nguvu zao zote.Hilo linaweza kuwa limechangia propaganda za tea partiers kuhusiana na watu weusi,hivyo ni wazi kuna wengi zaidi watakaopiga kura za race.Ni wazi baada ya Obama kushinda,ile movement ya tea party ilikiteka chama cha republicans,na movement hiyo ilibase kwenye uongo kwamba Obama siyo mmarekani na kwamba ni mkomunisti.Hivyo walijikusanya na kuhakikisha wanapata wawakilishi wengi kwenye congress,na waliposhinda,walisema wazi kabisa kuwa nia yao kuu ni kuhakikisha kuwa Obama hafanikiwi kwa lolote lile na kwamba hii itakuwa term yake moja.So hapa kwa maoni yangu ni kwamba advantage ni Romney(endapo wapiga kura wa Obama hawatajitokeza kwa wingi).
 

hata wewe hueleweki bana...ni marekani survellance drone ama satelaiti ndo waliwasonteshea ghadaf alipokua.na ujue siku moja kabla ya tukio Hillaly Demon Clinton alikua hapo tripol na alitoa go ahead ya kummaliza,walichofanya ni kuyapiga mabomu maficho yake kwa ndege,alipochomoka toka mafichoni wakaupiga mabomu msafara hadi ukatawanyika na ghadafu alipojificha kwenye karavati walikua wakimuona kupitia livevideo streaming toka kwenye drone.ili kujiondoa lawama ya kumuua wakawasonteshea wale free libya army wakaja kumuua.
Obama hawezi kukwepa kuhusika .HE IS A COLD BLOODED KILLER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…