The US Presidential Elections-2012

Romney ni debe tupu...atagaragazwa leo vibaya sana ..hana kitu kichwani ..yaani kwa kifupi republican hawana mgombea ni pazia tu lile

Vice wake(Ryan) ni wa ukweli sana aise naona ndie atakaembeba..Jamaa ana data za kutosha debate yake na Joe Bidden ilikua hot kinyama
 
Uswe yupo sahihi katika maana kwamba hakuna anyeweza kuwa raisi wa Marekani bila kuungwa mkono na jews na hii ina sababu zake, moja ni kwamba Wajews walijifunza kutoka Germany walipouwawa kwani hawakumiliki vyombo vya habari, leo asilimia 82 ya media zote za marekani zinamilikiwa na jews,kwaiyo ni rahisi sana kwao kujenga agenda na kuisambaza kwa wananchi na kisha wananchi wakafuata, pia kampuni kubwa zote za kusambaza magazeti au vitabu ni zao. Kwaiyo watakachoweza kufanya ni agenda setting na kisha kuitumia media houses walizonazo kuuza wazo pia Jews ndio wanaongoza kutoan fedha nyingi za kampeni kwa wagombea na marekani bila pesa za kampeni huwezi kuwa raisi. Lakini kwa upande wa Obama ifahamike kuwa kampeni yake ya uchaguzi inaongozwa na wayahudi akina David ploufe, david auxerold na hata Rahm Emmanuel yeye alikuwa Chief Secretary wa obama. Kwaiyo si kweli kwamba wayahudi wote hawampendi obama,ila ni wale wayahudi wenye msimamo mkali kama Benjamin Netanyau.

Kwa nyongeza OBAMA alipo deliver speech yake UN hivi karibuni alisema "America Will do what it must do to ensure IRAN wont possess NUKE"... Maana yake ni kwamba IRAN kuchezea kichapo ni baada ya UCHAGUZI wa NOVEMBER... take it from me... IRAN atachapwa OBAMA akiwa RAIS na COMMANDER IN CHIEF of US forces... ni timings tu za kisiasa kwa sababu ya UCHAGUZI ndio maana it seems America haita toa kichapo kwa IRAN kumbukeni moja wapo ya sababu zilizomwangusha JOHN McCAIN 2008 ni obsession ya WAR alikuwa anajitapa na akafunga safari mpaka IRAQ na AFGHANISTAN, ila ukweli ni kwamba vita za IRAQ na AFGHANISTAN ziliongeza matatizo ya economic crisis to recession, in short wamarekani hawataki vita... na ndio maana BIDEN amesema hawawezi kuruhusu majeshi ya marekani kukaa sehemu ambayo ni very dangerous kama Afghanistan.....
 
Hivi John McCain aliposhindwa na Obama 2008 alikuwa haiungi mkono Israel? priority ya america sasa hivi ipo katika Foreign policy ya marekani, Health care Insurance for Middle class, unemployment na uchumi atakaye weza kuwa convince wamarekani katika maeneo hayo kura zitatosha!
 
Kwa hivi sasa majimbo ya kuangalia ni Ohio, Florida na Virginia, miongoni mwa yale yanayoitwa swing states, kukisalia siku 26 kabla ya uchaguzi. Romney anahitaji kushinda majimbo yote hayo matatu kupata electoral votes. Obama anahitaji kushinda mawili tu kati ya hayo, kukiwemo Ohio, kurudi White House. Kwa sasa hivi namba zipo upande wa Obama.
 
WASHINGTON (Reuters) - President Barack Obama and Republican challenger Mitt Romney are neck and neck in opinion polls, but there is one area in which the incumbent appears to have a big advantage: those who have already cast their ballots.

Obama leads Romney by 59 percent to 31 percent among early voters, according to Reuters/Ipsos polling data compiled in recent weeks.

Obama grabs wide lead among those who have already voted: Reuters/Ipsos poll - Yahoo! News
 
Binafsi mimi ni mwafrika safi kabisa lakini sishabikii uchaguzi wa Marekani hata kidogo, nasema hivo kwa kuwa rais wa Marekani anaongozwa na policy zao. Kwa hiyo kwangu mimi hata akichaguliwa Obama au Romney haitanipunguzia kitu kama Mtanzania au mwafrika. Kwani tokea Obama achaguliwe kuna nini cha ziada sie waafrika tumefanyiwa na mwafrika huyu mwenzetu zaidi ya kuona Ghadafi wa Libya akiangushwa na utawala wa Marekani huku wakiiacha Libya nchi isiyotawalika? So US president has nothing to do with Africa so long as he will be guided by US foregn policy and he has to follow them whether he like or not. So to me whether Romney or Obama elected it won't change anything in African daily life
 
WASHINGTON (Reuters) - President Barack Obama and Republican challenger Mitt Romney are neck and neck in opinion polls, but there is one area in which the incumbent appears to have a big advantage: those who have already cast their ballots.

Obama leads Romney by 59 percent to 31 percent among early voters, according to Reuters/Ipsos polling data compiled in recent weeks.

Obama grabs wide lead among those who have already voted: Reuters/Ipsos poll - Yahoo! News
Always democratic vote early .military vote hazijahesabiwa,and 2008 ,30 percent voted early and Obama took 28 percent .2012 only 7 percent voted early low turn out .john Kerry had 65 percent early voting and bush 30 percent .
 
WASHINGTON (Reuters) - President Barack Obama and Republican challenger Mitt Romney are neck and neck in opinion polls, but there is one area in which the incumbent appears to have a big advantage: those who have already cast their ballots.

Obama leads Romney by 59 percent to 31 percent among early voters, according to Reuters/Ipsos polling data compiled in recent weeks.

Obama grabs wide lead among those who have already voted: Reuters/Ipsos poll - Yahoo! News
Give credit to Romney .real clear polls he a head
 
Give credit to Romney .real clear polls he a head

Bibie,
I do not mean this as an insult. Lakini kajifunze Kiingereza kwanza kabla hujaja hapa. Una maana gani "real clear polls he a head?" Na hizi clear polls ni zipi? Unaweza kushindana na Reuters wewe?
 
Habari za siku Jasusi, naona kijana kakushika pabaya;hajui sisi tunampigia Jalamba JALUO!! All in all, Obama will have to fire all his eight cylinders on Tuesday during the second debate in order to recapture his lead in the polls!!
 
Wanazi wa Obama mnatafuta kila namna ya kujipa faraja baada ya disaster perfomance ya kipenzi chenu kwenye mdahalo na subsequent decline in the polls!!!
 
Ya ngoswe mwachie ngoswe wasitulazimishie sera yao ya mapenzi kwa jinsia moja
 
Wanazi wa Obama mnatafuta kila namna ya kujipa faraja baada ya disaster perfomance ya kipenzi chenu kwenye mdahalo na subsequent decline in the polls!!!
Nyani,
Kwenye polls we are still doing fine thanks. Na bahati nzuri Ohio kura tayari zimeanza kupigwa.
 
Back
Top Bottom