Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
Hata mimi naona Romney amefanya vizuri.
kuna kipindi Obama alikuwa na kigugumizi kama JK.
Hata baada ya mjadala mke wa Obama, Michele alionekana dhahiri kuwa amekuwa very disapointed wakati mke wa Romney alionekana kufurahia.
Kwa hiyo tatizo la Marekani ni Uislam?
Mbona hiyo mbinu hakuitumia msimu uke uliopita alipopambana na Mc cain??.
Mbinu kama hizi huwa zinatumika hata katika uchezaji wa mpira, mkienda kucheza katika nchi unayo shindana nayo utaona wachezaji wake wanajifanya kama hawajuhi mpira vile, mnaweza mkawafunga bao moja/mbili alafu mnaanza kuvimba kichwa - sasa ikija zamu ya timu hiyo kutembelea nchi yenu mnajikuta mnabamizwa magori lukuki. Kuna mbinu nyingi mkuu katika mabo ya siasa.
...Anayesema Obama amefanya vizuri ni lazima atakuwa ana mahaba mazito sana na Obama, kwenye debate hii Obama alikuwa kama Kilaza fulani hivi, am disappointed...
MSNBC's Chris Matthews rants, 'Where was Obama tonight?' - POLITICO.com
Bill Maher on Denver debate: Obama needed teleprompter - Kevin Cirilli - POLITICO.com
Press agree: Obama 'rusty,' Romney 'strong' - POLITICO.com
Denver debate: Obama stumbled - POLITICO.com
CNN Poll: Most watchers say Romney debate winner CNN Political Ticker - CNN.com Blogs
Analysis: Romney scores in debate, but will it be enough? | Reuters
Mbona hiyo mbinu hakuitumia msimu uke uliopita alipopambana na Mc cain??
Alafu huo mfano wa mpira ulioutoa si wa kweli. timu zinapocheza nyumbani huwa zinakaza mwanzo mwisho.
romney anafaa kuiongoza marekani.
Kuna ile video ya 2002 Fox news waliyoishikia bango,ambayo Obama alizungumzia kuhusu Hurricane Katrina na response ya Bush.Video ambayo ilionekana kama anawachukia wazungu.Obama angeshinda debate,basi ile video ndo ingekuwa topic,na ndiyo maana hata hakusema kitu kuhusu "47%" ya Romney.So inawezekana jamaa aliamuwa kuuchuna,ni mbinu za kisiasa.Obama na kampeni yake ni wajanja vibaya mno.Ku lay low kwa Obama jana nakubaliana na wewe kuwa haikuwa bure.Tukumbuke OBAMA ni binadamu anaye juwa kijieleza vilivyo, haya ya asubuhi ya leo wenda hikawa ni tacticts za kutaka kumchota akili Rommey ili baadae ajisahau na kuanza kuropoka kwa kudhani kamshinda kwenye mdaharo; lakini nakuhakikishia kwenye mdaharo unaokuja utaona a true colour ya OBAMA atamuacha Rommey midomo WAZI.
Mbinu kama hizi huwa zinatumika hata katika uchezaji wa mpira, mkienda kucheza katika nchi unayo shindana nayo utaona wachezaji wake wanajifanya kama hawajuhi mpira vile, mnaweza mkawafunga bao moja/mbili alafu mnaanza kuvimba kichwa - sasa ikija zamu ya timu hiyo kutembelea nchi yenu mnajikuta mnabamizwa magori lukuki. Kuna mbinu nyingi mkuu katika mabo ya siasa.
60 million watched itMkuu kwani huu ndio mdahalo wao wa mwisho? tuvute subira kwanza. Tukija kwenye mfano wangu kuhusu mpira sijasema kila mashindano mbinu hizi huwa zinatumika, lakini mimi niliwahi kushuhudia zaidi ya mara moja timu ya Taifa letu ikiwa victim wa mbinu hizi, nchi za kiarabu za Africa kasikazini wanaitumia sana.
Nasi hapa bongo tuandae mdahalo kati ya NAPE na MNYIKA
Nashauri iwe Mukama na Dr Slaa..makatibu wakuu wa vyama..
Nimefurahi sana asubui ya leo maana Obama ni kilaza tu analeta maneno mengi wakati Romney anatoa data za uchumi.Obama alibaki anashangaaa tu.MAREKANI INAMUITAZI MTUU KAMA ROMNEY.Kwanza asilimia 70% ya wamarekani wanaamini huyu jamaa ni muislum
Oh no the election is over and Obama is the winner