The Truth behind aliens

Mkuu nilichosema imethibitishwa mara nyingi. Tangu Mariner 4 (NASA) kwenye mwaka 1964 vipimaanga vimepita karibu na Mirihi. Viking 1 (NASA) ilikuwa chomboanga cha kwanza kutua kwenye Mirihi. 1997 Mars Pathfinder ilipeleka rover ya kwanza. Mars Express ya Umoja wa Ulaya ilizunguka Mirihi tangu 2003. Mwaka uliofuata, Marekani ilipeleka tena marover 2 (magari madogo ya kupiga picha na kupima mazingira) huko, yaliitwa Spirit na Opportunity.
Pamoja na hayo, nina uhakika hakuna binadamu atakayefika pale katika miezi 24 ijayo.
Nilichogundua wewe kidogo una idea kwa mbali ya haya mambo ya space..hawa "great thinkers" wengine wanazingua.
Ask me anything about space and aliens
 
mkuu how do you define beuty at looking....??

Una uhakika kuwa unachokiona kipo katika dimension reality au unaona katika ilusion reality...??

Kwanza lazima utambue kuwa macho yako yanaona katika dimension illusion na sio katika dimension reality...

Huwezi ukaconclude ukasema kuwa beuty at looking ndo nzuri kuliko view nyingine...

Is beuty more important than Intellingence...??

Hivi unatumia kigezo cha sura kusema kuwa kitu ni kizuri....?? seriusly....??

You are here to survive coz of intelligence we posses and not the beuty we own...!!

What is the beuty purpose you deserve ...??

Intelligence matters most na sio sura kama ulivyokomaaa...halafu unashangaza sana.....

Hata tembo na wanyama wengine wanadeserve kuwa na maumbo yale kuliko sisi binadamu,wanatuona kama viumbe wa ajabu sana tunaotumia two limbs kuwalk huku wao wakitumia four limbs kuwalk..

Kila species ina Intelligence yake katika kurecognize how beuty things posses....

Hebu kuwa mtu mzima basi ambae unaweza kujudge mambo sio kwa kigezo hicho...

They modify beutifulness unayodeserve kwa sababu ndo tool pekee kubwa inayoleta illusion kwa mwanadamu...

Eti Aliens wabaya...daaaah...you are here to judge beutifulness and not intelligence...umeshangaza sana...

kila species ina illusion yake iliyowekewa ili kumkeep busy kiumbe yule na mazingira....

Wanyama wanaenjoy kula majani kuliko nyama ila wewe unaenjoy kula nyama kuliko majani...thats how intelligence difference occur...

Usijudge mambo katika lowest dimension kiasi hicho mkuu...

Note that.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakanda mkuu hadi naona aibu
 
Habari wanajukwaa?
Naona kichwa cha habari kitakuwa kimekuvutia na wewe pia.
Hata mimi natamani kufahamu ukweli uliojificha juu ya viumbe hivi kutoka sayari nyingine. Nilishapataga kusikia sana hususani nikiwa bado kijana mdogo kuwa viumbe hivi vilikuja duniani na kufanikiwa kutua sehemu za US. walikimbizwa na majasusi wa kimarekani lakini vyombo vyao vilikuwa na kasi kubwa na vilikuwa na uwezo wa kukata kona ya nyuzi tisini.

Sina uhakika wa habari hizi ama ni hadithi za mwalimu wa fizikia, tafadhali mwenye ujuzi zaidi hebu atujuze!!

Wasalaam!!
Mkuu kuna usanii mwingi sana Duniani,na idea ya Aliens ni usanii kama usanii mwingine ambao the unsuspecting World citizens are exposed to.The truth is wenzetu wa nchi za magharibi wanapewa technologies nyingi sana na the so called Aliens.Lakini ukweli ni kwamba aliens is nothing but Fallen Angels au Mashetani or Demons if you wish as indicated in the Bible.Unajua nini,wanaona aibu kusema ukweli kwamba ni Demons,kwa hiyo wameyapa the fancy name of Aliens,the truth however is that Aliens are Demons.
 
Unaweza kutumia kigezo kipi kutudhihirishia usemacho mkuu?
 
Ukiliangalia Eneo la Area 51 ambalo linahusishwa na hawa viumbe wa ajabu waishio angani wa Aliens. Eneo hili lipo katika Jimbo la Nevada nchini Marekani ambapo kama ilivyokuwa kwa Bermuda Triangle, nalo limejaa mauzauza ya kila aina. Japo ni siri kubwa lakini inaaminika kuwa wapo Aliens wanaoishi eneo hilo ambalo lina ngome kubwa ya kijeshi ambayo mlango wake wa kuingilia umetengenezwa kamba pyramid (pembetatu) na ambao umechongwa kwa alama ya jicho moja. Kuhusu uwepo wa hawa Aliens eneo hili ndipo yanapoibuka maswali mengi hasa njia ya mawasiliano wanayotumia kwa maana ya lugha au ishara. Katika eneo hili mambo mengi ya kiteknolojia yamekuwa yakishuhudiwa na watu waishio jirani na eneo hilo.
Kuhusu kuwasiliana na aliens , tizama series moja inaitwa @falling sky
 
Unaweza kutumia kigezo kipi kutudhihirishia usemacho mkuu?
Kigezo authentic ni cha Biblia,ingawa yapo machapisho mengi yanayothibisha hili.Mkuu Biblia haizungumzii uwepo wa viumbe vingine vyenye roho vikivyoumbwa na Mungu isipokuwa Fallen Angels a.k.a.Demons and Humans. Naomba ufahamu kwamba Demons wana tabia ya kuweza kujipa any form,hata inayofanana na tunayoaminishwa kuwa ni Aliens.So to me Aliens are Demons given the fancy name of Aliens inorder to hide their true identity.The word "alien" infact means foreign or not native.The truth however is that Demons are not foreign to this World,they are here with us.So you see,ni utapeli tu.
 
Inamana hivi vidudu huwa vinatua US pekee tu....mbona huku bongo hatuvioniiii!!???

Au pengine labda vina uhusiano flani na US!!??

By the way Kuna viumbe vya aina nyingi sana hapa duniani na sayari zingine....ni vile tu tumeamua kuwa kalia kooni hao alliens.
 
Kigezo authentic ni cha Biblia,ingawa yapo machapisho mengi yanayothibisha hili.Mkuu Biblia haizungumzii uwepo wa viumbe vingine vyenye roho vikivyoumbwa na Mungu isipokuwa Fallen Angels a.k.a.Demons and Humans. Naomba ufahamu kwamba Demons wana tabia ya kuweza kujipa any form,hata inayofanana na tunayoaminishwa kuwa ni Aliens.So to me Aliens are Demons given the fancy name of Aliens inorder to hide their true identity.The word "alien" infact means foreign or not native.The truth however is that Demons are not foreign to this World,they are here with us.So you see,ni utapeli tu.
Ok saw mkuu,, hiyo nikulingana na kile unachoamini.
 
Back
Top Bottom