The Tricky Question: Mara ngapi na mkeo?

Tatizo la kujisikia mara nyingi mnatofautiana. Unapotaka yeye hajisikii na hivyo hivyo kwako.

Ratiba inapunguza manunguniko yasiyo ya lazima.
Mi naona ratiba italeta resentment hivi,bora mfatishe miili inatakaje,km unataka mwenzio hataki unamsaidia apande and viceversa
Japo inakuwepo miiko mf mke ukiwa kwny siku zako hakuna kitachoendelea hadi umalize
 
Mara tu abdallah kichwa wazi akiwa active na mama yeyoo yupo,basi tendo barikiwa litafuata
 
Nadhani mara3 kwa wiki ili kuleta ile kumisiana kuongeza utamu lol

Ila sio kwamba ndio sheria,ninapojiskia anytime au mwenzangu anapojiskia muda wowote hatuna budi kufanyana.

I miss you Valentina🙂
 
Ratiba haipangiki mkuu. Kwenye baridi tunajifunika shuka moja, kwenye joto bila kyupi. Sasa ratiba inawezekana kweli?
 
Kikubwa kuwe na chemistry kati yenu...muda wowote hiyo chemistry iki take place inatakiwa mpige show..
 
Shuleni ratiba; kula chakula ratiba; na kugegedana ratiba Hii siwezi kabisa vinginevyo nitatafuta kidumu au kibubu pembeni!!!
 
Hii hutokea kwa mwanaume wakati amestukiwa ametoka kwa mchepuko. Hakawii kusema leo sijisikii vizuri.

hahahahahahahhah
 
mimi mchaga wangu ananitaka niweke appointment kwanza na wakati mwingine inabidi nitengeneze mazingira ya kutoa hongo! ndio mechi ya kirafiki ifanyike kinyume na hapo mechi itahairishwa au mechi ya kibabe ifanyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…