The Tricky Question: Mara ngapi na mkeo?

Hongera zako kama yuko hivyo. Wengi ni kinyume chake
 
Haswaa...
 
Umeona eeh,mnaeza jifanya watu wa ratiba then vikiwapanda mnafanyaje? Mtaangaliana msubiri siku ya ratiba!

Afu ujue tumevamia Uzi ulikua unawalenga wanaume
Teh! Teh! Teh! Ni wetu sote kwani Mume na mke wakiungana si damu moja
 
Staki kukumbuka nilivyo kua namkunja bafuni, jikoni, kwakochi, kwenye gari na paleeeee chini ya ule mti wakati tunatoka matembezini.
Ebu ngoja nisitoe siri mie....
 
Tendo la ndoa halitakiwi kuwekewa ratiba, kumbuka linahusisha hisia. Mkijisikia ni vizuri kupeana maana "mume hana amri juu ya mwili wake, vivyo hivyo mke hana amri juu ya mwili wake", msinyimane...lakini muwe na kiasi!!!!
 
Khaaa hivi ninyi mnaosema anytime mkishikwa na hamu mnapangaje uzazi?
 
Khaaa hivi ninyi mnaosema anytime mkishikwa na hamu mnapangaje uzazi?
Mmmh, Khantwe sio kila mkinjunjana lazima kijibu...lol. Zipo njia nyingi, ila wengine tunatumia "withdrawal" na hatujawahi kukosea. Condom kwa wanandoa naona sio option, anyway kwangu sio option kabisa.
 
hiyo unaweza kweli? Manake nasikiaga mnasema eti ngumu sana. Wewe kama unaweza basi hongera
 
Siri ni kujua ukimshika wapi mwenzako atanyegeka,
Ukishajua hilo, jua mazingira nayo yanachanganyia meaning usifanyie kitandan na kwa staili moja daily! Fanyie sebulen,room ya Watoto, dining, jikon toilet(kama unayo nzuri) anyhow anytime is applicable!
Ukiweka ratiba tendo linaboa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…