Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.