'The Tanzania We Want' Mdahalo wa Nishati

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,436
1,579
Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
58,654
116,830
Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.
Safi sana,Tanzania na midahalo tunayoitaka.
 
Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,436
1,579
Niko humu humu, huu mdahalo ni kama wakati ule
au tunaishia kuangalia katika Tv tu?

Hii itakuwa Movenpick Hotel dar es salaam, nilisahau kusema sorry, kwa wa dar es salaam, karibuni watakaowahi nitawapa card ninazo kama, 30 hivi.
 
Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161
2,316
Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.

Kwani watanzania wanahitaji mdahalo au nishati ya umeme?

Kuweni wawazi.
 
Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,703
1,877
Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.
Ahsante Mkuu kwa hii taarifa,hapo kwenye nishati watakuwa wamegusa matatizo ya nchi hii. Ila wakumbuke kupokea michango ya watu wengine pia!!!!!!!!!!!!
 
Kigoma 2015

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
371
93
Mbona wengine wanasema ni saa moja usiku?
Habari zenu wadau, jumapili hii Star Tv kutakuwa na mdahalo wa Nishati na Tanzania Tunayoitaka, ni tarehe 16 October 2011, kuanzi saa tatu usiku hadi saa tano usiku, na itakua live. Wasemaji ni J Makamba, Zitto Kabwe, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando na Naibu Katibu Mkuu Nishati na Madini. kwa taarifa zaidi angalia Star TV.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom