The silence of the Lions | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The silence of the Lions

Discussion in 'Great Thinkers' started by Rev. Kishoka, Oct 14, 2010.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  It is interesting to hear the silence and vaccum of voices of those who were once at realm of leading Tanzania.

  Not to say or demand they should take a side like what is being suggested now that they should campaign for CCM candidate, but one would hav hoped that the likes of Mzee Mwinyi, Mkapa, Warioba, Salim, Msuya, Salmin, Malecela, Sumaye and many others who are retired, would have been voice of reason for the sake of our nation and not siding with CCM.

  Why such silence? Tanzania needs these old guards to step up and continue with unbiased leadership so that our grand children will benefit the fruits of our labor.

  The silence of these lions is scary. No one really steps up and demand accountability or force those who are currently in power to create an environment that is healthy for Tanzania.

  Sadly, most of them are silent whinners, and cave in to the Party politics of CCM and focus on the best interests if CCM than the interests of the peasant in Magu, the teacher in Kikwajuni or that poor child who is malnutritioned in Nachingwea.

  Thir silence is scary and their absence in demanding more from the new blood currently at realm of leadrship is empty. They are silent about the massive spending and soaring debt, they are turning blind eye on undemocratc ways that the government conduct itself in name of democracy. They are completely mum on shaming the grand corruption and economic sabotage that is being done left and right by those in power.

  I guess as we celebrate Mwalimu day, there is only one voice of reason ever to emerge in Tanzania, and that is Mwalimu Nyerere's voice which we cherish and miss.
   
 2. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ivi ulitaka watu wa ccm wamponde mtu wao? ivi unajua demokrasia na uhuru wa mawazo uliopo ndani ya ccm? nani atakuwa wa kwanza kumnyoshea mwenzake kidole? ivi kuna msafi hata mmoja kati ya hao uliowataja? u r a funny man!
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  . Kwani chifu mwakalile na first lady si zaidi ya hao vingunge wote uliowataja. Na hujui kuwa sheikh alisha tangaza ushindi?. Sasa unataka waje kumpigia debe nani?
   
 4. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  i woudl prefer them to continue the silence because it is louder than whatever you want them to do/say. remember those book titles? No longer at easy? Things fall apart?
   
 5. K

  Kijunjwe Senior Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani wamechagua best alternative of telling us that things are not good in a system.
  Baba akikaa kimya wakati mtoto anaoa ni dalili tosha kwa muolewaji kuwa kuna kasoro kwa mtoto wa kiume au kwake au kwa wazazi wanaowazunguka. Let them be silent, ili wawe na upande wa kuongelea mambo yakiwa kombo.
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  JK akishirikiana na mama salma wameinunua CCM na kuifanya yao huku Ridhwan akiwa ndio mtendaji mkuu hao wengine akina makamba, jangili kinana na akina RA, EL ni kama vibaraka tu wanaokula makombo hivyo basi wazee wameizira CCM ya JK hawana muda na comedians
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Better for them
   
 8. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 450
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45  Yes indeed their silence scares me too. Not in this election, but I fear that my worst nightmares might come true in 2015.

  Six months ago, I wrote an essay. In that I say that Richmond Scandal is a blessing in disguise because it curtailed the ascendancy of Edward Lowassa to the presidency. I might be wrong, but I believe that if the Richmond deal had succeeded, Lowassa would still have been a Prime Minister and in fact a president in waiting.

  Anyway, before I reviewed and published the essay it came to my attention that political rehabilitation in Tanzania is a sure thing and there is nothing that can stop Lowassa. The likes of Mzee Mwinyi, Mkapa, Warioba, Salim, Msuya, Salmin, Malecela, Sumaye have not used their influence to stop the political en-slaughter.
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  wachovu hao uliowataja hakuna atakayewasikiliza kwa sababu jk alipokuwa anamwagia kitumbua chake mchanga wastaafu hawa walikuwa wamelala fofo.

  Sasa sisi siyo wajinga hata kidogo kwa hao watetezi wa ufisadi
  kuja kutughilibu mchana mchana
   
 10. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  what have they done to this nation? absolute nothing...
  I will only call them lions because they have got a lion share of our taxes in their accounts.....
  the only worry they have got is their sons n daughters who are in ccm n not you poor mwananchi
  Tanzanians have changed, We are not gonna listen to people because they are old....
  there is no way back for them, sorry...
   
 11. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa mwenendo wa kisiasa inayoipitia Tanzania kwa sasa unawalazimu Watanazania kuhitaji SPIRIT YA NYERERE kwa utatuzi wa mambo ya Kitaifa.

  Lakini mambo hayaendi kirahisi kiasi hicho. Kumlilia na kumtaka tu! HAITOSHI kurudisha chochote alichokiamini!

  Kwanza sheria za kihistoria zinaitaka jamii iliyoishi na Nyerere na kutomuelewa wakati ule kuona na kutambua thamani yake sasa.

  Pili, Patokee kizazi cha pili na kuanzisha uongozi unaopinga misingi ya Nyerere kwa asilimia mia moja... mfano swala la kujitgegemea, Udini, ukabila, Usawa, heshima, upendo, Utu, elimu nk. Na Matokeo ya Uongozi huo yalete maafa makubwa ambayo yangezuilika kama tu misingi ya kizazi cha kwanza ingefuatwa.

  Tatu, Patokee uongozi wa kizazi cha tatu uliopatikana kwa kupima matokeo ya uongozi wa vizazi viwili vilivyotangulia. Kizazi cha tatu kinakuwa na DATA! OBJECTIVE DATA through expirience of pains and conflicts! Hakuna speculations kwani kila mtu anaona kilichotokea.... kupitia misuguano yenye maumivu makali ili kufikia hatua ya tatu ... !

  NI ELIMU KUPITIA MAUMIVI si Porojo za majukwaani na makongamano vitakavyorudisha thamani ya Nyerere inayoliliwa kila kona.
   
 12. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  kwa kweli mahali palipofikia taifa letu panasikitisha sana.
  yaani hakuna hata "sauti" ambayo itaweza kusikilizwa
  taifa linapoonekana kwenda mrama!

  inaelekea kwa makusudi kabisa sauti ambazo zingeweza
  kukemea maovu au kutoa busara za kukumbusha uongozi
  msingi wa kitaifa zimezimwa kwa makusudi au zimejizima
  zenyewe. matokeo yake viongozi na wengine wenye uwezo
  wanajifanyia wanavyopenda kukidhi maslahi yao binafsi.

  kweli zipo sauti zinazojitokeza hapa na pale zikikumbusha
  umuhimu wa kuweka maslahi ya taifa mbele lakini sauti
  hizi hazina nguvu ya kitaifa bali zinauwezo wa kusikiwa
  na baadhi ya makundi ya kijamii tu.
   
 13. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #13
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Rev,

  I think you know that the following statements are equivalent:
  (a) The Lions said NO to Kikwete.
  (b) The Lions did not say YES to Kikwete.

  ......
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  What if the lions have lost any fight in them; sidhani kama wana uwezo tena wa kujibu siasa. Hawa ni "waliwahi kuwa". Historia haitawakumbuka zaidi ya familia zao au kwenye kutajwa kwa heshima katika orodha. Historia haiwakumbuki wanaokaa kimya.
   
 15. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #15
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe kuwa jambo baya zaidi lililofanywa na Jakaya K. I. kwete wakati wa utawala wake ni lile la kubinasfisha CCM kwa familia yake. Alisahau kabisa kuwa wino wa historia hautamsahau kabisa yeye na ukoo wake huo kwa kuisambaratisha hiyo CCM. Hata akitumia njia chafu akajirudisha madarakani bado fact zitarudi kumsuta yeye na familia yake.
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kwetu Tanzania, kukosekana kwa "sauti itokeayo nyikani" ndiko kutatusadia kuondokana na makucha ya mafisadi iwapo mabavu hayatatumika kuendelea kutukandamiza.
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa la JK alijiangalia yeye zaidi bila kuangalia jumuia na Jamii zinazomzunguka, na mwisho wa siku akajikuta nabaki yeye na wale aliowaweka ili wamlinde kwa njia moja ama Nyingine, Ukiangalia UWT, JWTZ, CCM, POLICE na sekta NYingi za serikali amewaweka viongozi kwa matakwa yake bila kuangalia matakwa ya waliopo kwenye junuiya hizo
  lakini tatizo kubwa la hao uliowataja Rev Kishoka, liko ndani ya CCM na jinsi JK anavyokiendesha chama pamoja na kampeni zake za mwaka huu, mtu kama makamba hakustahili kuwa pale, lakini alikuwa kwa sababu anazozijua mwenyewe, ukiangalia hata ushiriki wa huyo mtu wa propaganda CCM Hiza Tambwe ni mdogo sana mwaka huu na sababu kubwa JK amezitoa kampeni zake kutoka CCM na kuwa zake bonafsi, Kinana anajitahidi kuongea lakini ni ukweli usiopingika kwamba yeye sio muhmu kwenye hizi kampeni za kikwete
  JK ametengeneza Chama chake ndani ya CCM, ana timu yake ya ushindi anayoihamini ambayo labda inawashirikisha, Mama Salma, Ridh1, Makame, Tendwa, labda na UWT na vikosi vya ulinzi na usalama, KWA HIYO HAO WOTE ULIOWATAJA HAWAWEZI KUWA NA NGUVU NA WALA JK ALIKUWA HAWAHITAJI NA WALA HAKUWASHIRIKISHA
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni mabavu hayo yatakayo ibua harakati za kundi jipya la umma ambalo halikuwawahi kuwapo kwenye harakati za awali lakini sasa lipo kutimiza misingi lililotupwa. Kundi hili jipya litakuwa na taarifa ya kundi lile la awali, lile lillilotembea kuunga mkono Azimio la arusha nk...na limejifunza thamani ya yale ya kale yaliyotupwa... sasa kundi hili jipya limeonja mkandamizo unaoendelea kwa mabavu dhidi yake.. linakandamizwa mpaka kujuta na kutambua kuwa lazima kurejeea misingi!! ... limegundua iwe itakavyokuwa LAZIMA KURUDIA KALE KWA KISASA!! Na hili linawezekana ... inawezekana kabisa na inategegemea kiwango cha kutosha cha kukandamizwa kwa mabavu.
   
 19. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  It is difficult and almost impossible for a dog to bite the hand that feeds it! When the boat is in danger of capsizing the crew and captains run for life jackets. Those you have mentioned Rev. Kishoka are pensioneers feeding under JK basket of splendour.
   
 20. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hawa watatumika kama scietific reference points, kwa KIZAZI KIPYA kupaka ushahidi ya wale wachache wa zama hizo waliojaribu kusimamia MISINGI! Ni muhimu kuwa nao kwenye rekodi kwa ajili ya MAREJEO!
   
Loading...