The secretary........

Mi nnaye huyu,kwa jinsi roho yangu ilivyomdondokea,niko tayari kwa lolote,hata akitaka li apartment langu la masaki nitampa hati fasta.

Ona sasa!
Wa kukataa ofa sampuli hii , nitajitolea kwa gharama zangu nimpeleke sakartry wakampime akili .
 
Mwambie hiyo ofa akupe wewe niifate kwako majigambo ya bure hana lolote na geto lake la mabwe pande

Mhe, Bishanga yaonekana file zako za uaminifu haziread vizuri.
So tafuta mashahidi wa kutosha unikabidhi hiyo title deed, thn kimwana aje kuichukua , fanya hivyo tufunge Uzi.
 
Mwambie hiyo ofa akupe wewe niifate kwako majigambo ya bure hana lolote na geto lake la mabwe pande

Mhe, Bishanga yaonekana file zako za uaminifu haziread vizuri.
So tafuta mashahidi wa kutosha unikabidhi hiyo title deed, thn kimwana aje kuichukua kwangu , fanya hivyo tufunge Uzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom