The secretary........

ha ha ha.

Wamependeza hawajapendeza

wamependezaaaaa

bishanga amependeza hajapendeza
kapendezaaaaaaaaa


The Secretary amependeza hajapendeza
kapendezeaaaaaaaaaaa

basi walishane keki za ulimi





(ulimi wa ng'ombe)

hivi wale ng'ombe wako wenye degedege wapo?
 
bora upunguze hicho kitambi cha sinza kinacholetwa na kitimoto na biya.

Mikono na miguu myembaba afu una kitambi juu ya kifua?? Khah.
The Secretary hakuna kitu anapenda kama kukipaka kitambi mafuta na kukimasaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom