The secretary........

Hapana mkuu,The Secretary ni mtoto mashallah!
Mungu kampa kila kitu...macho ya kuita,shingo ya upanga,figa nambari nane,mguu wa kihaya,sauti ndo usiseme inaita,ngozi laini utadhani kazaliwa leo,yaani mambo mengine usiseme.

Mi wala sikujuaga jinsia yake Bishanga inaonekana mi mgeni humu?
 
Last edited by a moderator:
Afadhali, uzuri wa Bishanga akili za kujiongeza anazo sana.
Tena ikibidi na ndoa mfunge leo.

Acha nikamtafutie mzee suti au kanzu ya kwendea shushulini.
 
Nijibu basi main thread pliiiiz!!!!!

Au nirudie kujimwaga?

Kazza buti mwanaume!
Awali nilitaka kuona kama uko kimzahamzaha hivi.
Sasa nimeona uko serious, hebu komaa uchukue jimbo haraka.
Kuzingatia jimbo lilikua wazi .
 
Kazza buti mwanaume!
Awali nilitaka kuona kama uko kimzahamzaha hivi.
Sasa nimeona uko serious, hebu komaa uchukue jimbo haraka.
Kuzingatia jimbo lilikua wazi .
Mi nnaye huyu,kwa jinsi roho yangu ilivyomdondokea,niko tayari kwa lolote,hata akitaka li apartment langu la masaki nitampa hati fasta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom