The secretary........

Bishanga mbona kama paka na panya humu...sijaelewa!...ukimnasa tu uanzishe uzi!
 
Last edited by a moderator:
SS kwani ni uongo,jamaa yake Lizzy si mpiga debe stendi arusha?

Anaitwa nani? maana wale wapiga debe wengi ninawafahamu pale... kuna maglasi, huyu ni wa arusha musoma, kuna ethiopia huyu ni wa arusha geita bk, kuna madevu huyu kwa gari za dar, kuna mwingine bonge simkumbuki jina... na wengine weeeengi nimemtaja huyo wa Lizzy?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom