The secretary........

Ha ha haaah!!
Bado yupo kule kwenye uzi wake anakupiga madongo....
 
wazee wasikuhizi bana...ivi wewe ndio yule unaevaa suruali bila mkanda eeh?
 
Mtaa wa pili kashaharibu siku nyingi nilimpa nafasi ya sekunde tano tu akawa kesha cheza rafu kaniudhi ni kampa mashuti labda akajaribu tena kwa LIZZY

Ya Lizzy yametokea wapi tena love,hujui ana mmewe huyo,sema kajamaa kenyewe kachovu ni hatari.
 
Teh ngoja umkute ni dume

Hapana mkuu,The Secretary ni mtoto mashallah!
Mungu kampa kila kitu...macho ya kuita,shingo ya upanga,figa nambari nane,mguu wa kihaya,sauti ndo usiseme inaita,ngozi laini utadhani kazaliwa leo,yaani mambo mengine usiseme.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom