Mimi kanimaliza huyo jamaa wa pubNimeisubiri kwa hamu kubwa sana hii harusi kutokana na mizengwe na maneno kibao ya walipa kodi kule kwa Malikia..Prince William na Catherine Middleton good and beautiful wedding
Will and Catie, I wish u long life and full of joy .
Care and love for each other always
Netherlands' Crown Prince Willem-Alexander and Princess Maxima arrive at Westminster Abbey
English soccer player David Beckham arrives with his wife Victoria Beckham for the wedding
It goes well that ends well...; jamaa tu asije akawa kiwembe kama babake
Kwanini asingetafuta kitu sealed cha ukweli akavunja mwenyewe?
Itnojec....mwambie akichunguza sana atabaini ukweli kisha asijisikie vibaya.ikiwa ni kweli.aahahahahadunia nzima na kila kitu kimetawaliwa na freemasonry, kaa chonjo pengine hata wewe unawaabudu bila kujua.
Kwanini asingetafuta kitu sealed cha ukweli akavunja mwenyewe?
Ingembidi asubiri miaka kama 15 ili akipate maana siku hizi waungwana wanaviwwahi mapema wanavitungua....tabu sana kupata hivyo vitu labda uoteshwe!