The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

Ila sijaiona tu ASTON MARTIN.

Labda Mchungaji Masa ambaye yupo hapo Mjengoni kuwakilisha kanisa lake atatueleza kwanini AM halipo kwenye list ya magari yaliyopo hapo kwenye harusi. Watakuwa na bahati mbaya sana kama ma PM Tony Blair na Gordon Brown.....
Kweli kabisa magari yote ya ukweli na product za UK...wanaitangazia dunia nilikuwa naangalia bei zake balaa tupu
 
pridemaides and pages ndo wanafika hapa.....vitoto vya maua
 
_52400882_011856863-1.jpg

Muuza sura yupo kwenye tuxido!!
 
Jamaa wako very natural (traditional) kuanzia swaga za magar hadi mavazi...bongo demu bila Benzi hyo harus haifanyiki...lol!
 
half a million people are expected in the mall
 
kate anatabasamu ile mbaya
Lazima afurahi ndo siku yake na kuolewa kwnye royal family ni bahati kubwa..fikiria dunia nzima wanafwatilia shehere hii na unavyowajua waingereza kwa publicity....
 
bonge la shela mtot kavaa ...lina mkia huku mnaita ...tausi
 
kaz kwelkwel...magar yana sura mbaya lakin bei yake untouchable...same applies to nguo, kuna koti hapo zikitua Ilala Boma pale hata buku mbili sichukui, Ulaya kumbe swaga?, duh, kwel sisi na wao n kama Mbingu na ardhi.
 
nae anasindikizwa na dada yake ...philipa
 
Wapi kikundi cha matarumbeta na ma best girls wakisherehesha kwa kumwaga mchele na maua?..lol! kama harusi za huku kwetu.

Hawa wadada wa ungereza mili slim ,hadi sasa sijaona overweight hata mmoja .Tulinga za Bongo mpo.
 
bibi harusi kama haamini vile kinachojili pale....anaongea alone ndani ya shela huku akibatasamu
 


attachment.php

First glimpse of the dress. The Bride heading to The Abbey. Dress by Sarah.​
 
Back
Top Bottom