The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

Naona amemsahau kichaa Harry... nimesoma pahala yeye ndiye anaye organise stag party... humo lazima misumari iwe smuggled ndani, watu wakapulize kidogo... lol
Yeah yule dogo kadata lol!! Anafanya party usiku wamemkimbiza bibi (queen) wa watu ili wajirushe lol.
 
Sichelewi kusikia wabongo wakitaja Freemasons... maana tangu neno hilo litambulike limekuwa wimbo sasa!!
Wabongo siku hizi kila kitu ni Freemasons...!

Hii ni resurgence ya British monarchy?
 
Hivi UK ingekuwa haina utawala wa kifalme can anyone guess wafamle wa shemu nyingine duniani wangeripotiwa vipi na vyombo vya habari vya UK.

Haya mambo ua ufalme ufamle ni kama udikteta tu. alafu eti hao wafalme hawaruhusiwi kuoa wakatoliki Huku Uk ikijisifia ni nchi isiyo na ubaguzi.
 
Yeah yule dogo kadata lol!! Anafanya party usiku wamemkimbiza bibi (queen) wa watu ili wajirushe lol.
Nasikia William has invited all his exes na Kate pia amemu-invite Rupert Finch whom she dated at St Andrews
 
Aahh mdogo wangu leo unapia mabao ya kisigino tu.....safi lakini bora umeoa kuliko kuuza mechi kila siku ..
 
eti na harusi ya Ridhiwani tungepewa a day off..hyo ni idea niliyopewa na mshkaji hapa..
 
Ila masela huyu Katarina nyi mnamwonaje? Mbolea yake ndogo sana....ukiachilia vinyonyo vyake vile mimi hata ningekutana naye mtaani nisingeweza geuza shingo. Huyu akivaa skinny jeans si ataonekana kituko.....au masela mnasemaje?
 
Hivi the heir to the throne akifariki Queen Elizabeth ni nani? Ni Prince Charles nini?
 
Baclay premier league now Royal wedding British have done it again,they got us glued to our TV sets.
 
Wabongo siku hizi kila kitu ni Freemasons...!

Hii ni resurgence ya British monarchy?
Yeah, in a way it can be seen that way kutokana na casualness iliyotumika katika ndoa ili ku-assimilate current society...needs, demands and what not. But on the other hand it's best to remember the old age saying kwamba - hakuna empire isiyo na mwisho!! Labda maneno ya Archbishop ya transform badala ya ku-reform pekee yatazaa matunda ya kudumu kwenye mornachy hiyo.

Kuna kimoja cha kukumbuka pia, nacho ni kwamba; kama Kate Middleton angelitokea familia ya Wakatoliki, ina maana asingeruhisiwa kuolewa na huyo Prince William, kwani Church of England na Royal codes zao zinazuia hilo... so ukiangalia sana hiyo stamement ya Bishop nadhani kuna kitu kina lenga huu msimamo wao kama Royals katika jamiii ambayo sasa hivi ni global kwa kila kitu. Anyway, si yetu haya... ni mambo ya kifalme, watajiju.... labda tuwaachie wale wanaotaka kuleta Dola ya Kifalme hapa Bongo!!! lol
 
Ila masela huyu Katarina nyi mnamwonaje? Mbolea yake ndogo sana....ukiachilia vinyonyo vyake vile mimi hata ningekutana naye mtaani nisingeweza geuza shingo. Huyu akivaa skinny jeans si ataonekana kituko.....au masela mnasemaje?
Word...
 
She got no a** kabisa NN
 
Back
Top Bottom