Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Hii ndio shida ingine. Sasa hao wengine utajuaje kama uwezo wanao au hawana kama hujawapa nafasi? Wape nafasi, wakishindwa unawatimua baada ya miaka yao 5 kwisha unaweka mwingine. Ndivyo wanavyofanya nchi zingine, why not us? Woga wa mabadiliko ndio chimbuko la aibu na kushindwa katika maisha, sio tu katika siasa, katika kila nyanja ya maisha. Sisi watanzania woga umetugharimu watanzania kuliko kitu kingine chochote. Tubadilike, na tuanza kwa kuacha woga wa kuwafukuza CCM madarakani. Hata mke au mume akikukera na kukushinda unaachana naye wala hutoi visingizio vya ooh sijapata mwingine, unless hajakuchosha.
Hata juzi ANC wamemchagua Jacob Zuma sio kwamba wanaamini anaweza sana kuongoza, bali walifanya vile kwa kumkataa Thabo. Tunapaswa kuifukuza CCM madarakani kama tunaamini imeshindwa kazi na kutuchosha, tusilete vizingizio, la sivyo tutamke tu kuwa CCM bado haijatuchosha!
Hii ni sawa kabisa tumeona upinzani ulivyoanza humu barani Afrika-Kungangania kupata Uraisi! Kama ndio solution peke yake ya kuleta mageuzi.CCM has two camps, Mapinduzi na Mafisadi. Mafisadi have had an upper hand for the last 20 years. If CCM will lose the power to use 2/3 power of votes to pass Mswaada, you will see CCM Mapinduzi crossing the lines and join opposition to put the government in a check.
If opposition will work united and secure 40% of parliament seats, then the political dynamics will change and Mafisadi will have to use udikteta au whatever to continue to rule!
With 40% secured to opposition, there could be constitutional changes that will strip the president the absolute powers, Special seats will be eliminated, government expenditure will be tight and most of ills that are due to incompetence or malice will b e addressed.
In CCM, at least 35% of its Wabunge are anti-establishment, however they live in fear of Kikao cha Kamati Kuu na Kutengwa because there are no alternative options for them.
If opposition will build a a solid structure that it's focus is on good governance and delivery of hope (not preaching), then the 35% of Wabunge wa CCM who have morals and passion for their country will cross the line and vote with opposition or even join opposition.
This will only happen if Mbowe, Lipumba, Mrema, Cheyo and Mtikilla, will agree to step aside from running to Ikulu and focus on Halmashauri, Kata, Vijiji, Wilaya and Ubunge!
They need to have an agreement to field one candidate in Zanzibar (not Sefu Hamad anymore) and one candidate for Union presidency. Focus for 2010 should be to secure 40% of elected seats in the parliament!
With 40% secured to opposition, there could be constitutional changes that will strip the president the absolute powers, Special seats will be eliminated, government expenditure will be tight and most of ills that are due to incompetence or malice will b e addressed.
Miye nimechoka kusubiri ajizi na danganya toto za kila siku. JK katamka, sifukuzi mtu, hakuna mwizi au fisadi. Mambo ni murua, sisi ni masikini hatuna mtaji, waacheni wawekezaji wavune dhahabu ingalawa twapata hata hiyo 3% ni win win situation.
Sasa twajua yeye shabiki wa Chelsea ingawa alipewa jezi ya New Castle! Kadai Dodoma ni lazima tuhamie katika miaka miwili.
Sasa najiuliza, wakati tunamshupalia koo Balali atoe siri kabla ya kwufwa, kwa nini tusiache yaliyopita aykijipika tartibu, tukaganga kwa yanayokuja 2010?
Ni mipango gani tuliyonayo kama Taifa kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa 2010 utaleta mageuzi ya kweli kwa Taifa na si win win situation?
Mfano, Kwa nini Upinzani usimsimamishe Zimbwe kama mgombea Uraisi wao?
Kwa nini Upinzani unazubaa kujijenga kutwa japo 40% ya Bunge ili kulazimisha zile Kura za Theluthi Mbili za CCM kuwa batili kwa kushindwa?
Je katia CCM, ni nani wako tayari kuachana na Chama Cha Mafisadi na kuwa Watekelezaji wa Chama cha Mapinduzi?
We have 3 years to be constructive, otherwise February 2011, we will be talking about Ushindi wa Elnino na kusubiri Wafadhili watusaidie kuung'oa unyang'au wa CCM (Mafisadi) ambao umeboresha Umasikini, Ujinga, Njaa na Maradhi!
Kheri ya Krismas, Hannuka na Eid Mubarak!
na ukivaa jezi za NEW CASTLE basi utakumbwa na hili:
Hii ndio focus ya 2010? Braza Braza upo umuhimu wa kuwa na focaus ya 2010 huu ni mjadala wa maendeleo.

Kishoka,
Sura ya kwanza,
Uncle haupendezi ukiwa "siriasi," kibanda cha udongo hicho, na ndio kishaloa tepetepe..........sasa wewe subiri muujiza wa yesu kubadili maji kuwa mvinyo. Mambo ya profesa singira hayo!!!!!.
For the opposition to acquire 40% of the seats in the parliament we need a miracle.We are talking of an electorate of which 80% is not aware of what is going on in the country.The rest which is 20% is divided.
What can be possibly be done to change the situation which has been deliberately been put in place by the first phase government?The people are ignorant and poor.They can be easily be manipulated by the rich because they are ignorant and poor.
Kabwe and company and the likes have no power of money and CCM has alot of it.The poor ignorant voter has no agenda,he is ready to be bought at a very awkward price.
Even the once powerful opposition leaders like Amani Kabourou,Tambwe Hiza and Ngawaiya realized that it is impossible to win an election in the present situation and decided to join CCM.
In a few years time I will not be surprised if Zitto himself joins CCM.You fight where you see the possibility of winning.Tanzania is not like Kenya,Zambia or Malawi.
The opposition in our country is lacking what a party like ODM has in Kenya i.e the financial muscle.
The people lack civic education and comprehension of national issues.The peole are scared in their hearts...a Nyerere ghost is haunting them.
What can be done to arouse their minds? A miracle from heaven.
Koba mimi bado nina wasiwasi, nakubaliana sana na wewe kuwa CCM ni mzizi wa matatizo yetu, lakini swali linakuja solution iko wapi? Aondolewe CCM aingie nani? Huyo atakayeingia atakuwaje, amejiandaa kiasi gani kushika dola? These are troubling questions to me.
Tulisema sana kuwa tunataka serikali isiwe ya wazee kama kina Kingunge, tulisema wengi tunakata vijana, na ndiyo maana Kikwete kwa kutumia vazi la ujana(ingawa yeye si Kijana) alipata hizo asilimia 80 ya kura zilizopigwa, ona sasa anavyotupiga bao, sasa hivi tunaona nchi inaelekea kuwa kama ya Mwinyi, uozo tu.
Labda na sisi tungeonja utawala wa kifalme.
Kitila Mkumbo
Naungana na wewe, si haki kumhukumu mtu kabla hujampa haki ya kijitetea. Tanzania kuna vyama vingi, kati ya hivyo vyama vingi vilivyo vingi ukiangalia make up ya members wake utaweza kuona wengi ni rejects kutoka CCM. Sasa i always ask myself watu waliotupwa kutoka CCM watatusaidia nini, kama CCM yenyewe ni reject in a way, what will we get out of the rejects of reject?
Kuna vyama vingine vinaionyooshea kidole CCM, lakini ukiangalia vyenyewe vina migogoro kibao, kila kukicha migogoro, na unaweza hata kuona members wake wanahongekea au hata kutongozeka kirahisi sana na CCM. Sasa can u imagine, kama mtu anaweza kurubuniwa na CCM, je akiwa kiongozi wa nchi si ndio anaweza kurubuniwa zaidi na nchi kubwa au na makampuni kama Barrick, etc etc na kutuuza watanzania? Hiyo ndiyo hofu, issue ni kwamba they have to prove first that they are ready for it.
wengi ni hodari wa kucriticize lakini ni wavivu kutupatia real alternative. Ukiangalia trends sasa hivi utaona watanzania wako ready. Lazima tujiulize pamoja na uchafu woote inaoufanya CCM kwanini mpaka sasa bado iko madarakani.
Chama chenu ni makini, kimeonesha kitu fulani mpaka sasa tunaona hata serikali imeanza walau kuwa na hofu fulani, it is promising, lakini more is needed, isijekuwa nguvu ya soda.