Andindile,
Kikwete anastahili kugombea kipindi cha Pili?..
Jibu langu nni NDIYO!..
...
nimeshindwa kupiga kura. Sikuona mahali panasema "none of the above."
Andindile,
Mbinu ya kudhoofisha uongozi wa Kikwete ndani ya gari bovu la CCM imeundwa na mafisadi ambao mimi nakataa kabisa kuwa nyuma yao. NI bora nibakie na Kikwete ambaye kawageuka kuliko kuendeshwa na mmoja wa watu toka kundi la Mafisadi.. Kwa sababu naifahamu nguvu ya Dola.. atakayeingia Ikulu kama nim mtu wa Rostam tumekwisha.. Bora zimwi likujualo..
kwani karatasi la kura tz kuna sehemu inayosema non of the above.
Non of the above ni sawa na kukaa nyumbani na kutokwenda kupiga kura
Ongeza option ya 'Mwingine', kwani wengine tuna 'watu wetu' pia. Au option ya 'none of the above'.Watu wengi mmekua mkimpinga jk kutokana na udhaifu wake, na sasa jk ameanza kampeni yake kutumia wazee.
JINSI MAJINA NILIVYO YACHAGUA
SAS - ANAWAKILISHA WATU AMBAO HAWAKO KWENYE SYSTEM.
SHIBUDA & MWAKYEMBE - WABUNGE
MWANDOSYA & MAGUFULI - TISHIO NDANI YA BARAZA LAKE
MEMBE & MKULO - MBEGU ZA JK
PINDA, KARUME - SIO MAADUI WA JK BALI WANAMALENGO YA CHEO CHA JUU (AMBITION ZA KUWA RAIS)
DR SHEIN - MTU WA MKAPA
NIMESHINDWA KUONA MWANAMKE AMBAYE ATATOA USHINDANI/ AU KIONGOZI MZURI
Je swali ni nani kati ya hawa awe badala ya jk?
piga kura hapo juu.
abeid karume mbona ameshakufa 1972 ,huu ni upigaji kura wa kiccm mpaka maiti wamo dah ,au daftari halijaboreshwa. :d
2. Mbinu ya kudhoofisha uongozi wa Kikwete ndani ya gari bovu la CCM imeundwa na mafisadi ambao mimi nakataa kabisa kuwa nyuma yao. NI bora nibakie na Kikwete ambaye kawageuka kuliko kuendeshwa na mmoja wa watu toka kundi la Mafisadi.. Kwa sababu naifahamu nguvu ya Dola.. atakayeingia Ikulu kama nim mtu wa Rostam tumekwisha.. Bora zimwi likujualo..
Mugo"The Great";420253 said:Kwa list hiyo hapo juu bado naona Tanzania tupo mbali sana kupata maendeleo ya kweli. Hayo ndiyo maoni yangu. Kama walivyoshauri members wengi, tafadhali ongeza None of the above kama ilivyokuwa enzi za Chama kimoja Mgombea kupambana na Kivuli.
Watu wengi mmekua mkimpinga jk kutokana na udhaifu wake, na sasa jk ameanza kampeni yake kutumia wazee.
JINSI MAJINA NILIVYO YACHAGUA
SAS - ANAWAKILISHA WATU AMBAO HAWAKO KWENYE SYSTEM.
SHIBUDA & MWAKYEMBE - WABUNGE
MWANDOSYA & MAGUFULI - TISHIO NDANI YA BARAZA LAKE
MEMBE & MKULO - MBEGU ZA JK
PINDA, KARUME - SIO MAADUI WA JK BALI WANAMALENGO YA CHEO CHA JUU (AMBITION ZA KUWA RAIS)
DR SHEIN - MTU WA MKAPA
NIMESHINDWA KUONA MWANAMKE AMBAYE ATATOA USHINDANI/ AU KIONGOZI MZURI
Je swali ni nani kati ya hawa awe badala ya jk?
piga kura hapo juu.
...The fact is, Sumaye, who had been Kikwetes unsuccessful rival contender for the CCM investiture for the 2005 presidential election, could try his chance again in 2010. He has not yet publicly announced his decision, but sources inside the CCM suggest that certain high-ranking officials ousted by Kikwete or still in their posts but discontent with the Presidents anti-corruption campaign, do not want to see Kikwete obtain a second mandate. In that case, Sumaye could become a replacement candidate for this wing of the CCM. Especially if Kikwetes backers and financers, such as Rostam Aziz, who had been subject to attacks in Parliament for their supposed links with a company implicated in a shady affair, decide to drop the outgoing President for the 2010 election.
Source: Kikwete mad at Membe - THE INDIAN OCEAN NEWSLETTER