Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,104
- 136,773
kikwete anaweza kuwa forced kutumia brutality na corruption kuliko ya 2005 ili ku cling to power.
One thing is certain, kama ataondoka ni kwa kutaka yeye mwenyewe lakini hakuna kitakachomzuia kuiba kura na pesa ili kurudi Ikulu mpaka 2015.
Hatuna utamaduni wa a one term president.
wapinzani watafute njia ya kuongeza wabunge,hiyo ndoto ya uraisi wajaribu kutafuta watu wengine na sio wao.yatakuwa yale yale ya mrema na lipumba.
Nilisema ktk post yangu moja kuwa kwa nini wapinzani wameshindwa kupata wabunge ktk miji mikubwa kama Dar,Mwanza,Arusha na mingine.
Membe na Masha? Duh hapo sina cha kusema!!
you are very right,
kinachohitajika sasa ni uwiano wa kutosha bungeni.
Vyama vilivopo haviko tayari kuongoza Taifa. Sio tu kwa kukosa sera zinazotekelezeka, pia kwa ukosefu wa network ya kuwawezesha kuendeleza ujenzi wa taifa iwapo wataingia madarakani.
Ushauri ninaoweza kuutoa kwa vyama vya upinzani ni kila kiongozi wao mwenye uwezo wa kushinda jimbo basi na akaligombee. Ndoto za urais hamko tayari kuziota sasa hivi.
Mbowe kuacha kugombea jimbo na kugombea urais anaojua wazi kuwa haupati was a mistake, in my view Lipumba pia ilibidi agombee ubunge, msirudie makosa kama hayo kwenye uchaguzi ujao. Hii ni kwa manufaa ya Taifa.
Mkuu heshima mbele, hapo kuna makundi mawili ambayo ni bitter, moja la muungwana mwenyewe, na lingine la Rostam, just fasten your belt....maana kinachokuja ni an ugly ride!
Naona wewe unadhani kuwa tuko bado kwenye mfumo wa chama kimoja. Kuna sababu gani ya kutogombea nafasi ya uraisi. Uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na kama ikitokea kuwa wanashindwa basi hiyo ni matokeo ya uchaguzi.
Viongozi wote wa CCM na sirikali wakiwamo mawaziri hawafai kugombea urais kutokana na kimya chao kizito kuhusiana na swala la ufisadi. Wataendeleza usanii tu hawa tuwaulize je, wakati nchi ilipogubikwa na ufisadi nyinyi kama viongozi mlitoa ushauri gani? Je mliwaambia Watanzania kitu gani kuhusiana na ufisadi huo? Kama hamkusema chochote, kwanini mliamua kukaa kimya?