Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Mkuu ES...hakuna vigezo wazi vya kumkataa SAS....zaid ya Rangi na Asilia yake...na Ndicho alichokumbana nacho JK kule Butiama kuhusu MSETO ZNZ. Pamoja na NIA Njema ya JK, wengine hawapo tayari kuona mazuri yanafanyika kwajili ya nchi.
Tuna kazi ktk kuyafikia maendeleo ya Kweli TZ...ila mbegu tunazozipanda...zikiota vema tutakula matunda yake
Huyu nafikiri hafai ndio maana wanaokuheshimu wameamua kukaa kimya ili wasilete zogo. Lakini hebu fikiria haya;
Shule yake ni mbovu
Uongozi wake Chamani haujaridhisha wengi(ukabila kwenye uteuzi wa wabunge, matumizi ya pesa n.k.)
Zaidi ya Bilicanas, CV yake haina kingine cha kumfanya awe kiongozi bora let alone kuongoza nchi.
hakuna vigezo wazi vya kumkataa SAS....zaid ya Rangi na Asilia yake
Mkuu Heshima mbele, Salim amepitwa na wakati Mwalimu amejaribu kila njia mwaka 1985 kumpitisha huko ndani ya CCM akashindwa, Mwalimu akajaribu tena mwaka 1995 kumpitisha huko CCM akashindwa tena, mwaka 2005 akajaribu mwenyewe huko CCM tena akashindwa vibaya sana, na this time akakubali yaishe kuwa hataki tena,
Kweli CV yake ni nzito sana na kazi za nje ya taifa letu, amejaribu huko UN ambako ndiko hasa CV yake inakodai na ku-fit sana, lakini nako pia wakamtupa chini, hata unaibu nao hawakumpa, unless kuna something unakijua kuhusu Salim na urais ambacho hata yeye binafsi hakijui, lakini otherwise the record is very clear kuwa wananchi wa Tanzania wamemkataa kabisa kuwa hafai na vigezo vimetolewa wazi!
Kwani mimi sifai au nawafaa??
Mwenye sifa zangu azimwage hapa ili wanabodi wanichambue
Nakubaliana na wewe mkuu kuwa, ukilinganisha na Mbowe au Zitto, huyu bwana anafaa zaidi. Lakini ukilinganisha na Salim A. Salim, tofauti zao zinakuwa ni kubwa mno. Kwangu mimi SAS anafaa zaidi. Sababu nilizimwaga hapo awali.
________..................________________
kutajana majina based na nafasi za kifisadi walizokuwa nazo before!
Ni lazima tuaminiane sisi wenyewe kwa wenyewe...Kuondokana na fikra kuwa viongozi wanazaliwa viongozi!
Kwamba no matter what they do or say wao bado watakuwa viongozi tu!
Hii ni risk ambayo watanzania tuna kila haki ya kuichukua!
Its time to now think outside the box!
Kwa vile hajakamata madaraka makubwa yoyote zaidi ya kanisani, angalau ingekuwa vema akapewa uenyekiti wa CHADEMA (kama ilivyo UK) ili apate nafasi ya kuipandisha CHADEMA chati, kuondoa madukudu ndani yake, kuongeza wanachama, kuweka dira zinazoeleweka za kila suala n.k., n.k.
ni mapema mno kubashiri kwanitunasubiri ripoti za ufisadi
ni mapema mno kubashiri kwanitunasubiri ripoti za ufisadi
Huyu bwana amewatumikia wananchi kwa namna zote zenye kumfanya aqualify kuendelea kuwatumikia kwenye ngazi yoyote ile provided anakuja na plan ya ni kwavipi atauzika ufisadi for once and for all!
Wenzetu wana usemi kuwa..We gonna judge you based on your character and nothing else.. Wanakusilkiliza kwanza kwamba utawafanyia nini na si assumption tulizozizoea za kutajana majina based na nafasi za kifisadi walizokuwa nazo before!
Ni lazima tuaminiane sisi wenyewe kwa wenyewe...Kuondokana na fikra kuwa viongozi wanazaliwa viongozi!
Kwamba no matter what they do or say wao bado watakuwa viongozi tu!
Hii ni risk ambayo watanzania tuna kila haki ya kuichukua!
Its time to now think outside the box!
Kwa hilo ulilosema hapo juu nakubaliana na wewe kabisaa. SAS anatakiwa ajitokeze na kutoa mwelekeo anaotaka kuipeleka nchi. Msimamo juu ya ufisadi anaweza pia akauweka wazi ingawa hilo linaweza likamletea upinzani mkubwa kutoka kwa wafuasi walionao mafisadi.
Mkuu Heshima mbele, Salim amepitwa na wakati Mwalimu amejaribu kila njia mwaka 1985 kumpitisha huko ndani ya CCM akashindwa, Mwalimu akajaribu tena mwaka 1995 kumpitisha huko CCM akashindwa tena, mwaka 2005 akajaribu mwenyewe huko CCM tena akashindwa vibaya sana, na this time akakubali yaishe kuwa hataki tena,
Kweli CV yake ni nzito sana na kazi za nje ya taifa letu, amejaribu huko UN ambako ndiko hasa CV yake inakodai na ku-fit sana, lakini nako pia wakamtupa chini, hata unaibu nao hawakumpa, unless kuna something unakijua kuhusu Salim na urais ambacho hata yeye binafsi hakijui, lakini otherwise the record is very clear kuwa wananchi wa Tanzania wamemkataa kabisa kuwa hafai na vigezo vimetolewa wazi!
Heshima mkuu,
Kwanza Salim naikubali CV yake na ninamheshimu! Pamoja na uwezo wake wa kuiongoza organisation kubwa OAU,ameshindwa kabisa kusimama kidete kuwakemea viongozi wa hapa nyumbani juu ya uozo wao.
Ananifanya niwe na mashaka nae kama kweli anajua au anaona uchungu wa hali halisi ya mtanzania.
Kwa sasa hivi tunahitaji kiongozi mwenye uchungu na hili taifa na ambae anajua watanzania tunataka nini.Ukiniambia mtu kama Slaaa,mimi namkubali zaidi kulko Salim kwani angalao ameonyesha uwezo wa kulionoza hili taifa kwani anajua matatizo mengi tulio nayo,hata matatizo ya kimfumo.Angalo ameonyesha uwezo wa kuwakaripia viongozi wetu.
Anaonekana ni mtu wa hatua tofauti na Salim ambae ataongoza kukwepa lawama,maanake hadi sasa hivi hajaonyesha kama ataweza kubadili mfumo wetu. Afadhali Slaa ataweza kutuongoza na kukabiliana na challenge zsa kiuchumi za watani wetu wa jadi.
So far,SAlim huwa sijui n nini mtazamo wake wa kiuchumi,sasa hivi tunataka kiongozi ambae atatuletea mabadiliko ya kiuchumi na sio diplomasia kusolve matatizo ya comoro au kwingineko
1.
Mkuu KJ,
Heshima mbele, mimi ni CCM damu na so far sijasema nani nayemuona anafaa, ingawa ninaelekea kulalia sana kwa Mama Migiro, lakini baadaye nitasema nani ninayemuona anafaa, lakini hii analysis yako kwa mwenyekiti wa Chadema, sio fair kabisa na ina-amount to matusi ya nguoni, badala ya maoni binafsi kama mwananchi,
1. Shule au elimu ya Mwenyekiti wa Chadema ya form six, pamoja na experience yake nzito ya biashara, na the fact kwamba sasa yuko shule kwenye degree level, haiwezi kuwa mbovu kama ulivyosema that is below the belt bro!
2. Uongozi wake chamani hauridhishi wengi? Hivi ni wakati gani Chadema imewahi kuwika katika taifa letu toka ianzishwe na Mtei in the 90s? Unasema hauridhishi wengi kina nani hao? Zitto na Slaaa ni matunda ya uongozi wa Chadema under nani? Unafikiri ni kwa nini Slaa na Zitto hawakugombea ubunge kupitia CUF au TLP? Unasema kugombea kwao Chadema ilikuwa ni by accident na sio uongozi imara wa mwenyekiti wa sasa wa Chadema?
3. Ukabila? Zitto ni kabila gani? Wangwe ni kabila gani? Slaaa ni kabila gani? Mnyika ni kabila gani? Tundu Lissu ni kabila gani? Kitila ni kabila gani? Hawa wote ni Wachagga? Besides hawa naomba uwe mkweli wa Mungu kuna wengine wanaojulikana kwenye taifa as Chadema? Sana sana ni Ndesamburo tu!
4. Unasema zaidi ya Billicanas, hivi mkuu unajua maana ya kuwa mmiliki wa Bilicanas bongo? Mbona unaiandika kimzaha mzaha tu as if ni soko la samaki mkuu? Huyu si alishawahi kuwa mbunge wa kuchaguliwa na wananchi, je Salim aliwahi kuchaguliwa kuwa mbunge wa wapi? Hivi mwenyekiti wa chadema angepelekwa na Mwalimu ubalozini nje akiwa na miaka 22 je leo asingekuwa na elimu suspect kama ya Salim? Hivi ni shule gani ya wazungu huko majuu unayoijua inayoweza kumnyima Degreee balozi wa any nation katika UN akiomba kusoma hata online?
Tunapowachambua viongozi wetu tuwe wakweli kuliko kujali kujaribu ku-balance mijadala hapa JF, kwa sababu mijadala mingi inashambulia CCM, basi dawa ni kushambulia Chadema hata kama hakuna hoja wala ishu that is low, mkuu binafsi katika sababu zako zote ulizoweka hapa against mwenyekiti wa Chadema na urais, siiioni hata moja ya muhimu, na ninasema wazi kuwa he does not deserve this kind of analysis.
Ahsante Mkuu!
Salim ndio yuko kwenye umri unaofaa kabisa kuwa raisi. Akiwa na umri wa miaka 66, yuko kwenye wakati muafaka ambao busara ndio iko katika kilele chake.
Ni kweli wapo ndani ya CCM wanaomuogopa kwa vile yuko very serious wakati wa kazi na hapendi majungu au upendeleo, lakini nafikiri hizi ndio sifa tunazozitaka hivi sasa.
Lakini pia sio kweli kuwa Mwalimu aliwahi kumteua SAS akapingwa, maana Mwalimu alikuwa hana mpinzani kwenye teuzi zake. Ila inaeleweka wazi kuwa Mwalimu hakutaka afuatiwe na mtu mwenye uwezo na jina kubwa duniani kama lake, kwa hofu ya kumwekea kivuli.
Sidhani kama zipo sababu za wazi za kumkataa SAS zaidi ya zile zilizopikwa, majungu, na wapinzani wake wanaoogopa msimamo wake mkali katika kazi. Kama zipo, jama ningeomba tuzi-list na kuzijadili badala ya kumpakazia majungu ya kisiasa.