Mnamo tarehe 5 Mei,2007,akihutubia wananchi mjini Morogoro,Mhe.Mrema alisema yatosha hatagombea tena urais,atamuunga mkono mgombea mmoja atakayesimamishwa na CHADEMA,CUF,NCCR na TLPBasi inaonyesha hata wao hawana nia na maendeleo ya nchi hii, labda na wao wana njaa vile vile, kwa nini kila mmoja wao anataka kuwa Rais? labda na wenyewe wana cysts za ufisadi na mara waingiapo madarakani hizo cysts zitagrow na yatakuwa yale yale. Kazi ipo ya kumtafuta mtu hasa mwenye uchungu na Tanzania..vijana hasa, hawa wazee basi sasa kwani wote ni products za CCM.
Mnamo tarehe 5 Mei,2007,akihutubia wananchi mjini Morogoro,Mhe.Mrema alisema yatosha hatagombea tena urais,atamuunga mkono mgombea mmoja atakayesimamishwa na CHADEMA,CUF,NCCR na TLP
Mabadiliko ya katiba yatakuja pale tu tutakapokuwa na Rais ambaye yuko tayari kufanya mabadiliko hayo. Kwa sababu hawa watu wana njia zao za kuchelewesha maamuzi mbambali hata kama yametolewa na mahakama. Kwa hiyo ni muhimu sana kuhakikisha pamoja na kuing'oa CCM kwenye viti vya ubunge ni muhimu pia kuwang'oa kwenye Urais.
Nyani mimi sijamsoma/kumsikia John Mashaka kwa hiyo ndio maana inaniwia vigumu kujua uwezo wake katika utendaji na yapi ana uwezo wa kuyatekeleza akiwa kama kiongozi.
Mazee hiyo ya John Mashaka ilikuwa chombeza tu....mi mwenyewe simjui ila kuna watu wanadai eti ndio Mwanakijiji...Lol
Mimi binafsi ningependa Kitila Mkumbo agombee. Mtazamo wake wa mambo uko pragmatic na nadhani tayari anajulikana kiutendaji/ uongozi ukichukulia alikuwa raisi wa DARUSO.
Ulivyosema huna habari zake nikaingia kwenye google search kwa kuangika maneno dr Wlbroad Slaa, angalia ana blogspot lakini hajapost kitu,http://www.chadema.net/blogu/slaa/Jamani Jamani mweee mbona hii nzito sana!...
Dr. Slaa kuwa rais kwa tiketi ya chama gani?..na hizi habari za kumpa nguvu zimeanzia wapi ama ndio shamrashamra zimeanza!..
Nitakubaliana na wazo hili tu ikiwa yeye mwenyewe yupo radhi kushindana na wengine ndani ya chama chake ama Umoja wa vyama vya Upinzani. Nje ya hapo binafsi siwezi kusimama hapa na kumpigia debe Dr. Slaa ambaye simfahamu nje ya hizi habari za Ufisadi na ndio maana hadi leo hii siwezi kuchukulia for granted maswala haya ya Ufisadi kuwa ndio picha ya kiongozi bora... tu...
MJUE DR.WILBROAD SLAA KAMA ANAVYOCHAMBULIWA KUPITIA UJUMBE UNAOSAMBAZWA NA VIONGOZI WA JUU WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE NA ZITTO KABWE.
Mpaka sasa Slaa hana nyumba huko Karatu na badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa kuwa ni shoga.
Tangu mwaka 1977 hadi 1991, SLAA alikuwa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu. Aliachishwa Upadre baada ya kukosa uaminifu na kuendekeza tabia ya ufuska na wake za waumini. Hali hiyo ilimpelekea kupata watoto wawili wakati akiendelea kutoa huduma za kiroho.Watoto hao ni EMILIANA aliyezaliwa 18/06/1987 na LINUS aliyezaliwa 23/09/1988.
Dr. SLAA alimuoa ROSE, mmoja wa waumini wake mwaka 1991 ndipo kanisa likamfukuza Upadri. Wakati huo ROSE alikuwa mchumba wa mweka hazina wa Kanisa ambaye miaka michache baadaye alikufa kutokana na mfadhaiko.
Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa. Kwa mfano Diwani wa Kata ya Baray wilayani Karatu LAZARO TITUS MASSAY (CHADEMA) aliwahi kupeleka malalamiko katika uongozi wa juu wa CHADEMA kuhusu tabia ya SLAA ya kufanya mapenzi na wake za watu wakiwemo hata wake za Madiwani Jimboni Karatu.
Aidha, tarehe 01/11/2004, SLAA alifumaniwa na mkewe katika chumba kimojawapo cha Hotel 56 mjini Dodoma akiwa anafanya mapenzi na msichana aitwaye NJARI. SLAA aliruka dirishani bila nguo na wahudumu wa hoteli wakamsetiri kwa shuka na kumficha hadi mke wake alipoondoka kwa hasira kali baada ya kupambana na mwizi wake sawasawa - tukio hilo lilinaswa kwenye mkanda wa simu ya mkononi ya mhudumu na umehifadhiwa kwa matumizi katika wakati muafaka.
Dr. SLAA anasumbuliwa na Ugonjwa mkubwa Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa ugonjwa moja hatari sana.
Dr. SLAA amewahi kula mamilioni ya fedha za vilema ambazo zililetwa na wafadhili toka Ujerumani.Ushahidi upo kama atafanya ubishi.
Alihongwa nyumba Ujerumani na hawara yake wa Kijerumani ambaye sasa ni marehemu na Dr. SLAA anategemea kuhamia huko inasemekana Dr. SLAA na hawara yake ambaye ni marehemu alishirikiana kumuua mume halali wa mama huyo aliyejulikana kwa jina la Uimbosh .
Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo hayo hali ambayo imemuudhi na akaanza kuipaka matope kwa kuituhumu na taarifa za kughushi anazodai amezipata. Vyanzo vya kuaminika vimebaini SLAA alipewa taarifa ya kughushi na akainunua kwa bei mbaya. Baada ya kubaini hivyo sasa anamsaka mbaya wake aliyemwingiza mjini.
Hata mimi nakubaliana nawe katika hili ... Hawa wengine mpaka tuwajue kwa majina yao halisi ili tufanye upembuzi wa kina katika hili
Lo! heri nisingesearch kwenye google,maana nimekuta machafu,yana ukweli haya jamani? Huu utakuwa uzushi,ila lisemwalo...
yanapatikana hapa http://watanzaniaoslo.blogspot.com/2007_10_25_archive.html
MJUE DR.WILBROAD SLAA KAMA ANAVYOCHAMBULIWA KUPITIA UJUMBE UNAOSAMBAZWA NA VIONGOZI WA JUU WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE NA ZITTO KABWE.
Mpaka sasa Slaa hana nyumba huko Karatu na badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa kuwa ni shoga.
Tangu mwaka 1977 hadi 1991, SLAA alikuwa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu. Aliachishwa Upadre baada ya kukosa uaminifu na kuendekeza tabia ya ufuska na wake za waumini. Hali hiyo ilimpelekea kupata watoto wawili wakati akiendelea kutoa huduma za kiroho.Watoto hao ni EMILIANA aliyezaliwa 18/06/1987 na LINUS aliyezaliwa 23/09/1988.
Dr. SLAA alimuoa ROSE, mmoja wa waumini wake mwaka 1991 ndipo kanisa likamfukuza Upadri. Wakati huo ROSE alikuwa mchumba wa mweka hazina wa Kanisa ambaye miaka michache baadaye alikufa kutokana na mfadhaiko.
Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa. Kwa mfano Diwani wa Kata ya Baray wilayani Karatu LAZARO TITUS MASSAY (CHADEMA) aliwahi kupeleka malalamiko katika uongozi wa juu wa CHADEMA kuhusu tabia ya SLAA ya kufanya mapenzi na wake za watu wakiwemo hata wake za Madiwani Jimboni Karatu.
Aidha, tarehe 01/11/2004, SLAA alifumaniwa na mkewe katika chumba kimojawapo cha Hotel 56 mjini Dodoma akiwa anafanya mapenzi na msichana aitwaye NJARI. SLAA aliruka dirishani bila nguo na wahudumu wa hoteli wakamsetiri kwa shuka na kumficha hadi mke wake alipoondoka kwa hasira kali baada ya kupambana na mwizi wake sawasawa - tukio hilo lilinaswa kwenye mkanda wa simu ya mkononi ya mhudumu na umehifadhiwa kwa matumizi katika wakati muafaka.
Dr. SLAA anasumbuliwa na Ugonjwa mkubwa Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa ugonjwa moja hatari sana.
Dr. SLAA amewahi kula mamilioni ya fedha za vilema ambazo zililetwa na wafadhili toka Ujerumani.Ushahidi upo kama atafanya ubishi.
Alihongwa nyumba Ujerumani na hawara yake wa Kijerumani ambaye sasa ni marehemu na Dr. SLAA anategemea kuhamia huko inasemekana Dr. SLAA na hawara yake ambaye ni marehemu alishirikiana kumuua mume halali wa mama huyo aliyejulikana kwa jina la Uimbosh .
Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo hayo hali ambayo imemuudhi na akaanza kuipaka matope kwa kuituhumu na taarifa za kughushi anazodai amezipata. Vyanzo vya kuaminika vimebaini SLAA alipewa taarifa ya kughushi na akainunua kwa bei mbaya. Baada ya kubaini hivyo sasa anamsaka mbaya wake aliyemwingiza mjini.
LoL,
Mnyika hapana mama! Huyu atinge tena kwenye kinyang'anyiro cha Ubungo na sasa tunamhakikishia ushindi kwa udi na uvumba...! Anahitajika Bungeni huyu
AHAAAAA AM DISAPPOINTED NAONA ZITTO HAS A LOT OF POTENTIAL YA KUWA RAIS, ANA PRESENCE KAMA YA OBAMA, KAMA UMRI HAURUHUSU BASI TENA ASUBIRI ANOTHER TEN YEARS.Zitto na Mnyika nao lazima wangejitutumua lakini hawatakuwa na miaka 40. Hawa waendelee kunyonya tu mpaka 2020. Na kwa kweli hawa hata bungeni hawaingii 2010; Zitto atakimbia Kigoma Kaskazini na Mnyika ndio huyu tena.....
Quote: Nyani Ngabu
Mimi binafsi ningependa Kitila Mkumbo agombee. Mtazamo wake wa mambo uko pragmatic na nadhani tayari anajulikana kiutendaji/ uongozi ukichukulia alikuwa raisi wa DARUSO.
Bwana Kitila uko tayari? Kama uko tayari tukupiganie mwanangu. Unasimama 2010 ukikosa basi hakika 2015 utapata.
Hivi Tanzania kuna upinzani, kwa maana halisi ya upinzani, au ni wale wale, tuseme, niwaite CCM B?
Nauliza tu!
Hatuwezi kuwa na Mbunge mwenye AJENDA za kitoto kama hivi:
http://www.chadema.net/hotuba/mnyika/hotuba_1.html
Halafu baada ya kushindwa kutokana na ajenda hizo za kitoto akaendelea kuwatapeli wananchi wa ubungo kama hapa:
http://www.chadema.net/hotuba/mnyika/hotuba_4.html
Huyu hafai ubunge, aachwe akue kwanza. Labda ashauiriwe 2009 agombee uenyekiti wa serikali ya mtaa.
PM
...Kwa mtu aliyewahi kuumwa na nyoka, hata akiguswa na jani hudhani ni nyoka:
Dr. Slaa alipoitoa ile orodha ya Mafisadi bora 11(First eleven)taarifa zake hakuna aliyeifuatilia: leo hii mchezaji mmoja katika wale 11 (Mh. Chenge) jina lake limesomwa na Wazungu, watu ndiyo tumeona...nikirejea sasa kwenye point yangu..kwa vile tulishatawaliwa na wazungu basi hata maneno yao hutuingia kwa haraka: kuliko yale yanayotolewa na wakina Dr. Slaa
Nadhani tuendelee kusubiri wazungu waje watuendeshee Serikali yetu, wawe Mawaziri na Wabunge..hapo tutafikia tunakotaka kuwa..