IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,875
- 7,516
wale wachumba saiv hawana straika ozil katela bastian nae majeruhi yanamzingua raheem atawakimbiza aisee
huu ni ubaguz ulio wazi,unawezaje kumuacha negredo alie2pia goli kumi na k2 kwenye club yake af unamchukua torres mwenye goli 4 sijui 5 kwenye club yake,kama ndo hvyo what is the meaning of displaying ur good performance towards world cup,huyu del bosque toka zamani alikua na kikos chake mfukoni spain ilikua chama langu ila sasa natamka rasmi mimi ni team england.
Pia inatakiwa ushangae Klose kuitwa kikosi cha ujerumani,wakat kuna walioperform zaidi yake.futboli fitna si bongo tu!!
Unamsikia tu Dennis Wise #11 ?
ha ha ha sawa bwana Rockcity native; hongera kwa kuanzisha thread!:israel:
usidanganye hapa 2002 iliishia hatua ya makundi world cup
2002 England alitolewa na Brazili kwenye 16 bora,England walipata bao toka kwa Michael Owen,Akaja sawazisha Rivaldo kwa pande murua toka kwa Dinyo aliwaburuza Rio Ferdinand na Sal Camble kama watoto,zen Dinyo akapiga la pili kwa free-kik hatari,