IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,875
- 7,516
nyie mnaoshabikia brazil nitajien timu ambayo imewah kuchukua confederation af ikabeba world cup,nyie wa spain hawa wazee wa tik tak wameshajuliwa mchezo wao angekuwepo m2 kama navas au negredo ningewapa nafas ya kupa4m ila mwisho wao qurter final,mnaoisapot france mnajipa presha bure angalia akimaliza top kwenye kund 16 anakutana na nan,af nyie wa dutch kocha wao muda wote atakua anawaza asajil nan kule mtaa wa 7 timu ni england na argentina kidogoo ila wengne viazi wote.THREE LIONS
