The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
Hicho ni England kikosi B!Hapo atakaye anza ufunguzi na Italy ni Rooney tu!

Mechi na Ecuador sio kigezo kizuri ku i-rate England
 
Mechi kati ya England na Ecuador, hadi sasa ni 2-2 ila nacho kiona ni kwamba England wamekamatika sana make ukizingatia sifa na mbwembwe nyingi za UK na vyombo vyao vya habari na Ligi yao lakini bado wanachezza mpira huu!!! Very slow, no creativity and sometimes they do recall Mourinho style "Defending/Parking the bus" in a friendly match like this!! How about the World Cup Championship?

never per4mance ya timu kwenye friend match towards world cup angalia kikos kilichoanza timu yangu nzuri imekamilika kila idara na ina multifunctional players
 
Ww unadhani walienda pale kupoteza fedha za Taifa bure? Exercises makes perfect. Acha kusolve hesabu/au solve virahisi rahisi afu uingie paper la no eti ww unaifahamu no , uone mziki wake!!
 
Week imebaki kuanza kuona mauzauza na aibu za England katika kombe la dunia.
 
Ningeshangaa kutokusikia kutoka kwako, ngoja Oxlade apone utaona muziki wa Three Lions

*Blue* Linapokuja suala juu ya Utaifa, tunakuwa wote wamoja lol
 
Timu yenu naipa second round tu, sitoshangaa mkishindwa kuvuka round stage. Ox anaweza kukaa majeruhi mwezi mzima au zaidi kama ilivyomtokea kwa Arsenal mechi ya kwanza ya ligi msimu ulioisha, after all ni mchezaji wa Arsenal huwa wanaumiaga hata wakipigwa kikumbo na kuku. Naona kina Scholes wanapendekeza mcheze attacking game kama Liver walivyofanya lakini timu yenu haina wafungaji zaidi ya Sturridge(Rooney kaisha kama Man Utd) na World cup huwa hakuna nafasi nyingi akikaliwa kooni mnaweza mkashindwa kushinda hata mechi moja. Mechi ya kwanza England 1-1 Italy kawatembelee bookies.
 
hehehe washabiki wakusubiria timu 16 tushawazoea watu wanasubiri kutaja timu watazoshabikia zikibaki 8 sasa hivi utauwa sikia wao Brazil au Spain timu mbili zitastabisha watu ni Belgium na Chile ila Brazil na Argentina wasipoangalia watalala patupu mapema, Yule Dogo number 7 anapiga left wing ya Ecuador anaitwa nani? Jamaa mkali bahati mbaya timu zangu ukitoa zote za Africa Kama kawaida yetu Waafrica ni Italy na England sitobadili wazo. Ila last 8 na Mie nitakuwepo kwenye group nililoliongelea. DonDonald Ox sijui Kama atapona anajilazimisha tu Mie bado sielewi Carrick kwanini hakuchukuliwa Kulia beki akae dogo wa Everton sitaki kumuona GJohnson na tano na nne Wakae Smalling na Cahill Yule Jagielka mchezaji gani?.
 
rubaman keshagungua timu yao hata round ya pili haitaingia, kaamua kuikomalia timu bora "Three Lions"

Ox atakuwa nje kwa siku 10, kwahiyo atakosa game dhidi ya Italy tuu, lol kwanini humpendi G Johnson na Jagielka?

Ila hata mimi sioni kama Jagielka anastahili kuwepo kwenye first eleven, hivi yule Walker wa Spurs ni mgonjwa?

HUyo winga wa Ecuador anaitwa Montero, jamaa ni mzuri sana "LVG anaweza kuwafurahisha watu akimvuta lol"
 
Last edited by a moderator:

Walker alikuwa achukuliwe nafikiri sababu hakucheza game nyingi mwishoni Spurs, Huyo Montero ni mkali akija kuchukuliwa timu za Ligi nyengine ndio EPL itaanza kumtaka EPL timu kubwa sijui kwanini wanga waku Gamble players matokeo akija kuwika timu zengine wakimtaka wataambiwa dau kubwa bado sielewi 1. Kwanini British players wanauzwa Bei kubwa? 2. British Teams kwanini Players wanauziwa Bei mbaya na timu za nje yani pesa nyingi ila timu za nje huko wanauziana bei Cheap? hata Titus Bramble nasikia hapati timu sababu ni 8m na Wenger hatoi hizo pesa zilizokuwepo Kasema ni zamfuta vumbi hehehe.
 
Dah Titus Bramble bado yupo around? mara ya mwisho nilisikia alikuwa na tuhuma ya kubaka {ila ninahisi alishinda kesi}

Wenger anamtaka sana aende arsenal, ninahisi msimu huu atamchukua

Timu pekee inayojulia kupata wachezaji wa mafungu[bei rahisi ni} gunners ila wengine ukigusa umeumia.

"Kombe la Dunia" Chile wapo wazuri? Belgium ni wazuri ila sidhani kama watafanya vizuri {Kufika Semi Finals au zaidi}
 
hehehe washabiki wakusubiria timu 16 tushawazoea watu wanasubiri kutaja timu watazoshabikia zikibaki 8 sasa hivi utauwa sikia wao Brazil au Spain timu mbili zitastabisha watu ni Belgium na Chile ila Brazil na Argentina wasipoangalia watalala patupu mapema, Yule Dogo number 7 anapiga left wing ya Ecuador anaitwa nani? Jamaa mkali bahati mbaya timu zangu ukitoa zote za Africa Kama kawaida yetu Waafrica ni Italy na England sitobadili wazo. Ila last 8 na Mie nitakuwepo kwenye group nililoliongelea. DonDonald Ox sijui Kama atapona anajilazimisha tu Mie bado sielewi Carrick kwanini hakuchukuliwa Kulia beki akae dogo wa Everton sitaki kumuona GJohnson na tano na nne Wakae Smalling na Cahill Yule Jagielka mchezaji gani?.

DonDonald na Pazi mimi nilishasema timu zangu ni za Afrika tu, Marekani yenyewe naipigia debe kishongo upande. Sababu ya kutoifagilia Marekani ni sawa ni nisivyoipigia debe England, wote wanachonga sana wakifanya jambo dogo. England haki ya Kuku nina wasiwasi hamtavuka group stage. Joe Hart na mabeki wake watawaangusha kwa mara nyingine.
 
huu ni ubaguz ulio wazi,unawezaje kumuacha negredo alie2pia goli kumi na k2 kwenye club yake af unamchukua torres mwenye goli 4 sijui 5 kwenye club yake,kama ndo hvyo what is the meaning of displaying ur good performance towards world cup,huyu del bosque toka zamani alikua na kikos chake mfukoni spain ilikua chama langu ila sasa natamka rasmi mimi ni team england.

uwongo dhambi jamani huyu negredo ni bonge la galasa aisee yaani mara mia ya morata,ingawa hata huyo torres ndio walewale lakini negredo kazidi,kifupi spain kwa sasa haina striker kwani ukiangalia NEGREDO,TORRES,SOLDADO na LORENTE + MAJERUHI COSTA,kocha alikuwa na haki ya kuita hao aliowaita kwani tutashuhudia magoli mengi yakifungwa na viungo na kina ramos
 
Wapendwa world cup 2014 inakuja tena bado siku chache sana, kwanini msikae majumbani mkaangalia mpaka mkakae kwenye pub? kwani mpira haunogi ukiwa sitting room kwako? kila nyumba inaking'amuzi kule mnafuata nini? kama siyo kung'atwa na mbu tuu world cup ikiisha tuanze kazi ya kuuguzana!

MSINISHAMBULIE MI NIMEWASHAURI TUU
 
Nimefungua thread sio kwa ajili ya kuchangia bali kujua nini maana ya "mrira" kama title ya thread yako inavosema. Nikajikuta nimepost bila kupenda......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom