The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
Mkuu umepata akili 98' ??....hhaahahha lol
2002 mbona km walifika robo!
Hehehe akili binadamu anayo akizaliwa tu analia au hata tumboni anasumbua Mama yake yeye 98 na Pengine 98 zilisimama tena 2002 hazikuamka kila mtu anaakili kuzitumia tu pia nafsi pia inamaamuzi.
 
Club level na Taifa ni tofauti sidhani kama kitawa affect wajerumani. Isitoshe jamaa wanajuaga kusahihisha makosa yao katika kila next mashindano iwe ni bayern au Taifa. South America hata mimi siwafuatilii kwa karibu lakini naona Argentina wana wachezaji walioiva sema tatizo lao sijui inakuwaga bahati mbaya au ni yale yale ya u-under achieving aka u-flop. Watu wanasema Brazil Brazil kwa maono yangu nadhani timu yao haitishi kama miaka ya nyuma. Brazil ya sasa haina wachezaji nyota duniani kama enzi za 1994-2006, labda hii inaweza kuwapa advantage fulani tusubiri. Brazil watatolewa Second round (kiunazi zaidi msinishambulie) ngoja niwape heshima watatoka robo fainali.
Wewe unaona nani atabeba, na timu gani unayoigopa?


wajerumani kwa Italy wenyewe watachutama.
 
Wakuu kuna mwenye ratiba ya mechi kwa local (East Africa time) ?
 

Attachments

  • 1401263436305.jpg
    1401263436305.jpg
    58.7 KB · Views: 111
Mkuu naona hapa kama saa tano saa kwetu

Nimeletewa free copy ya ratiba hapa ofisini muda ulioandikwa nikiangalia na masaa watayokuwa wanacheza Brazil ikanichanganya kidogo....kwa mfano hapo wanasema saa tano lakini ratiba niliyonayo hapa ni 17:00 PM .......
 
Nimeletewa free copy ya ratiba hapa ofisini muda ulioandikwa nikiangalia na masaa watayokuwa wanacheza Brazil ikanichanganya kidogo....kwa mfano hapo wanasema saa tano lakini ratiba niliyonayo hapa ni 17:00 PM .......

Mkuu kama unatumia Smartphone hebu Install app inaitwa Fotmob ina ilama ya mpira...hii ina ratiba kwa saa za Kitanzania..ni nzuri sana
 
Leo ktk uwanja wa estadio Ramon Sanchez jijini Sevilla,Spain(La Furia Roja)wanawakaribisha Bolivia ktk mechi ya kirafiki kujiandaa na WC 2014 saa 5 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki.
 
World Cup city gripped by dengue fever


Moises Lucarelli Stadium © Action Images
Sat, 31 May | 10:15
The Brazilian city where Portugal's Cristiano Ronaldo and Nigeria's John Mikel Obi will train for the World Cup is in the grip of a crippling dengue fever epidemic.

Workers in Campinas have embarked on a huge operation to eradicate mosquitos, which spread the disease, before the Portuguese and Nigerian teams arrive.

Some 32 384 people have been infected by dengue this year in the southeastern city about one hour from Sao Paulo. At least three people have died.

"It's a record epidemic. It's bigger than the 11 500 cases registered in all of 2007," said Andrea Von Zuben, who coordinates the Campinas dengue control program.

Dengue is a viral infection carried by the aedes aegypti mosquito.

The fever is like chronic influenza with severe headaches, muscle and joint pain, vomiting and a rash.

Severe cases can be deadly. Three people have died of dengue this year in Campinas, women aged 27, 69 and 81. Three other deaths are being investigated to see if they were caused by the disease.

There is no cure for dengue, so prevention is the best medicine.

The World Health Organisation recommends people in infected areas prevent mosquito bites with window screens, insect repellant and mosquito coils.

It also suggests covering up exposed skin – advice that may cramp Portuguese captain Ronaldo's bare-chested style, a topic of much commentary after his pectoral-flexing goal celebration at this year's Champions League final.

Brazil has been hit harder by dengue than any other country so far this century, with seven million cases reported between 2000 and 2013.

Von Zuben said the Campinas outbreak was being driven by a heatwave at the beginning of the year, the prevalence of a particularly virulent dengue strain and poor sanitation that leaves pools of standing water where mosquitos breed.

But she said the areas where the Nigerian and Portuguese squads will be are a mosquito-control priority for health officials.

"We put larvicides and anti-mosquito poisons at the airport, in the training centres and in the hotels, so the teams will run a much smaller risk than the local population," she told AFP.

The authorities have been in touch with the teams' doctors, who were "concerned," Von Zuben said.

She said her staff had recommended insect repellant.

"We've been guaranteed that the situation has been identified and is under control. There shouldn't be any reason for alarm," said the Portuguese Football Federation (FPF).

In early May, when Portuguese coach Paulo Bento visited the training centre, city officials told him three mosquito-control operations would be carried out before the team arrives on June 11.

The army has helped sanitation workers clean up 83 000 tonnes of rubbish and dozens of buildings have been sealed off and sprayed.

Campinas is not the only city facing the dengue threat.

Medical journal The Lancet Infectious Diseases recently said World Cup host cities Natal, Fortaleza and Recife in the northeast were also at risk.

Of course, infectious diseases are a two-way street.

Campinas has also launched a program to give citizens free vaccinations before World Cup fans descend on the city from Africa and Europe, where "polio and measles are still persistent," it said.

Priority will be given to taxi and bus drivers, employees at restaurants and tourist attractions, and the staff of six major hotels.
 
Leo ktk uwanja wa estadio Ramon Sanchez jijini Sevilla,Spain(La Furia Roja)wanawakaribisha Bolivia ktk mechi ya kirafiki kujiandaa na WC 2014 saa 5 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki.
kalendi asante nashukuru,nakurindimia matokeo ya hiyo mechi ya jana,matokeo ilikuwa Spain kashinda 2-0 vs Bolivia wafungaji Fernando Torres Sanz el nino the kid kwa penati na Andrea Iniesta Lujan yote kipindi cha pili.
 
huu ni ubaguz ulio wazi,unawezaje kumuacha negredo alie2pia goli kumi na k2 kwenye club yake af unamchukua torres mwenye goli 4 sijui 5 kwenye club yake,kama ndo hvyo what is the meaning of displaying ur good performance towards world cup,huyu del bosque toka zamani alikua na kikos chake mfukoni spain ilikua chama langu ila sasa natamka rasmi mimi ni team england.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom