The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
nyumbani sina king'amzi sasa nitauangaliziaje nyumbani!
 
Hata Cristiano nae anaweza kosa hili kombe
 
Kama ni fowad msumbufu ogopa sana kukutana na hawa jamaa hakuna mwenye afadhali wala nafuu wote wanapiga mpira kazi. Sijawai ona combination ya kikatili kama hii, kwa hapa bongo ilikua yondani na Nyoso.
 
vipi VIEIRA na ROY KEAN?

Pepe hafai ni gaidi kama boko haramu!

Ile kombinenga yake na Ramos pale Bernabeu naikubali saana.
 
Kombinenga ambazo hazijapata kutokea kama hizo katika soka ni
1. Franco Baresi na Alesandro Costacurta
2. Alesandro Nesta na Fabio Canavaro

ni balaa
 
Dah Titus Bramble bado yupo around? mara ya mwisho nilisikia alikuwa na tuhuma ya kubaka {ila ninahisi alishinda kesi}

Wenger anamtaka sana aende arsenal, ninahisi msimu huu atamchukua

Timu pekee inayojulia kupata wachezaji wa mafungu[bei rahisi ni} gunners ila wengine ukigusa umeumia.

"Kombe la Dunia" Chile wapo wazuri? Belgium ni wazuri ila sidhani kama watafanya vizuri {Kufika Semi Finals au zaidi}

Bramble anaweza kuwasaidia CB sababu hamna experienced CB pale. Belgium wazuri lakini naona bado ni timu changa na kutokuwa na experience ndo kunaweza kuwalostisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom