The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
Imebidi nikurupuke kati kati ya usingizi baada ya kushangilia kwa nguvu sana kwenye ndoto..! yaaan ni ngumu kuamini ila ukweli ni kwamba kwa mara ya kwanza katika historia ya kombe la dunia kuna nchi ya Afrika itatinga Fainali japo itabamizwa mabao 3-1 na nchi ya kutoka amerika ya kusini..! nasubiri kwa hamu sana kombe la dunia lianze hakyanani daaa..!

Em' ona hizi match fixtures kwanza..

Ghana akivuka tu lile kundi la kifo, wazungu wameumia
 
Sterling kitu gani wewe hata Bongo movies na guta zina Sterling, we inaonekana ni mnazi wa Man city ndio maana unaichukia Spain kuwatema Negredo na Navas but hiyo timu uliyoichagua utalazwa ili wakutundikie dripu kushusha presha.

kaka mi ni mshabiki wa liver ila imeniuma kuwacha negredo na navas hao brazl wakuda tu wamemuacha jembe coutinho teaM THREE LIONS
 
Ni timu nne tu ndio zinaweza/zina nafasi ya kupata kombe pale brazili.
1. Argentina
2. Spain
3. Brazil
4. Italy
Timu zitakazo cheza vizuri na kutoka patupu, German, Belgium, Uruguay, na Nigeria.

Mechi za kundi F ndio kundi litakalo kuwa na magoli mengi kuliko kundi jingine lolote. Argentina kwenye kundi hili itapata zaidi ya goli 9, mmoja kati ya Messi, na Kun Aguero ndio atakuwa mfungaji bora wa mashindano.
 
Ghana akivuka tu lile kundi la kifo, wazungu wameumia
Hata mi nahisi ni hawa ghana.., sina uhakika zile jezi nilizoona ni za timu gani.., ila nahisi ni kama zilikuwa Brazil na Ghana.., ila Ghana akabamizwa 3-1.., yaaan ni raha tupu...!!!!!!!!
 
tatizo muda wa kuangalia. Mechi nyingi ni usiku wa maanane kwa huku kwetu kwani tumetofautiana masaa 6. Tutashindwa ku enjoy jamani. Agh!! Mimi nashabikia Afrika kwanza, zikitoka nawaunga mkono Brazil
 
shule kila zinapofungwa humu jukwaani hamkosi vibweka, yaani we na akili zako dstv washindwe kuonesha world cup halafu waoneshe kitu gani??? au wewe ndo wale wapenzi wa diamond huku umepotea njia tuuuuuuuu!!!!!!!
 
Tehe tehe au cha jamaika kinafanya kazi nini,yaki yanani mweeeee
 
mwenzenu kauliza kumbe la dunia nyie mnamjibu kombe la dunia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom