na michepuko hii usidhani inawasaidia kina baba tu hata kinamama nao wanafursa hapa kwahiyo kikubwa tu ni kuweka sawa takwimu zetu mala tu michuano hii itakapokuwa imeisha
Halafu kibaya zaidi hawa tbccm huwa wanaongea sana
Mie nafikiri Leo Brazil anapigwa 2-1 au Draw Lovren Leo atafanya Naymar atambae ajiangushe ale majani ila tujue Brazil akitolewa mapema Fujo zitazotokea na maandamano ya kila siku bora wafike mbali.Leo Brazil afungwe ili tuanze vizuri michuano.
Hapa ninapo andika jamaa (waandamanji) wanakinukisha kuelekea uwanjani kutakakofanyika shughuli za ufungunguzi, huku police wakiwatembezea kichapo na risasi za plastic. Tutazame tuone mwisho wa picha hili.Mie nafikiri Leo Brazil anapigwa 2-1 au Draw Lovren Leo atafanya Naymar atambae ajiangushe ale majani ila tujue Brazil akitolewa mapema Fujo zitazotokea na maandamano ya kila siku bora wafike mbali.
Umesema yote, ila wachina hawapatikani Southern Asia! Ulikimbia umande wa jiografia!?!
Hehehehe Reject au akitaka kuondoka yeye Reject asiotakiwa Chelsea na City watatisha wengine tusindikize tu ah Morinho anachotaka anamwagiwa wakisema mshahara Kule wanataka kumpa 100 yeye anamwambia abromovich sie tuweke 150 zile 250 hawafikirii mara mbili Chelsea na City pesa za kumwaga wanazo Fabregas alikuwa anauwezo kwenda City au United hasa City ili Arsenal wasimuone mbaya ila Chelsea sababu ni London inachangia na mshahara ila Mpenzi wake naye anataka Kuwa mji mkuu na sehemu kashaizoea. Arsenal wameona namna Fabregas alivyolilia kuondoka si mtu wakurudisha pale tena atawavunjia heshima Middle anayo muhimu kwake ni Striker mkali na winger kushoto.Jiografia ilikuwa msamiati mgumu kwangu. Nilifundishwa kuokota korosho. Anyway nilitaka kumaanisha nchi kama nchi kama Malaysia, Thailand jamii za wachina wachina. Vipi vifaa vya kina Kroos, Hummels, Robben vishasaini? Pia naona wadarajani wamemsaini reject wetu unasemaje juu ya hili?
Hehehehe Reject au akitaka kuondoka yeye Reject asiotakiwa Chelsea na City watatisha wengine tusindikize tu ah Morinho anachotaka anamwagiwa wakisema mshahara Kule wanataka kumpa 100 yeye anamwambia abromovich sie tuweke 150 zile 250 hawafikirii mara mbili Chelsea na City pesa za kumwaga wanazo Fabregas alikuwa anauwezo kwenda City au United hasa City ili Arsenal wasimuone mbaya ila Chelsea sababu ni London inachangia na mshahara ila Mpenzi wake naye anataka Kuwa mji mkuu na sehemu kashaizoea. Arsenal wameona namna Fabregas alivyolilia kuondoka si mtu wakurudisha pale tena atawavunjia heshima Middle anayo muhimu kwake ni Striker mkali na winger kushoto.
Vipi vifaa vya kina Kroos, Hummels, Robben vishasaini? Pia naona wadarajani wamemsaini reject wetu unasemaje juu ya hili?
Kusema ukweli nimekuwa mbali na ulimwengu wa soka toka ligi nyingi ziishe...hata habari za usajili zisifuatilii sana kwa sasa, mpaka kombe la dunia liishe. Nani huyo kasajiliwa na Maureen toka kwenu?