The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
Pia inatakiwa ushangae Klose kuitwa kikosi cha ujerumani,wakat kuna walioperform zaidi yake.futboli fitna si bongo tu!!
 
Mkuu kama unatumia Smartphone hebu Install app inaitwa Fotmob ina ilama ya mpira...hii ina ratiba kwa saa za Kitanzania..ni nzuri sana


Kwa kweli mkuu hii Fotmob ni nzuri sana imenivutia sana!

Tunaomba kama kuna nyingine iliyotulia kama hii tujuze mkuu.
 

Attachments

  • 1401550593482.jpg
    1401550593482.jpg
    44.6 KB · Views: 79
miroslav klose kaitwa kwa ajili ya kwenda kuvunja record ya ronaldo de lima ana magoli 14 kwa hiyo inabid afunge mawili ili aweke new world record
 
miroslav klose kaitwa kwa ajili ya kwenda kuvunja record ya ronaldo de lima ana magoli 14 kwa hiyo inabid afunge mawili ili aweke new world record

hii kali ya mwaka unamuita mchezaj kuvunja rekodi au unaita mchezaj ili apa4m uchukue kombe
 
Fredericko.. Del bosque is the coach and he decide.... Lets wait and see...
 
[h=1]World Cup 2014: Spain drop Alvaro Negredo and Jesus Navas[/h]
Manchester City pair Alvaro Negredo and Jesus Navas have been left out of Spain's 23-man World Cup squad, but Chelsea's Fernando Torres has been selected by manager Vicente Del Bosque.
Torres is one of six Premier League players in the squad, which includes Atletico Madrid striker Diego Costa.
Sevilla's Alberto Moreno, Real Madrid's Daniel Carvajal, Fernando Llorente of Juventus and Ander Iturraspe of Athletic Bilbao have also been cut.

Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David De Gea (Manchester United).

Defenders: Sergio Ramos (Real Madrid), Gerard Pique (Barcelona), Raul Albiol (Napoli), Cesar Azpilicueta (Chelsea), Juanfran (Atletico Madrid), Jordi Alba (Barcelona).

Midfielders: Xavi (Barcelona), Xabi Alonso (Real Madrid), Sergio Busquets (Barcelona), Andres Iniesta (Barcelona), Cesc Fabregas (Barcelona), Santi Cazorla (Arsenal), Koke (Atletico Madrid), Javi Martinez (Bayern Munich).

Forwards: David Silva (Manchester City), Diego Costa (Atletico Madrid), Fernando Torres (Chelsea), Pedro (Barcelona), Juan Mata (Manchester United), David Villa (Atletico Madrid).
 
[h=1]World Cup 2014: Netherlands announce final World Cup squad[/h]
Netherlands manager Louis van Gaal has announced his final 23-man World Cup squad, with injured Rafael van der Vaart the most notable absentee.
Midfielder Van der Vaart, 31, suffered a calf injury in training on Wednesday.

Goalkeepers: Jasper Cillessen (Ajax), Tim Krul (Newcastle), Michel Vorm (Swansea)

Defenders: Daley Blind, Joel Veltman (both Ajax), Stefan de Vrij, Daryl Janmaat, Terence Kongolo, Bruno Martins Indi, (all Feyenoord), Paul Verhaegh (FC Augsburg), Ron Vlaar (Aston Villa).

Midfielders: Jordy Clasie (Feyenoord), Jonathan de Guzman (Swansea), Nigel de Jong (AC Milan), Leroy Fer (Norwich), Arjen Robben (Bayern Munich), Wesley Sneijder (Galatasaray), Georginio Wijnaldum (PSV Eindhoven).

Forwards: Memphis Depay (PSV Eindhoven), Klaas-Jan Huntelaar (Schalke 04), Dirk Kuyt (Fenerbahce), Jeremain Lens (Dynamo Kiev), Robin van Persie (Manchester United).
 
kuna wachezaji wanafit kwenye mfumo fulani.klose anafit mfumo was
 
Klose anafit mfumo wa German,Torres anafit mfumo wa Spain,hata de lima 2002 akucheza kwenye ligi italia na kuna wachezaji kama elber wa Bayern walikuwa wameng'ara sana kwenye ligi waliachwa coz ronaldo anafit mfumo
 
Pia inatakiwa ushangae Klose kuitwa kikosi cha ujerumani,wakat kuna walioperform zaidi yake.futboli fitna si bongo tu!!

hapana milo ana goli 14 bado moja amkute delima huwajui wajerumani kutaka kutawala soka la dunia
 
Klose anafit mfumo wa German,Torres anafit mfumo wa Spain,hata de lima 2002 akucheza kwenye ligi italia na kuna wachezaji kama elber wa Bayern walikuwa wameng'ara sana kwenye ligi waliachwa coz ronaldo anafit mfumo

Mkuu uko saw a unafikiri ukimtoa klose nani atafiti? Kwani huwezi mchukua Max Kluse hana uzoefu
 
Klose anafit mfumo wa German,Torres anafit mfumo wa Spain,hata de lima 2002 akucheza kwenye ligi italia na kuna wachezaji kama elber wa Bayern walikuwa wameng'ara sana kwenye ligi waliachwa coz ronaldo anafit mfumo
kusema kweli hapa umesema kweli Negredo anatak majalo ambapo mpira wa taifa la Spain wanatumia muda mwingi chini ndomana wakaenda na Torres ila Mie ningembeba Negredo, kuhusu Torres alivyokuwa LFC japo LFC ya kipindi kile walikuwa mpira wa juu ila uzuri wa Torres ukitoka kwa Pasi za Steven G na Alonso wanazichana chini then anakimbia nao so Spain wanaye Alonso sasa tukija Chelsea Middle za kati nzuri ila hazimchezeshi Strike, wing ndio zinachezesha Striker Chelsea, Lukaku angefaa Chelsea kuliko Torres.
 
hapana milo ana goli 14 bado moja amkute delima huwajui wajerumani kutaka kutawala soka la dunia
Hii pia sababu ujerumani wapo tayari wasije na striker ila game ambayo tayari washapita ndio Klose acheze wataitafuta. Penalt ili Klose afunge rekodi wamevunja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom