The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

tehteh huyu naona ni matatizo ya akili ..maana mimi baba yangu mzee sanaaaa lakini haongei na kutenda maupupu kama ya Lyatonga
 
Jamani mnakumbuka umaarufu wa Mrema enzi zake? Pengine wengi watakuwa wamesahau... Ni watu wachache sana kwa nchi zetu za Afrika wanaoweza kuji-adapt na mazingira wanapoporomoka kama alivyoporomoka Mrema. Wengine huishia kuwa vichaa au kufariki.... Maisha ya Tanzania ni magumu saana. Kama hujui ku-maneuver hasa kama umetokea kwenye uongozi (kama nafasi aliyokuwa nayo) au hizi kazi za ofisini utaishia pabaya.
 
Mie naona nabase kwenye akili......ukiwa nazo timamu huwezi kuwa namna hii...
 
Mrema anasumbuliwa na njaa, ugonjwa wa nanihii........ na upungufu wa akili tokana na huo ugonjwa. CCM haiwezi kumlipia gharama za matibabu nje ya Tanzania hivyo anaona njia pekee ni kujikomba kwa JK.
 
Mrema anamatatizo ya akili yatokanayo na majuto,njaa na uduni wa elimu, na wakati mwingine laana kutokana na kuhusishwa na usalama wa taifa ile ya machinjachinja...........

1. Ana matatizo gani ya akili
2. Anajuta nini?
3. Ana njaa kweli
4. Elimu yake ni duni?
5.Machinjachinja!

Unaweza kufafanua kila ulichoandika hapo juu mkuu?? ni maneno mazito na lazima yamesemwa na mtu mzito na kwa uthibitisho au logic analysis
 
Wameshamsahau mwenzao aliyepigania demokrasia within 10 years, ni ajabu watanzania kumuandama mrema leo wakati ana historia ya kudhubutu kuipinga CCM wakati ule hakuna angeweza kufanya hivyo lol.

Baada ya muda Slaa aki-lost watasema hana akili, ana laana just wait and see..how ignorant people are?

Mrema anatakiwa support ya wanamageuzi sana kuliko kubezwa hata kama ana upungufu wake wa kibinadamu ...
 
Huyu bwana ni chameleon,opportunist na atafuta popularity ile apate ubunge wa vunjo 2010 [anatafuta kura za huruma] Lakini hana jipya ni kama nguo iliyopauka kurudi upya ni ngumu hata ukiirudisha kiwandani.
 
Maskini Lyatonga Mrema He was once my hero, alini-inspire nikaanza kupenda politics lakini sasa najuuuuuuuta kumfahamu, amenichefua kweli yaani amejidhihirisha jinsi alivyo cheap yote hii ni kwa price ya UBUNGE ambao naamini hatoupata, Mrema ndio wa kusema haya leo....mmh kweli ukistaajabu ya Musa basi hujayaona ya firauni bado..AMEFULIA.
 
Nahisi kucheza rap za chokoraa lakini hiyo ndio hali halisi
jamani kwa waliokuwepo kwenye amani forums kwangu mimi na wenzangu tulicheka tukaasema basi
siku hiyo aliamka mh sana augustino lyatonga mrema alipoanza kwa kumsifia rais kikwete,..baada ya hapo aakamalizia kwa kusema akuna mwenye uwezo wa kumpinga jk hata kidogo,...kikwete amefanya mambo makubwa mengine hayaelezeki,..uwii akuishia hapo watu wakifunga mdomo akasema mnataka rais afanye nini??nyie ssm mnamtuana rais wenu amjui umuhimu wake wananchi kliiii kliii kliiiiii,,m nawambia msione cheo cha urais kirahisi hivyo,kuna kazi kubwa wengi wanadai nimehongwa na jk,hana uwezo wa kunionga huyu,..ila amefanya kazi nzuri na akika asiempigia 2010 atajilaani mwenyewe,,,akuishia hapo babu akasema mnataka afanye nini kamtosa rafiki wake wa karibu kabisa lowassaa,,,,tatizo mnalijua mtu akiaharibu anahamishwa badala ya kufukuzwa yeye alimwambia rafiki kipenzi aondoke asimchafulie,..ona enzi za nyerere nae anaahamisha tu angalia mwingira yeye alipoaribu akaishia kupewa ukuu wa mkoa,,ukiharibu unaweza panda cheo hiyo ndio ccm,...ona balozi mustafa nyanganyi alipoleta kivuko bomu akaishia kupewa ubalozi wa marekani ....we unataka rais wangu kikwete anywe sumu mjue kakasirika,...msihusishe baba wa watu na mafisadi,....

Yaani nilijihisi kucheza ndombolo la papii kocha na wakina chokoraa,...sasa najiuliza mtu huyuy huyuy jamaani ametangaza kugombea urais kupitia tlp,..sasa huu sio mtaji jamani tuguzanguni sasa nimeamini kuna umuhimu wa cag kupitia matumizi ya vyama vya siasa,...tena kwa hara zaidi na chama kitakachokutwa na ufujaji wa fedha wasipewe nafasi kushiriki kabisa hata iwe chama chetu cha majambazi
 
Ninyi mnasema mi nimehongwa na jk jamani amuoni seif hamad anavyomngangania karume na akuna anaeongea akiongea mrema kahongwa kasaidiwa hospital jamani na yeye si rais wangu amsaidie nani???
Hapa nilihisi kucheza msondo ngoma

hapo hapo hapo hapo sasa weweeeee!!!!

Nahisi angeendelea ningekuwa na wakina ay kwenye forums
 
Hivi Mrema katangza kugombea Ubunge ama Urais??....Halafu post yenyewe hata haoeleweki mkuu
 
Heri huyu mama yetu zito kabwe aliesema live jamani mi wenye urais nampigia kikwete sisi wapinzani hakuna zaidi ya kugombeana ubunge
sasa sijui nae kwenye kikao cha kupitisha mbowe kuwa mgombea urais alishiriki kama nani kama alilijua hili ama ndio mambo ya ruzuku mwanaharamu apite funika kombe
 
Mrema hakuacha kuwa mtu wa UwT. Kazi aliotumwa kule "UPINZANI" alishaimaliza. Arudi tu CCM, agombee VUNJO, kisha ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya ndani na naibu WM. Makamba anamsubiri kule ofisi ndogo.
 
Tukielekea kwenye pambano tutaona na kusikia mengi. Ngoja nikumbuke ile nyimbo ya WATAFITI enzi zile.

-Kulalama atuchoki kulalama ohh Koba apewe HESHIMA
 
Mrema sio mzima kwani nyie hamjui?anajikomba anafikiri ataachiwa jimbo la Vunjo.Teh teh imekula kwake.
 
Nahisi kucheza rap za chokoraa lakini hiyo ndio hali halisi
jamani kwa waliokuwepo kwenye amani forums kwangu mimi na wenzangu tulicheka tukaasema basi
siku hiyo aliamka mh sana augustino lyatonga mrema alipoanza kwa kumsifia rais kikwete,..baada ya hapo aakamalizia kwa kusema akuna mwenye uwezo wa kumpinga jk hata kidogo,...kikwete amefanya mambo makubwa mengine hayaelezeki,..uwii akuishia hapo watu wakifunga mdomo akasema mnataka rais afanye nini??nyie ssm mnamtuana rais wenu amjui umuhimu wake wananchi kliiii kliii kliiiiii,,m nawambia msione cheo cha urais kirahisi hivyo,kuna kazi kubwa wengi wanadai nimehongwa na jk,hana uwezo wa kunionga huyu,..ila amefanya kazi nzuri na akika asiempigia 2010 atajilaani mwenyewe,,,akuishia hapo babu akasema mnataka afanye nini kamtosa rafiki wake wa karibu kabisa lowassaa,,,,tatizo mnalijua mtu akiaharibu anahamishwa badala ya kufukuzwa yeye alimwambia rafiki kipenzi aondoke asimchafulie,..ona enzi za nyerere nae anaahamisha tu angalia mwingira yeye alipoaribu akaishia kupewa ukuu wa mkoa,,ukiharibu unaweza panda cheo hiyo ndio ccm,...ona balozi mustafa nyanganyi alipoleta kivuko bomu akaishia kupewa ubalozi wa marekani ....we unataka rais wangu kikwete anywe sumu mjue kakasirika,...msihusishe baba wa watu na mafisadi,....

Yaani nilijihisi kucheza ndombolo la papii kocha na wakina chokoraa,...sasa najiuliza mtu huyuy huyuy jamaani ametangaza kugombea urais kupitia tlp,..sasa huu sio mtaji jamani tuguzanguni sasa nimeamini kuna umuhimu wa cag kupitia matumizi ya vyama vya siasa,...tena kwa hara zaidi na chama kitakachokutwa na ufujaji wa fedha wasipewe nafasi kushiriki kabisa hata iwe chama chetu cha majambazi

Mwanahalisi,

Unauhakika Mrema anagombea urais? I am sorry ila post yako imekaaa kiudaku.. labda ufanye uchunguzi zaidi alafu uiandike tena... maana unapotosha watu
 
This time sijui kama utabiri wako utatimia lakini ni wazi kuna wapinzani wengi sana wanamletea madharau mzee wa Kiraracha. Hizi tuhuma kwamba ni pandikizi mimi haziingii akilini kabisa kutokana na logic....Hakuna logic kabisa kwasababu maisha yake ya kisiasa hayaonyeshi hilo....Hana kashfa ya ufisadi na upinzani kama si yeye husingekuwa hapa...Kama ni mapandikizi yaliletwa upinzani kwasababu yake huko siku za nyuma.

Naweza kusema ni mwanasiasa na wanasiasa huwa na mbinu zao pale inapokuja kwenye kusave maisha yao ya kisiasa.
Kwani hata hapa JF wanazi wengi sana tu si wanasema Mrema keshachoka na keshakufa kisiasa?
Sasa kama thats the case tusubiri tuone.
jmushi1, maneno haya uliyasema tarehe 10.Nov.2008 jee mkuu huu bado ndio msimamo wako kuhusu mzee wetu wa Kiraracha?
 
jmushi1, maneno haya uliyasema tarehe 10.Nov.2008 jee mkuu huu bado ndio msimamo wako kuhusu mzee wetu wa Kiraracha?

Toa maoni yako mkuu, siyo wote akina Yahaya humu, wewe unasemaje leo kuhusu Mrema, yaani hakuna ushindani humu.
 
Back
Top Bottom