gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Nimeona hata Chloe kupitia FB akiwaomba Fox na madirector wa hii series wasikilize kilio cha mashabiki ngoma iendelee.....
Anatumia jina gani?
Nimeona hata Chloe kupitia FB akiwaomba Fox na madirector wa hii series wasikilize kilio cha mashabiki ngoma iendelee.....
ha ha ha
ataenda kuenjoy moscow mkuu......... ila hajawahi kuwa na mwisho wa kujidai.
You guys while mnaisubiri season 10, better watch "The divide" and "Gang Related", hizi ndio zinanipa mzuka saa hizi, "The last ship" ndio ila sio kiviiile
You guys while mnaisubiri season 10, better watch "The divide" and "Gang Related", hizi ndio zinanipa mzuka saa hizi, "The last ship" ndio ila sio kiviiile
Walikosa story au hela ndo mana wakamalizia pale.
Naomba kuuliza kuhusu Revolution maana sijaielewa hadi leo kama imeisha au la
Mimi naona 24 lazima ije in a way of 24hrs not 12hrs kwa sababu hii naona ni brand name hivyo kufanya ini 12 unaua soko ila ni mtizamo wangu!
Revolution ni miongoni mwa series zilizopigwa chini Television cables za USA kutokana na kuwa na viewers wachache kama ilivyotokea kwa "Missing", "deception" "the last resort na wengine ngoja ntafte ile link nta attach apa
Manhattan, Dominion, Falling Skies
Gang Related ni bonge moja la series nimependa sana storyline yake na nimependa zaidi episode ya 12 ilipoishia sikuwahi waza kama mayor naye ni mole wa Javier Acosta, ila ndo ukweli wa mambo ulivyo drug lords huwa wana strong network siku zote, hapa na hamu tu ya kuona season finale itakavyoishia
Walikosa story au hela ndo mana wakamalizia pale.
Naomba kuuliza kuhusu Revolution maana sijaielewa hadi leo kama imeisha au la
Kama last resort waliiacha, basi nadhani last ship itaachwa kwasababu zinakaribia kwenye theme
Revolution wamei-cancell aisee. Nlishaifuta kabisa.
Manhattan siangalii, naangalia Falling Skies na Dominion, aisee kuna The divide ni nzuri kinyama ila kama siwaelewi hivi maana wamestuck kwenye ep5,sijui wanataka kuicancell
Heheheheh issue sio same storyline,huwa wanaangalia viewers rating zikiwa ndogo sana wanapiga chini
Im dying waiting for Homeland Season 4 though am still mourning the death of Sargent Brody...fu'ck CIA, ---- Senator Lockhart.
Previously on TYRANT
Gang Related wanaikatishia sehemu nzuri,
Wana makusudi kama 24 hawa
Hii sio siri wafanye ku-renew for another season, dah sipati picha Javier akifa, Poor Carlos, Daniel will be running the Los Angelicos family, Kidoogo Chapel kaanza kupata knowledge kuhusu Lopez, The Metas Cartels are still at Large...Come on Fox! Hii ndio Show yao inayobamba saa hizi, wakiicancel sijui watakua wanataka nini??