The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

season 10 inakuja jack akiwa russia akijikomboa atafanya valangati atamuua rais atateka jeshi la russia na kuwa kamanda in charge ataivamia marekani kulipiza kisasi.... hii nimeipata kwa maprodyuza wa season 10
 
Hahahaaa umeona eenhhh sema hii season nayo ipo kidogo yaan viepisodi vi 13 tuu jaman ingekua na episodes kama 22 hivi ingekua mwake kweli cjui itaendelea sasa.

Inaweza kuendelea season ya 10 ila sijui lini?
 
Teh teh teh Huyo carey mchepuko wa brody alikua anapenda kutumia dat "F" word kila saa.
Ndani ya Homeland wote wehu... hakuna hata mwenye unafuu... msikilize Saul, Marehemu Estes, Brody, huyo Carrie ndo balaa tupu!! Dah... October naiona ipo mbali kishenzi kwa ajili ya season 4.
 
Ndani ya Homeland wote wehu... hakuna hata mwenye unafuu... msikilize Saul, Marehemu Estes, Brody, huyo Carrie ndo balaa tupu!! Dah... October naiona ipo mbali kishenzi kwa ajili ya season 4.

Yaah nimeona season zake zinaanzaga sept/october, sasa cjui itaendeleaje wakati starring brody kashauwawa, cant wait aisee.
 
Yaah nimeona season zake zinaanzaga sept/october, sasa cjui itaendeleaje wakati starring brody kashauwawa, cant wait aisee.
Don't forget, Carrie yupo Turkey... jirani na wendazimu kutoka Afghanistan na Pakistan! Sipati picha, itabidi mwanae akamtuze benki otherwise atageuka kuwa bargaining chip!
 
Don't forget, Carrie yupo Turkey... jirani na wendazimu kutoka Afghanistan na Pakistan! Sipati picha, itabidi mwanae akamtuze benki otherwise atageuka kuwa bargaining chip!

Yah kama atamkubali mtoto coz nimeona mwisho hamtaki tena
 
So sad, GANG RELATED is Officially Cancelled... Bulldog
 
Attachments

  • 1409713813953.jpg
    1409713813953.jpg
    63.3 KB · Views: 150
  • 1409713853395.jpg
    1409713853395.jpg
    47 KB · Views: 159
Last edited by a moderator:
hawa fox na wenyewe wajingawajinga tuu kila series wao wanakatisha tuu,inaboa sana.Mwanzo nilikuwa sipend kuangalia series sababu kubwa ikiwa hiihii ya kukatisha........damn them
 
Anyway Hata hivyo karibu Homelanda itarudi, and I think sio season ya Mwisho maana wangeishasema, Falling Skies Series finale mpaka next Summer....
 
Naomba kuuliza kitu kimoja, hivi huwa haiwezekani kwa Tv station nyingine ku_pick Show iliyokatishwa na Tv ingine? Mfano kama saa hizi Fox walivyozingua, AMC au TNT wakiitaka Gang Related waiendeleze inawezekana kweli au itakua utata?
 
Back
Top Bottom