Hivi epsodes kuanzia 10-24 pia zilitoka?
He he he eti bata anazokwenda kula Moscow hahaha
Kwa maana hakuna epsode 13??kwahiyo inaishaje au muendelezo ni kwenye season 10??Hii season mpya imeishia episode ya 12 tuu siyo kama zilizopita.
Mimi naona 24 lazima ije in a way of 24hrs not 12hrs kwa sababu hii naona ni brand name hivyo kufanya ini 12 unaua soko ila ni mtizamo wangu!Simaanishi theme mkuu nasemea kama season mpya itakuja yaan haitakua na masaa24 kama tulivozoea hizi zilizopita labda itakua ndogo kama ile ya jack alivokua africa haikua kimtindo wa masaa24 coz naona saivi wanazifupisha.
Walikosa story au hela ndo mana wakamalizia pale.
Naomba kuuliza kuhusu Revolution maana sijaielewa hadi leo kama imeisha au la
Kwa maana hakuna epsode 13??kwahiyo inaishaje au muendelezo ni kwenye season 10??
Ila watakuwa hawajatenda haki!Yah katika hii season mpya episode ya 12 ndo mwisho though imeisha tukiwa na maswali kibao so hatujui kama kutakua na season nyingine au ndo mwisho wa series ya 24 kabisa.
Ila watakuwa hawajatenda haki!
Yah kabisa bora hata wasingetoa hii mpya kwa mtindo wa 12 wangevuta mda kujipanga ili watoe complete 24.
mara nyingi hufanya hivyo kwa zile series ambazo hawana uhakika kama zitakuwa na ratings kubwa coz u know, at the end its all bout money
Yah lakini 24 ina wapenzi wengi sana kama ndo imeisha daah tutaimic sana