The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

Why did they cancel??

Meen
Nina wasi wasi kuhusu Tyrant as well! Anyway, ingawaje wakati mwingine inakuwa suala la mikataba lakini number of viewers vilevile inachangia kufikia maamuzi! Gang Related ilifikia viewers hadi + 3 million lakini number ikawa ina-decline na ku-fluctuate hadi kufikia less than 2.5 million! Tyrant nayo ni full declining...
 
Kuna movie wanazionea tu
 
Kuna movie wanazionea tu
Taste wangu! Wakati nipo college niliingia choo cha kike baada ya kuunda crew ya kupikiwa msosi na Wasukuma Original!!! Ilikuwa tukienda kwa mama tuliyempa kazi ya kutupikia msosi, jamaa wakikuta Ugali... yaani ni full shangwe kiasi cha mama muuza kuamini hii crew inapenda sana ugali!! Yaliyobaki ni historia... nikalazimika kujitoa kwenye ile crew!!

Taste za Wamarekani kwenye hizi motion pictures ni taste za ajabu kidogo... nyingi wanazopenda wao unakuta watu kama sisi hatuzipendi wakati ambazo sisi tuna-data nazo wao wanaziona za kawaida!
 
Mfano mzuri ni roy donovan, hii series haina taste ila ipo bado
 
Sina hata kitu cha kuangalia sababu wanaondoa nzuri nzuri zote
 
Kwa wale wapenzi wa 24 series kuna new season, season 9 imetoka, ninayo complete episode 1-12 soft copy, kuna website unalipia then unadownload, kama unahitaji ni Pm, tufanye utaratibu wa kukupatia uinjoy "non -stop adrenalin pump movie", utachangia gharama kidogo isiyozidi dola 5. Mtaani kuna hard copy ambazo ziko nusu nusu na zingine hazionekani vizuri, low quality, mwanzoni nilizinunua, zinaboa kuangalia.

Karibuni.
 
Duh yani season 9 unaiongelea leo halafu bado unajiita jack Beur???????!!!!!
 
kitu chenyewe wamezingua! siku ina masaa 12!!! mengine wameficha.
 
Kwa wale wapenzi wa 24 series kuna new season, season 9 imetoka, ninayo complete episode 1-12 soft copy, kuna website unalipia then unadownload, kama unahitaji ni Pm, tufanye utaratibu wa kukupatia uinjoy "non -stop adrenalin pump movie", utachangia gharama kidogo isiyozidi dola 5. Mtaani kuna hard copy ambazo ziko nusu nusu na zingine hazionekani vizuri, low quality, mwanzoni nilizinunua, zinaboa kuangalia.

Karibuni.
Wewe uko wapi unaongea vitu ambavyo sasa hivi mtaani wanafungia mandazi kama ni gazeti lipo gereji wanapigia rangi hebu ingia hapa upakue bure siyo hiyo yako ya dola! http://kickass.to/new/
 
Kwa wale wapenzi wa 24 series kuna new season, season 9 imetoka, ninayo complete episode 1-12 soft copy, kuna website unalipia then unadownload, kama unahitaji ni Pm, tufanye utaratibu wa kukupatia uinjoy "non -stop adrenalin pump movie", utachangia gharama kidogo isiyozidi dola 5. Mtaani kuna hard copy ambazo ziko nusu nusu na zingine hazionekani vizuri, low quality, mwanzoni nilizinunua, zinaboa kuangalia.

Karibuni.

Hahahahahaaaa mpaka tulishasahau kama kuna 24.s09
 
Kwa wale wapenzi wa 24 series kuna new season, season 9 imetoka, ninayo complete episode 1-12 soft copy, kuna website unalipia then unadownload, kama unahitaji ni Pm, tufanye utaratibu wa kukupatia uinjoy "non -stop adrenalin pump movie", utachangia gharama kidogo isiyozidi dola 5. Mtaani kuna hard copy ambazo ziko nusu nusu na zingine hazionekani vizuri, low quality, mwanzoni nilizinunua, zinaboa kuangalia.

Karibuni.

hahaaaaaa
 
Back
Top Bottom