The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

Imesikitisha sana hii epsode ya mwisho hivi itaendelea lini.

Sent from my iPhone
 
dah siamin kama episode ya 12 nimeshaichek, rest in piece Aundrey
 
inaonekana unahistoria na ghetto......

mimi ninazo ila ni nyumbani kwangu , karibu uje kuzichukua.....

njia rahisi ni kujifunza kudownload movie kwa kutumia torrents........

unainstal programs km vuze , bittorents........

hlf unacopy movie kutoka kwenye sites za torrents km vile The Pirate Bay - The galaxy's most resilient bittorrent site , crazytorrents.com , torrentcrazy.com n.k.

ni bure kabisa , wewe ni bundle yako na spidi ya internet tu.

Aisee me pia nilikua nateseka sana nikisema ninunue za albaba napata nusu nusu mara zina scratch thanks to Hong25 nilimuomba anielekeze saivi kwa raha zangu napata complete series za 24, revenge, scandal, homeland etc yaan kudownload kunasaidia na ni simple sana.
 
ki ukweli 24 imeisha na imeniacha na maswali na kuna sehemt cjapenda sana
1. jack kumuua al haraz
2. aundrey kufa
3. episode ya mwisho imekaa too emotional, jack amesahau kabisa kufatilia device, alipompata cheng li hatujaua device imekwenda wapi
 
Hichi kitu naona wataalam wanascript zake to infinity,tuchange tu mpunga wadau tutoe vitu viendelee.

Mambo bado sana hadi Jack awe huru hizo bata anazoenda kula Moscow pia lazima zijulikane ngoja tusubiri lakini

ninaimani itakuja kuendelea tu mpunga ukipatikana!...
 
duh kumbe na mimi mbeya?? sory mwaya itafute episode 12 imeshatoka

Hahahahaaaa eti mbeya! Tiyari Nshaiona sasa, daah kama kweli imeisha ntaimic jamn ila imeisha kiuzuni sana jack hajatendewa haki kabisaaaaaaa ilitakiwa iishe na zile swaga za "and they lived happily ever after" :sly::sly:
 
Inanipa maswali mengi, naiona kama ndio imeisha ila kuna vitu bado naona ni kama itaendelea..Kwanza kwa jinsi ilivyoisha it's like they have left an open window for the next season, maana watu wanataka kujua whats going to happen in Moscow, cha pili wakati inaisha Saa ilikua ina-count up, haiku-count down kama ilivyofanya at the end of Season 8.
 
Yah labda na huo muendelezo unaeza kuwa kama ule wa jack bauer alivokua sangala kwa jeneral Juma na colonel Dubaku sidhani kama itakua inform of 24/12 hrs kama hizi zilizopita.
 
Yah labda na huo muendelezo unaeza kuwa kama ule wa jack bauer alivokua sangala kwa jeneral Juma na colonel Dubaku sidhani kama itakua inform of 24/12 hrs kama hizi zilizopita.

Hiyo si ilikuaga baada ya C.T.U kuwa disbanded for Human rights Violation, na baadhi ya Agents waliokua wanafanya kazi pale wakawa wanashtakiwa ndio maana Bauer alikimbilia Africa kujificha kukwepa mkono wa sheria. Lakini hii Case ni different, pengine ikirudi atakua anatoka kifungoni kama alivotoka China...
 
Simaanishi theme mkuu nasemea kama season mpya itakuja yaan haitakua na masaa24 kama tulivozoea hizi zilizopita labda itakua ndogo kama ile ya jack alivokua africa haikua kimtindo wa masaa24 coz naona saivi wanazifupisha.
 
Nawaza tu, hvi baada ya Aundrey kufa, Jack anaweza kufall in love na Chloe au na kate morgan!!!!
 
wameeikimbiza sana , ila walipoishia ni nafasi nzuri sana ya muendelezo wa new season...........

hii kitu wataileta tu , mashabiki wa 24 wana kiu mno..... hapa ni mpaka siku Jack akosee uwezo wake wa kuigiza.

hii season 9 imekuwa nzuri kuliko season 8 japo wameipa muda mdogo.
 
Kupeleka kwa baeur russia kunakikumbusha kipindi kile alivyoenda kuteswa china,je unahisi atakutana na msoto kama ule, au this time atatoroshwa na swahiba wake?
 
Hichi kitu naona wataalam wanascript zake to infinity,tuchange tu mpunga wadau tutoe vitu viendelee.

Mambo bado sana hadi Jack awe huru hizo bata anazoenda kula Moscow pia lazima zijulikane ngoja tusubiri lakini

ninaimani itakuja kuendelea tu mpunga ukipatikana!...

He he he eti bata anazokwenda kula Moscow hahaha
 
Mkuu anaenda kula bata nawe huamini?..

Lile lirusi lililomchukua lilimwambia "ningesema unaenda kula good time moscow lakini najua hautoniamin" jack akawa

anamcheki tu bila kumjibu kitu..

He he he eti bata anazokwenda kula Moscow hahaha
 
Back
Top Bottom