The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

Wakuuu
Niulze hiv the Event inaseason zaid ya Moja?kama zipo naomba kujuzwa aseee make season One ilinicutia sana

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Nahisi hawataicancel. Ni show nzuri sana, inatamanisha sana. Inshort sijui fox wanapata wapi hizi shows zao. Zinabamba kinoma.

Back to topic: Kifo cha Javier kitaondoka na wengi sana. Yule mkuu wa DEA ambeye yupo kwenye payroll ya Javier na anataka kupata umeya kwa kuongezewa kura za mexicans atabaki dilema kwa sababu hajui pa kukimbilia.

Daniel na yule kaka yake kilemma wataanza vita tu.

Carlos atajikabidhi mikononi kwa Chapel na wataanzisha vita dhidi ya Metas.

I see the Opportunity ya kuendelea

Javier acosta "The Boss" kufa hafi ila chamoto atakiona, Daniel kabadilika kweli kutoka kua college boy mpaka kua mafia na yule kaka yake kiwete naona miguu imeanza kupata nguvu hatakua kwenye wheelchair tena so sipati picha hiyo vita kati yao.
 
Enjoy some pics...
 
Attachments

  • 1408460040574.jpg
    1408460040574.jpg
    30.2 KB · Views: 112
  • 1408460082814.jpg
    1408460082814.jpg
    33 KB · Views: 116
  • 1408460123674.jpg
    1408460123674.jpg
    19.5 KB · Views: 117
  • 1408460147086.jpg
    1408460147086.jpg
    30.4 KB · Views: 109
Javier acosta "The Boss" kufa hafi ila chamoto atakiona, Daniel kabadilika kweli kutoka kua college boy mpaka kua mafia na yule kaka yake kiwete naona miguu imeanza kupata nguvu hatakua kwenye wheelchair tena so sipati picha hiyo vita kati yao.

Machungu ya 24 yamehamia huku
 
Wakuu Hong25 Bulldog mnaonaje ikianzishwa thread maalumu ya ku discuss series zote latest ili tuzidi maujanja na updates mbali mbali
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa umeona eenhhh sema hii season nayo ipo kidogo yaan viepisodi vi 13 tuu jaman ingekua na episodes kama 22 hivi ingekua mwake kweli cjui itaendelea sasa.
Kila wakati nacheck muendelezo hola mbona imeisha kiutata km ni episode 13 tu, au huenda watarejea na kitakachomtokea Jack huko Russia!!!!!
 
Kila wakati nacheck muendelezo hola mbona imeisha kiutata km ni episode 13 tu, au huenda watarejea na kitakachomtokea Jack huko Russia!!!!!

Yaan sindo hapo sasa watu tupo tupo tuu hatuelewi hatma, fox nao hawafunguki kuhusu muendelezo mi naona itaendelea ila siyo leo wala kesho tutasubiri sana maana kuandaa movie kama 24 inahitaji mkwanja mrefu.
 
Gang related huwa siku zote inaishia pazuri sana hadi unatamani week iwahi.
Last ship nayo naona inafikia mwishoni.
Under the dome pia inafikia mwishoni kabisa
 
Hii sio siri wafanye ku-renew for another season, dah sipati picha Javier akifa, Poor Carlos, Daniel will be running the Los Angelicos family, Kidoogo Chapel kaanza kupata knowledge kuhusu Lopez, The Metas Cartels are still at Large...Come on Fox! Hii ndio Show yao inayobamba saa hizi, wakiicancel sijui watakua wanataka nini??

Si rahisi waikatishe.
 
Gang related huwa siku zote inaishia pazuri sana hadi unatamani week iwahi.
Last ship nayo naona inafikia mwishoni.
Under the dome pia inafikia mwishoni kabisa

Under The Dome ilishaniboa, Last ship itakua yaleyale ya Last resort..., Kuna "The divide" napenda sana interaction ya yule district attorney,mke wake pamoja na mtoto wake, wanajua sana kuigiza....
 
Mi natafuta 24 season ya 7 na 8 maana nimeishia ya sita afu jamaa wakaniuzia ya 9 part1 na 2(Live another day)

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mi natafuta 24 season ya 7 na 8 maana nimeishia ya sita afu jamaa wakaniuzia ya 9 part1 na 2(Live another day)

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Km una laptop/computer ni bora kudownload toka kickass torent zipo zote mana hawa jamaa wa mtaani wakati mwingine wanazingua.
 
Back
Top Bottom