The reason to why I didn't marry you!

Nasubiri no 2 wa jf atajwe me nikuombe umtaje tu na jina tunogeshe story.....[emoji1][emoji1] ila hii list sitamani kukosaa kbsaaa
 
Reactions: BAK
I can simply conclude kwamba ulikua hujui unachotafuta kwenye mahusiano na ni mtu unaefanya maamuzi kwa kukurupuka
Maamuzi anafanya kwa kukurupuka?..Evidences zote anazo ila still unasema kakurupuka...Madam HR..hapa umeyumba kidogo kwa mtazamo wangu.
 
Hapo kweny hr nmchk xn [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dogo hana ajira, ameamua akumbushie ya kishule shule!

AKITUMWA DUKANI, ANA BANA BANA CHENJI ILI AWEKE BANDO AJE TENA......!

haya uwanja ni wako!

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hahahaaa, "dogo hana ajira" hizi mentality za ajabu sana, aisee have been working for some years now, na biashara pia nafanya...karibu sana kwa juice na biscuits [emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini akili za kitoto mkuu, hao wote ilikuwa kwa nyakati tofauti tofauti...so nilikuwa na right dream kabisaaa

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app

Right dreams ni ndoto nyevu tu, labda zile za kwenye filamu... yaani demu wa kwanza kutafuna tu uliamini utaoa!!

Ikafeli, ukaenda wa pili kwa gia ile ile ya kuoa... hukujua kwanini kuna 'mazoezi' kabla ya pambano?
 
Aiseee hiyo dhana ya kuchezea watoto wa watu sikuwa nayo kabisaa,nilikuwa najisikia vibaya kumbe wao ndo walikuwa wananichezea mimi yaani

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Aiseee hiyo dhana ya kuchezea watoto wa watu sikuwa nayo kabisaa,nilikuwa najisikia vibaya kumbe wao ndo walikuwa wananichezea mimi yaani

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app

Mimi hadi leo bado najifua, na sijioni kama nimeiva kuingia ulingoni.... silaumu ila nimechezewa sana na mademu kisha wao wakaolewa kwingine.[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…