Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Natamani na akina Chenge, et al ...walioshiriki wote washitakiwe Uingereza. Naamini kule haki itatendeka. Pia angalao watumie vijisenti vyao kusafiri kuelekea uingereza kwa case. Wana mihela bana.
Na kaka yake kazi yake imeshatangazwa!!! Angalao atakuwa ameshaachia ngazi shirika letu tukufu. Sijui ndiyo maandalizi hayo kama yale ya kina Mgonja!!??
Na kaka yake kazi yake imeshatangazwa!!! Angalao atakuwa ameshaachia ngazi shirika letu tukufu. Sijui ndiyo maandalizi hayo kama yale ya kina Mgonja!!??